Alexandry Nemesi
JF-Expert Member
- Jun 7, 2014
- 1,508
- 590
Wanabodi kama tangazo lilivyo, Kwa jinsi ulivyoguswa unaweza kuchangia chochote kwa ajili ya Mh.@Tundu Lissu.
Sent using Jamii Forums mobile app
![]()
Wanabodi kama tangazo lilivyo, Kwa jinsi ulivyoguswa unaweza kuchangia chochote kwa ajili ya Mh.@Tundu Lissu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe ni mchawi haya tutakustua mazishi ya baba yako na mmeo DABSitoi hata Shilingi, labda mazishi nishtueni!
Hujalazimishwa kuchangia mbwa wa koko weweSitoi hata Shilingi, labda mazishi nishtueni!
Bado unahasira za kufeli kuua? Shaitwani mkubwa wewe,mjukuu wa ibilisi.Sitoi hata Shilingi, labda mazishi nishtueni!
Bado unahasira za kufeli kuua? Shaitwani mkubwa wewe,mjukuu wa ibilisi.
Shetani nyie mnpotuambiaga tuchangie rambirambi au maafa hela ya kodi zetu na mfuko wa maafa huwa zimeenda wapi?Pesa ya ruzuku ya chama inakazi gani?
Kwanza unashindia buku saba una hela gani?! Wenye hela unasikia wamechukuwa almasi ya bl. 450Sitoi hata Shilingi, labda mazishi nishtueni!
Kama hujui kinachangwa nini na kwa malengo gani, walichochanga wabunge wamechanga nini na kwa malengo gani?CHADEMA kwa fursa! Sasa hapo tunachangia nini na kwa malengo gani?
Ndio maana ulimuua mumeo ili ushiriki mazishi lazima utakuwa mchawi weweSitoi hata Shilingi, labda mazishi nishtueni!
Tunachangia kwa lengo la kukuomba masaburi iwe kama hongoCHADEMA kwa fursa! Sasa hapo tunachangia nini na kwa malengo gani?
Kama umejisajiri na NMB Mobile unaweza kutuma moja moja kwenye akaunti ya CRDB au benki yoyote.Jamani toe namba za tigopesa na mpesa hatuna muda wa kwenda kupanga foleni bank
Chezea Mbowe weweDaahh!!!! MGONJWA HANA HATA MASAA 72 ASHAGEUZWA KUA TEMBO CARD
Sent from Calculator Phone vesion007