Watanzania tuamue: ZZK

Watanzania tuamue: ZZK

Amua wewe na uzito wako bna, kama unaona nchi haikufai hama! Kwani lazima ukae tz? Wangapi walihama makwao akiwemo babu yake Trump, shoziniga na hata akina jetilii? Kwa mtu mwenye akili timamu hawezi ng'ang'ana kuvaa kiatu kinachombana. Badili uraia tu kaka na hao wakufuatao!
 
Back
Top Bottom