Watanzania Tumchangie Tundu Lissu

Watanzania Tumchangie Tundu Lissu

Aiseeeeeeeee sisi tena wanyonge ndio tunachangia wenye nacho.... lol

Sent from my Siemens kidole juu using JamiiForum mobile app.
 
Humu kuna watu ni mamburura,ruzuku ya chama sio kwa matibabu ya mbunge ndo maana inakaguliwa na CAG, ila pia nyie ndo mliptaka kumuua kafie mbele ya safari,kufa wewe tuje kukuzika rofa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mpesa, tigo posa, airtel money ndyo rahisi kwa wengi wetu. Mabenk yanatuchanganya

[emoji124]‍♂️naenda zimbobo.
 
Mh wazee wa fursa msifanye hii pesa kama rambi rambi ya mwangosi na mawazo maana hizo pesa zilipotolea kusiko julikana kama waliomshoot Lissu
 
Sitoi hata Shilingi, labda mazishi nishtueni!
Hivi ukipita kimya bila kuchangia uharo wako utapungukiwa?
Hujui unafanya uchochezi ama hujui tujifunze kuwa na busara hata za chembe ya haladari!
 
Sitoi hata Shilingi, labda mazishi nishtueni!
Hivi ukipita kimya bila kuchangia uharo wako utapungukiwa?
Hujui unafanya uchochezi ama hujui tujifunze kuwa na busara hata za chembe ya haladari!
 
bffd28ef8c7fcaf4d3c0846eb4f912d1.jpg


Wanabodi kama tangazo lilivyo, Kwa jinsi ulivyoguswa unaweza kuchangia chochote kwa ajili ya Mh.@Tundu Lissu.

Sent using Jamii Forums mobile app
namba ya simu vipi?
 
Nashauri hiki chama kiwe na account ya emergency angalau hata 100mTsh ziwe huko
 
Back
Top Bottom