Watanzania Tumchangie Tundu Lissu

Watanzania Tumchangie Tundu Lissu

Tuko vitani kukomboa taifa letu toka kwa huyu mkolon mweusi ambaye amejivika uzalendo bandia. Kiukweli sion msuko wa nguvu kwa wapambanaji kuwaza namna ya kumwokoa JEMEDARI wetu wa vita ambaye yuko hoi kitandani. Hivi kweli tuna nia njema kukomboa taifa letu? Tukumbuke kila vita kunakua na kiongozi wake. Kwa wakati huu LISSU alichukua mikoba hiyo na akajitolea kukaa mbele huku wengine wakimfuata nyuma. Je tunafahamu madhara tutakayo yapata Lissu akifariki??

Ni kweli iwe mvua liwe jua vita hii tutaishinda,
Lakn tutarud nyuma na kujipanga upya. Maana vita ilikua imekolea lakn kiongoz wetu wamemjeruhi. Ili tusonge mbele tunahitaji akina Tundu Lissu wengi zaid. Lakn tunawapataje huku huyu aliye jitolea tunamwacha afe? Hivi kwa umoja wetu tunashindwa kuhamasishana tukapata hela ya kumpeleka LISSU sehem bora zaid? Tusiangalie nan kafanya nini juu ya Lissu. Tujiulize sisi tumefanya nini juu ya Lissu.

Kumbuken hata BABA WA TAIFA alichangiwa na watu wenye uchungu na nchi yao aende ng’ambo kufata uhuru wetu. Sisi tuliopo hapa JF tu kama tungejitolea ipasavyo kumchangia mwenzetu zingepatikana hela nyingi hata ndan ya siku moja. Nawaomba wana JF wenzangu tuungane tumchangie mwenzetu. Tusiwasikilize wanaohoji zinatumikaje wana lengo moja tu kuhakikisha tunakata tamaa ya kumchangia ili Lisssu afe. Hao hao akifa kwa kukosa mchango wetu watarud kwa njia nyingine na kutucheka. Watatuita wapambanaji gani mmeshindwa kumwokoa mtu mmoja mtaweza kuwaokoa watu mamilion mkipewa nchi? Tutaficha wapi sura zetu??

Nawaomba uongozi wa JF wekeni topic ya kumchangia LISSU IWE YA KWANZA . Hata kama sio hii ya kwangu weken mnayoona inafaa. Najua hampangiwi lakn kumbuken Lissu ni memba wenu pia. Yaan wanatushinda wa intagram kuhamasisha huku sisi tukilala??kweli sisi ndio ma GREAT thinker?

Tuko vitani kamanda wetu yuko kitandani tutafute namna ya kumwokoa ! adui zetu wasituzid maarifa kwa mbinu yao ya kutukatisha tamaa. Wapo wanaosema kafa tayari. Wapo wanaosema hajaumia sana. Wapo wanaosema ilikua kiki yetu. Wapo wanaosema hela zinaliwa . Wapo wanaosema kama kufa afe kwao si lolote je kwetu si lolote??

Tuamke wana JF.

Tuchangie hapa.

Donate to Hon. TUNDU LISSU FUNDRAISING
 
Kumbuken hata BABA WA TAIFA alichangiwa na watu wenye uchungu na nchi yao aende ng’ambo kufai uhuru wetu. Sisi tu tuliopo hapa JF tu kama tungejitolea ipasavyo kumchangia mwenzetu zingepatikana hela nyingi hata ndan ya siku moja. Nawaomba wana JF wenzangu tuungane tumchangie mwenzetu. Tusiwasikilize wanaohoji zinatumikaje wana lengo moja tu kuhakikisha tunakata tamaa ya kumchangia ili Lisssu afe. Hao hao akifa kwa kukosa mchango wetu watarud kwa njia nyingine na kutucheka. Watatuita wapambanaji gani mmeshindwa kumwokoa mtu mmoja mtaweza kuwaokoa watu mamilion mkipewa nchi? Tutaficha wapi sura zetu??

Nawaomba uongozi wa JF wekeni topic ya kumchangia LISSU IWE YA KWANZA . Hata kama sio hii yangu weken mnaoona inafaa. Najua hampangiwi lakn kumbuken Lissu ni memba wenu pia. Yaan wanatushinda wa intagram kuhamasisha huku sisi tukilala??kweli sisi ndio ma GREAT thinker?

Tuko vitani kamanda wetu yuko kitandani tutafute namna ya kumwokoa ! adui zetu wasituzid maarifa kwa mbinu yao ya kutukatisha tamaa. Wapo wanaosema kafa tayari. Wapo wanaosema hajaumia sana. Wapo wanaosema ilikua kiki yetu. Wapo wanaosema hela zinaliwa . Wapo wanaosema kama kufa afe kwao si lolote je kwetu si lolote??

Tuamke wana JF.

Tuchangie hapa.

I am on my to Crdb Bank to deposit 20 tau tshs for Lisu medication! It will assist in paying some Lab specimen for Sgar test, urinalysis and widal test.! I challenge others to donate even 5,000/=.
 
Nimechangia pia kupitia namba za ester matiko lakini ninachokiona kwa watanzania walio wengi wanaamini chadema kama taasisi wako na pesa kutosha ..

Halafu nilichokigundua pia Matajiri wengi wa nchi hii wamechangia kwa mashariti ya kutotajwa public kwa kuogopa visasa..

Nimeongea na Lema pia Jana maendeleo sio mabaya lakini nashauri watanzania waendelee kuchangia kuokoa maisha ya huyu shujaa wetu.

Jumapili njema na yenye baraka...
 
Ninge

Ningekuwa na Dollars ningechangia via Go fund me niliyoiona kwenye InstantGram ya Mange. Kwa vile uwezo wangu ni tshs nitatuma kwenye namba ya M-PESA ya Mh Msigwa. Ninawiwa Lisu spate hata Box la Juice toka kwenye Donation yangu. PSE ndugu Challenge na wengine wachange.
 
I am on my to Crdb Bank to deposit 20 tau tshs for Lisu medication! It will assist in paying some Lab specimen for Sgar test, urinalysis and widal test.! I challenge others to donate even 5,000/=.
Mmh bank leo wanefunga, jaribu kwa electronic money transaction kupitia cm yako!
 
Mimi sifungamani na chama chochote nitachangia kwa sababu ni mtu amepata ajali na ninawiwa kumchangia ili kuokoa maisha yake.
Nilijaribu transaction ya mpesa kwenda akaunti yao ya crdb lakini ikagoma hata ya mpesa ya Matiko nayo ikasema transaction denied
 
msiwasumbue wananchi!!kodi zetu zilitosha kumpeleka APOLO AU SEHEMU YOYOTE SALAMA!!LAKINI MLIKATAA!!! Kama mtu haiamini serikali yake na walinda usalama wake ........
 
Hii imeshakuwa dili ya watu. Lini wataweka wazi ttarifa ya mapato na matumizi. Huu mchezo wao tunaujua sana ni heri nikachangie mahtuti walio pale muhimbili.
 
Tuko vitani kukomboa taifa letu toka kwa huyu mkolon mweusi ambaye amejivika uzalendo bandia. Kiukweli sion msuko wa nguvu kwa wapambanaji kuwaza namna ya kumwokoa JEMEDARI wetu wa vita ambaye yuko hoi kitandani. Hivi kweli tuna nia njema kukomboa taifa letu? Tukumbuke kila vita kunakua na kiongozi wake. Kwa wakati huu LISSU alichukua mikoba hiyo na akajitolea kukaa mbele huku wengine wakimfuata nyuma. Je tunafahamu madhara tutakayo yapata Lissu akifariki??

Ni kweli iwe mvua liwe jua vita hii tutaishinda,
Lakn tutarud nyuma na kujipanga upya. Maana vita ilikua imekolea lakn kiongoz wetu wamemjeruhi. Ili tusonge mbele tunahitaji akina Tundu Lissu wengi zaid. Lakn tunawapataje huku huyu aliye jitolea tunamwacha afe? Hivi kwa umoja wetu tunashindwa kuhamasishana tukapata hela ya kumpeleka LISSU sehem bora zaid? Tusiangalie nan kafanya nini juu ya Lissu. Tujiulize sisi tumefanya nini juu ya Lissu.

Kumbuken hata BABA WA TAIFA alichangiwa na watu wenye uchungu na nchi yao aende ng’ambo kufata uhuru wetu. Sisi tuliopo hapa JF tu kama tungejitolea ipasavyo kumchangia mwenzetu zingepatikana hela nyingi hata ndan ya siku moja. Nawaomba wana JF wenzangu tuungane tumchangie mwenzetu. Tusiwasikilize wanaohoji zinatumikaje wana lengo moja tu kuhakikisha tunakata tamaa ya kumchangia ili Lisssu afe. Hao hao akifa kwa kukosa mchango wetu watarud kwa njia nyingine na kutucheka. Watatuita wapambanaji gani mmeshindwa kumwokoa mtu mmoja mtaweza kuwaokoa watu mamilion mkipewa nchi? Tutaficha wapi sura zetu??

Nawaomba uongozi wa JF wekeni topic ya kumchangia LISSU IWE YA KWANZA . Hata kama sio hii ya kwangu weken mnayoona inafaa. Najua hampangiwi lakn kumbuken Lissu ni memba wenu pia. Yaan wanatushinda wa intagram kuhamasisha huku sisi tukilala??kweli sisi ndio ma GREAT thinker?

Tuko vitani kamanda wetu yuko kitandani tutafute namna ya kumwokoa ! adui zetu wasituzid maarifa kwa mbinu yao ya kutukatisha tamaa. Wapo wanaosema kafa tayari. Wapo wanaosema hajaumia sana. Wapo wanaosema ilikua kiki yetu. Wapo wanaosema hela zinaliwa . Wapo wanaosema kama kufa afe kwao si lolote je kwetu si lolote??

Tuamke wana JF.

Tuchangie hapa.

Donate to Hon. TUNDU LISSU FUNDRAISING
Wazee wa kuchungulia fursa Kama kawa Kama dawa...
 
Sioni sababu ya MTU kuweka kebehi kamahutaki kuchangia ni bora kumute wengine wachangie.

Hakuna MTU aliyelazimishwa.Kama mnaojiita wazalendo kweli nendeni mkahoji aliyenyuma ya Bilioni nane za Kivuko kibovu au mkahoji namna kodi zetu zinavyotumika vibaya.

Msiwe na roho za kwanini kama hataki kuchangia hujalazimishwa waache I wanaochanga wachangie au wahamasishane kuchanga.
 
Back
Top Bottom