Watanzania tuanze UNOKO | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Watanzania tuanze UNOKO

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Nazjaz, Jul 29, 2011.

 1. Nazjaz

  Nazjaz JF-Expert Member

  #1
  Jul 29, 2011
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 5,345
  Likes Received: 1,141
  Trophy Points: 280
  Ukiona mtu anapiga desa (anaibia kwenye mtihani) mchongee, maana huyu kauzu atakuja kupata kazi ya maana kuliko wewe wakati darasani alikuwa kilaza tu.
  Ukimuona mgeni anaishi mtaani kwetu katoka nchi jirani, msemee maana siku si nyingia atakuwa mbunge, kisha waziri then raisi achukue rasilimali zetu na kuhamishia kwao.
  Ukiona fataki linamnyemelea mtoto wa shoga yako lisemee, maana mtoto wa shoga yako akipata ukimwi jua wazi kuwa na kale kaserengeti boy unakotembea nako kana uhusiano na mtoto wa shoga yako.
  Hebu endelezeni visa vya unoko tuone mwisho wa siku tutapata kitu gani.
   
 2. IGWE

  IGWE JF-Expert Member

  #2
  Jul 29, 2011
  Joined: Feb 3, 2011
  Messages: 7,752
  Likes Received: 1,326
  Trophy Points: 280
  Unoko unakusubua,...anyway eperiency yangu inaniambia wale waliopata alama nzuri sana darasani hawana kazi nzuri kuliko vilaza,...na hii ni kwasababu vilaza wengi ni watoto/ndugu wa wenye nchi,.....tafakari mna uchukue hatua...hii ndi tz bana
   
 3. Roulette

  Roulette JF-Expert Member

  #3
  Jul 29, 2011
  Joined: Dec 15, 2010
  Messages: 5,618
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Doing the right thing for a wrong reason makes it wrong.
   
 4. IGWE

  IGWE JF-Expert Member

  #4
  Jul 29, 2011
  Joined: Feb 3, 2011
  Messages: 7,752
  Likes Received: 1,326
  Trophy Points: 280
  right......
   
 5. Kiranja Mkuu

  Kiranja Mkuu JF-Expert Member

  #5
  Jul 29, 2011
  Joined: Feb 18, 2010
  Messages: 2,100
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  mbombo ngafu
   
 6. IGWE

  IGWE JF-Expert Member

  #6
  Jul 29, 2011
  Joined: Feb 3, 2011
  Messages: 7,752
  Likes Received: 1,326
  Trophy Points: 280
  mbombo ja maka nkamu,........mmmmmmh
   
 7. Kiranga

  Kiranga JF-Expert Member

  #7
  Jul 29, 2011
  Joined: Jan 29, 2009
  Messages: 34,607
  Likes Received: 6,185
  Trophy Points: 280
  Mbona katoa sababu zake hapo juu na zote zinaonekana ku make sense tu?

  Wrong reason iko wapi?

  Au kwa sababu kaita "unoko" ? Angesema "Watanzania tuwe na zero toleraance" bado ungeona ni "wrong reason"?
   
Loading...