Watanzania tuache kuishi kwa mazoea!

Watanzania tuache kuishi kwa mazoea!

Majukumu ya kiongozi unayafahamu? Huyo mbunge au diwani?
Jukumu la kwanza la kiongozi ni kutatua kero zinazopatikana katika mtaa wake ama kata wilaya, jimbo, mkoa na nchi, majukumu hutofautiana na ngazi ya uongozi.
 
Shida imeanzia kwenye chama,Lisu anataka mabadiliko kwenye uchaguzi hawa g55 wanataka matumbo yao yajae.
 
Umesema kweli sana ila haya machawa hayatakuelewa na matz mengi ni misukule ya mboga mboga!
Hebu fikiria yale ma wanachuo ya Dodoma yalioandamana Kwa maelfu na kaulimbiu ya mama asemewe! hayo ndio yanaitwa masomi na yamejikita kwenye uchawa wa kiwango hicho , je wale wasio wasomi sijui watakuwaje?
 
Tatizo la kwanza sisi Watanzania ni Waongeaji sana, na Umaskini , ambao upo kwa Jamii zetu nyingi, Angalia Wanasiasa wanapokaribia Uchaguzi wanajua kabisa Wananchi wakiwapa kitu kidogo wataishia kunyamaza kimya, Jana kwenye kikao cha Bunge, mbunge mmoja kagusia Tu Swala la TL basi wabunge karibia wote wa Viti mahalumu wamekuwa na mawazo tofauti ambayo pia sio mbaya kuwa tofauti, Sasa angalia jinsi njaa za madaraka na maisha zinavyowasumbua hata wabunge je kuhusu raia ambae Mshahara wake ni 200k kwa mwezi!!!,

Tuondoke na hii mfumo wa maisha kutegemea kiongozi wa chama flani ndio ataliokoa Taifa Bali Nguvu kubwa tunazo sisi na tunatakiwa tujue kuwa aya maisha ambayo tunaishi sio utamaduni wetu tunaweza kubadilisha mfumo huu sisi wenyew na hakunaga maendeleo yanayokuja kwa kusema sana au kukesha kuomba Watanzania.

Nashukuru sana.
 
Kosa ni la wazee wetu kuikabidhi TANU/ccm dola kitu ambacho kilikuwa sio sahihi kabisa.

#unamkabizije fisi bucha.
 
Watanzania wengi tunaishi kinafki sana tunaona kabisa Taifa linateketea lakn Kuna baadhi ya wananchi wanajizima data Kwa kuhofia kutekwa
 
Back
Top Bottom