Watanzania tumeanza udini?

Watanzania tumeanza udini?

Hala
HAKI sio movement ya wakatoliki pekee, mimi sio mkatoliki lakini na support movement kwa sababu ni ya haki, utauliza kwanini na support ? tukiendelea na huu mfumo usiofuata sheria wala katiba hatuwezi kuendelea kama taifa, zile sheria zimewekwa kwa ajili tustaarabike ndiposa tuendelee tofauti na hapo hatuna tofauti na wanyama kuuana, kubakana, kutesana, kulana nyama kama ilivyotokea 29 october inaweza kutokea na zaidi nakadhalika na kadhalika.
Halafu duniani hamna HAKI tunajidanganya TU...haki ipo siku ya hukumu Kwa mola wetu..
Hapo ww unatumika kubeba miajenda ya wenzie Kwa mgongo wa kudai haki...hivi ni haki gani mnayodai mmenyimwa?ya ushoga na usagaji?
 
Ni kweli lakini bongo imezidi bora, uingereza au marekani hakuna HAKI lakini viongozi sio wezi wakupindukia, hawapitishi fomu moja, hawaibi kura, wanafanya maendeleo raia tunayaona hadi waarabu wanayatamani wanazamia huko huko kwenye ushoga na usagaji.
 
Kwahiyo haki mnayopigania ni ipi?
 
Kumpata mgombea tunayemtaka na kumuondoa akizingua sio tuliochaguliwa na msoga, hawezi kujali makapuku kama alichaguliwa na mabwenyenye.
Mhmn..mtasubiri sana !!hii hata usa au uk haipo..hivi unafikiri trump ndo alikuwa chaguo la wengi usa? Big no ..alishinda yule mmama ila walipindua matokeo..hata UK huwa hawafurahii utawala wa kifalme ila they have nothing to do with that.
 
Haya unaoyaona yalifichwa kwenye vifua vya watu, yalikuwa yanatafuta sababu yakuyatoa ndiyo wameipata sasa. Na utalipima hili kwakutulia na kuangalia mijadala inavyoendelea hapa tunazungumzia nchi kuna watu wako busy mara TEC, CCT, BAKWATA kama anatafutwa Sheikh au Askofu nawakumbusha Tanzania is a Secular State na si religious State. Haiwezi kuongozwa kwa Tamko la kutoka taasisi ya Kiislamu wala ya Kikristo. Huo ushauri wa Viongozi wa dini waupeleke kwa waumini wao tena kwenye nyumba za ibada. Siyo kila siku viongozi wa dini wako mbele kuitisha press na kutoa ushauri wa kinafiki. Manchi mengi yanayoweka viongozi wa dini mbelembele huwa yanakuwa nyuma sana kimaendeleo.
Nazichukia sana hizi dini za kuletewa zimekuwa chanzo cha machafuko sehemu nyingi kutokana na ajenda za siri za hao walizozileta.
Daah hali ni mbaya kwa hotuba ya muheshimiwa imethibitisha rasmu
 
Back
Top Bottom