Kuna wakristo wengi tu wanamkosoa kiongozi aliyepo madarakani kwa kuikashifu dini yake na sio kumkosoa yeye kama alivyo,kiongozi akosolewe yeye kama yeye na sio kuanza kuikashifu mpaka imani yake,
Kila mtu aheshimu mawazo ya wengine,hiyo ndio demokrasia,kikundi fulani kikitoa tamko kisilazimishe kila mtu akubaliane nao,na pia kiheshimu na mawazo au mtazamo wa taasisi zingine,hakuna taasisi iliyo bora kuliko nyingine,tatizo liaanzia pale kakikundi fulani kujiona wao ndio kama final say,hawataki na wenzao watoe mawazo yao.
Sio kweli BAKWATA Ina base kubwa sana mpaka ngazi ya familia na ndo wanasuluhisha migogoro yote ya waislam hata hao kina ponda wakikosana wanarudi bakwata ..hivyo usiwa'underrate' kihivyoUkitaka kujua msimamo wa waislamu, msikilize Sheikh Ponda achana na bakwata wanalipwa wale.
Islamist yeyote (siyo general muslim) kauli yake isiiamini moja kwa moja. Mara nyingi anakuwa na Islamists agenda yake kaificha; halafu in public anakuja na kitu inaitwa TaqqyaSheikh Ponda yeye ana mwaga ukweli mtupu muangalie YouTube kule.
Shehe naona unatetea upande wakoSio kweli BAKWATA Ina base kubwa sana mpaka ngazi ya familia na ndo wanasuluhisha migogoro yote ya waislam hata hao kina ponda wakikosana wanarudi bakwata ..hivyo usiwa'underrate' kihivyo
Lakini ipo hoja inasemwa wakatoliki ndo wanatengeneza hii movement kwa kufadhili magenge yote ya kihalifu na wanaharakati mitandaoni..na ndo maana hata matamko yao yanalenga kufarakanisha jamii kuliko kuunganisha..TAFAKARI
Shehe naona unatetea upande wako
Asante au yeye ndo anauona leo🤔Kwani uliondoka lini?
Udini upo kabla uhuru,ukajengwa na Julius,sasa hao waliokua wamelala wakidanganywa hakuna udini,wamefumbua macho,we kunywa tu sharbati ya udini,ukivimbiwa mambo yatakua mazuriMbona naona udini wa wazi wazi hapa tunatokaje?
Udini ulijengwa na Julius,mwinyi alisakamwa kama alivyosakamwa kikwete na sasa Samia, sababu ni huo udini ulio ndani ya sifongo za wakristoHao mashekhe wanafikili hii ni enzi za mwinyi
Watanzania hawana udini, udini uko juu haswa kutoka kwenye taasis inaanza na b, ambayo basicaly ilianzishwa na gov ku suppress waislam wasifanye loloteMbona naona udini wa wazi wazi hapa tunatokaje?
Udini upo,vyuoni na maofisini upo sana,Hawa ni sample za mtaaniWatanzania hawana udini, udini uko juu haswa kutoka kwenye taasis inaanza na b, ambayo basicaly ilianzishwa na gov ku suppress waislam wasifanye lolote
Round hii nimeuona live angalia press z viongozi wa kidini daah... udini umekuwepo muda wote, na kama haujauona basi haujakutana nao! POLE!
Una uhakika nalo? Udini siyo mzuri hapa tunatokaje?Udini ulijengwa na Julius,mwinyi alisakamwa kama alivyosakamwa kikwete na sasa Samia, sababu ni huo udini ulio ndani ya sifongo za wakristo
Hiyo ni kazi mpya ya sisi wafinya ubwabwa!Baada ya kuyashindwa yale ya msingi kwa taifa.Mbona naona udini wa wazi wazi hapa tunatokaje?
Itaneni wakristo kwenye jumuia zenu,ondoeni udini kwenye sifongo zenu, waislam hawana tatizo la udiniUna uhakika nalo? Udini siyo mzuri hapa tunatokaje?
mwanasiasa uchwara huyoSheikh Ponda yeye ana mwaga ukweli mtupu muangalie YouTube kule.
HAKI sio movement ya wakatoliki pekee, mimi sio mkatoliki lakini na support movement kwa sababu ni ya haki, utauliza kwanini na support ? tukiendelea na huu mfumo usiofuata sheria wala katiba hatuwezi kuendelea kama taifa, zile sheria zimewekwa kwa ajili tustaarabike ndiposa tuendelee tofauti na hapo hatuna tofauti na wanyama kuuana, kubakana, kutesana, kulana nyama kama ilivyotokea 29 october inaweza kutokea na zaidi nakadhalika na kadhalika.Sio kweli BAKWATA Ina base kubwa sana mpaka ngazi ya familia na ndo wanasuluhisha migogoro yote ya waislam hata hao kina ponda wakikosana wanarudi bakwata ..hivyo usiwa'underrate' kihivyo
Lakini ipo hoja inasemwa wakatoliki ndo wanatengeneza hii movement kwa kufadhili magenge yote ya kihalifu na wanaharakati mitandaoni..na ndo maana hata matamko yao yanalenga kufarakanisha jamii kuliko kuunganisha..TAFAKARI