habari ya hapa
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 12,788
- 8,755
Ndio maana kafungukaYeye kashaamua?
Kiongozi yeyote anyeahidi kila jambo, na kujionesha anajua kila kitu huyo ni bazazi wa kisiasa, hatari ilokuwepo ni kwamba wananchi sasa wameamini dola na wanadhani dola ndo itawapa kila kitu, na hii imepelekea watu wamedumaa kifikraNan alie ilaani nchi hii kiasi cha raia wake kupambazika kiasi hiki?nchi imegeuzwa mali binafsi ya mh.Jiwe?anafanya apendavyo wala hakuna wa kumzuia ?ananena lolote atakalo wala hana hofu?anavuruga nchi wote kimya?ukifikilia tofaut na kuhoji unaitwa mchichez na sio mtanzania?ina maana watanzania hawana uwezo wa kufikiria na kugundua tunakandamizwa? JIWE kajificha nyuma ya kivuli cha kupambana na ufisad huku wakibak mafisadi wateule pekee kwa faida yake.ziwapi tilion 1.5 ufisad wa karne tangu uhuru?bunge kibogoyo limejing'oa meno lenyewe kwa kujipendekeza kwa mh.jiwe.
Mkuu wamuuliza maswali tena?Zito tuamueje? Watanzania tu waoga, tuamueje? Zito tuamueje? Kama alivyosema Mbowe baada ya kutoka gerezani, we are now in a full swing dictatorship and not Udikiteita Uchwara any more! Hilo kundi la kwanza kuna "watu wasiojulikana", ni hatari how do you go about them?
Kweli inatosha....tuamue nini. Yeye ameamua nini?Mkuu wamuuliza maswali tena?
Zito ni kiongozi, kiongozi kazi yake ni kuonesha njia,
Kwa alichokisema huoni wajibu wako km mwananchi? KweliKweli inatosha....tuamue nini. Yeye ameamua nini?
Zitto bana.
Kwani nani asiyepamoja na Rais?Tumeamua kuwa pamoja na Mh Rais, tupo imara, tunasonga mbele. Wewe amua kuwa agent wa wasioitakia mema nchi. Watanzania wengi tuna imani na Serikali ya Awamu Tano.
Amua moja, kuwa moto au baridi, mwisho utakufa Siku si zakoMi nang'ata na kupuliza!
Naunga mkono partly, na napinga in other hand
Kunielewa ni kazi
Umoto na ubaridi zote hali zanguAmua moja, kuwa moto au baridi, mwisho utakufa Siku si zako
Ninyi akina nani?Tumeamua kwamba Zito Kabwe harudi kwenye Bunge letu 2020!
Watu wa aina yako hata Mungu hawatakiUmoto na ubaridi zote hali zangu
Endelea kupata tabu kunielewa