Makuku Rey
JF-Expert Member
- Dec 31, 2013
- 3,763
- 4,539
Halafu hili la nguzo nalo ni tatizo sugu,eti nguzo hazipatkan Mara tumeagiza ,Mara hizi zipo chini ya REA
lakini wabunge wanavunga hawalifahamu kabisa!!!kumbe ndo wanamopigia pesa!hata anayejiita raisi Wa wanyonge hili anavunga halijui kabisa!jamani nchi yangu TANZANIA!!!