Watanzania Tumchangie Tundu Lissu

Watanzania Tumchangie Tundu Lissu

Sioni sababu ya MTU kuweka kebehi kamahutaki kuchangia ni bora kumute wengine wachangie.

Hakuna MTU aliyelazimishwa.Kama mnaojiita wazalendo kweli nendeni mkahoji aliyenyuma ya Bilioni nane za Kivuko kibovu au mkahoji namna kodi zetu zinavyotumika vibaya.

Msiwe na roho za kwanini kama hataki kuchangia hujalazimishwa waache I wanaochanga wachangie au wahamasishane kuchanga.
hutaki watu watoe maoni yao?
 
OK jina la Account maana nimeona account Namba tuu ili nami kesho tukijaaliwa nitoe chochote kwa mzalendo wa kweli...
 
JINSI YA KUCHANGIA MATIBABU YA MHE. TUNDU ANTIPHAS LISSU

Benki: CRDB
Jina la Akaunti: CHADEMA M4C
Namba: 01J1080100600
Tawi: MBEZI BEACH

_Huhitaji kwenda Benki_
Unaweza kuchangia kwenda kwenye akaunti hiyo ya benki kupitia huduma za M-PESA au Tigo Pesa na au Airtel Money kama ifuatavyo:

1. Kuchangia kupitia M-PESA
Piga: * 150*00# chagua 6, Huduma za Kifedha, kisha chagua 2, M-PESA kwenda Benki; kisha chagua 1, CRDB; na kisha 1, weka namba ya akaunti ambayo ni 01J1080100600
Baadaye malizia kwa kufuata maelekezo.

2. Kuchangia kupitia Tigo Pesa
Piga: * 150*01# chagua 6, Huduma za Kifedha, kisha chagua 1, Tigo pesa kwenda Benki; kisha chagua 1, CRDB; na kisha 1, kuingiza namba ya kumbukumbu ambayo ni 01J1080100600
Baadaye malizia kwa kufuata maelekezo...

3. Kuchangia kupitia Airtel Money
Piga: * 150*60# chagua 1, Tuma Pesa, kisha chagua 1, Tuma kwenda Benki; kisha chagua 2, CRDB Bank; na kisha 1, ingiza namba ya akaunti ambayo ni 01J1080100600
Baadaye malizia kwa kufuata maelekezo ...

Hakuna mchango mdogo. Tuungane kusaidia matibabu ya Mhe. Tundu Lissu.

_Sala zetu ziambatane na michango yetu_
 
Ndugai kasema hela za kumtibu Lissu zipo bungeni, nendeni mkachukue!
 
Back
Top Bottom