Watanzania tujitokeze kuipigia kura katiba yetu

MR. MORRIS T. J.

JF-Expert Member
Apr 18, 2013
1,167
402
Watanzania Tujitokeze Kupiga Kura Ya HAPANA Au Ndiyo Siku Ikifika Ili Kuikubali au Kuikataa Katiba Yetu hy. Nawaomba Shime Watanzania Tujitokezeni Sk Hy. Wazanzibar Nawaamini Watajitokeza Nao Kwa Wingi. Nasisi Wa Bara Twendeni.Hata Kama Wataweka Mechi Kali Ya Mpira Twendeni Tukapige Kura Kwanza Ya ndiyo au Hapana.Asanteni.
 
Watanzania Muda Ukifika,wazee,watoto Vijana,vikongwe,mjini Na Vijijini, Bara Na Visiwani Twende Tukaipigie Kura Ya HAPANA Au Ya ndiyo. Nawaomba Ushabiki Wa Kuangalia Mpira Sk Hy Tuuweke Pembeni.
 
ni kweli unakuta mtu anashabikia mpira tu muda wa kupiga kura haendi alafu analalamika hamna ajira mra woo wanasiasa mtanzania jitambue tumuia haki yako na mpira angalia kama kawaida
 
kura ni NDIYO tu kwa kwenda mbele, wanaofikiri kura ya hapana kwenye Katiba ya Wakulima, wafugaji, walemavu, wachimbaji wadogo watakuwa wamechelewa kufanya fitinazao za kipuuzi.
 
Mimi GIBA bila kulazimishwa na mtu,sura ya kwanza mpaka ya 10 ibara zote,Kura yangu ni ya WAZI..nasema HAPANA
 
ni kweli unakuta mtu anashabikia mpira tu muda wa kupiga kura haendi alafu analalamika hamna ajira mra woo wanasiasa mtanzania jitambue tumuia haki yako na mpira angalia kama kawaida

wale wa hapana ndiyo wabaki tu bila kupiga kura, wengine wote kwa pamoja, tuchukue tuwekee NDIYO waaaaaaa.
 
Msipoteze muda na hata kuumiza vichwa vyenu eti mpige kura ya hapana, mchakato huu ulikiwa mgumu bungeni sasa kama bungeni umepita unadhani wewe mtanzania mmoja mmoja unauwezogani wa kuikataa katiba, we hata ukisema HAPANA katiba lazima ipite.

Nadhani upepo ulishabadilishwa na AG wa Zanzibar na ndio mada kwa sasa wala sio Ukawa tena na hata hawa viongozi wanaopinga katiba hii inayokabidhiwa leo ni wanafiki tu wote wanaikubali sema wanawadanganya wanaotaka mahakama ya kadhi, ndio maana hata Mketemela aliendelea kuunga mkono Bmk ingawa najua mtu huwa aachi uaskof mpaka kufa, sasa ilikuwaje aende kinyume na TEC halafu akaangaliwa wakati alichaguliwa kwa cheo chake na alipendekezwa na wenzio.
Hakika katiba ina wanafiki wengi sana.
 
Watanzania Muda Ukifika,wazee,watoto Vijana,vikongwe,mjini Na Vijijini, Bara Na Visiwani Twende Tukaipigie Kura Ya HAPANA Au Ya ndiyo. Nawaomba Ushabiki Wa Kuangalia Mpira Sk Hy Tuuweke Pembeni.

Udhibiti wa wizi wa kura utakuwaje? Je UKAWA wataruhusiwa kupeleka mawakala katika vituo vyote vya kupigia kura au itakuwaje? Sipati Picha, nisaidiwe.
 
kura ni NDIYO tu kwa kwenda mbele, wanaofikiri kura ya hapana kwenye Katiba ya Wakulima, wafugaji, walemavu, wachimbaji wadogo watakuwa wamechelewa kufanya fitinazao za kipuuzi.
Kaatiba inaenda pamoja kwa kila kitu.Msidhani mwananchi nitapenda ibara za wakulima na za utawala na bunge sizipendi nipige kura ya Ndiyo.
 
Kama kura zenyewe zitakuwa za siri alafu zikahesabiwe kwa siri afadhali wote tupige HAPANA ya wazi.
 
ni kweli unakuta mtu anashabikia mpira tu muda wa kupiga kura haendi alafu analalamika hamna ajira mra woo wanasiasa mtanzania jitambue tumuia haki yako na mpira angalia kama kawaida

Kwani kuna tofauti ya aliepiga kura na asiepiga?! Just kuwatengezea maisha mazuri watawala tu.
 
Tuko wengi tutakaopiga kura ya NDIYO....wewe na wachache wako ndio mtapiga kura ya hapana
Watanzania Muda Ukifika,wazee,watoto Vijana,vikongwe,mjini Na Vijijini, Bara Na Visiwani Twende Tukaipigie Kura Ya HAPANA Au Ya ndiyo. Nawaomba Ushabiki Wa Kuangalia Mpira Sk Hy Tuuweke Pembeni.
 
UKAWA Haiko kisheria...watakaoruhusiwa kupeleka mawakala ni vyama vya siasa vilivyosajiliwa pamoja na makundi ya kijamii, hivyo kama unataka kuwa wakala waombe CDM ukawalindie kura
Udhibiti wa wizi wa kura utakuwaje? Je UKAWA wataruhusiwa kupeleka mawakala katika vituo vyote vya kupigia kura au itakuwaje? Sipati Picha, nisaidiwe.
 
UKAWA Haiko kisheria...watakaoruhusiwa kupeleka mawakala ni vyama vya siasa vilivyosajiliwa pamoja na makundi ya kijamii, hivyo kama unataka kuwa wakala waombe CDM ukawalindie kura

Huu siyo Uchaguzi Mkuu hadi vyama vipeleke mawakala wake, hii ni kura ya maoni, ingawa sifahamu jinsi wizi wa kura utakavyodhibitiwa, nalikataa jibu lako kwani si sahihi.
 
Tuhamasishane na kuwaelimisha watu wakapige kura. Watu wote bee huko Mfindi, Kilolo, Mbozi , moshi, nzega, urambo, nanyumbu, Ileje, katavi, kibondo, Kilombelo, korogwe, bahi, kaliua, meatu n.k
 
Back
Top Bottom