UrbanGentleman
JF-Expert Member
- Jun 19, 2016
- 2,584
- 1,886
Habari wadau, wazima?
Kwa ambao mpo tujuane tutengeneze community tusaidie njia ambao hawana michongo. Tupeane ushauri nini cha kufanya.
Najua wapo walio hapa muda mrefu na wanaotarajia kufika hapa in the future. Just in case ni vizuri ukijua mambo muhimu kabla ya kufika hapa.
Switzerland has got four official languages Germany, French, Italian, Romanch hizi lugha zinazungumzwa based on Canton(mkoa) au eneo husika so ukifika hapa jua Canton utakayoingia uwe mwepesi na lugha husika.
Uswisi ni Tamu sana sema ni ngumu sana. So wadau na wanazuoni mliopo nchini hapa tujuane
Sent using Jamii Forums mobile app