Watanzania tuache kuishi kwa mazoea!

Watanzania tuache kuishi kwa mazoea!

Kweli tupu!!👿 wananchi tunadanganywa kwa vitu vidogo inasikitisha sana!!
Ni ujinga wetu lakini, wale waliotandika kanga chini Wasira apite, utashangaa jobless wako humo humo ndo wanampigia saluti, halafu kesho wanatoka wanaanza kuimba hatuna ajiraaa hatuna ajiraaa, njaa zinauma, wanawake wanatukimbia ujinga ujinga tu
 
inakera tunamazoea ya ajabu ajabu!, hata likiandaliwa tamasha akaalikwa kiongozi ni kuchekea chekea tu, muda mwengine hawa viongozi waalikeni wakitoka hapo wameipatapata!.
si kila tamasha kwaajili yakumfurahisha kiongozi matamasha mengine waje waone maisha halisi ya mtanzania na muwe serious muwaambie bwana ama bibi unaona hii hali..? hatuitaki imetuchosha ama unamuuliza kwa miaka hii 60 ya uhuru unafikiri bado inatakiwa tuwe hivi..?

Ukiona viongozi wa nchi wanapigania kukaa kwenye viti jua kuna bwerere wala sio kwamba wana hali yakutetea masilahi ya nchi, tukisema twende serious kabisa wanavyolipwa hiyo mishahara yao wataiona michungu watajiengua ni kuwakalia kooni tu nchi hautaki macheko!.
Hii elimu inatakiwa itolewe kuanzia primary huko. Ishu ni Je, tunaipelekaje huko primary?
 
Hiyo mimoshi inachagua watu wa kuwapumbaza?. Mbona Lissu hajapumbazika?
Hapana haichagui ila wengi wanaathirika, wanakua nyan'ganyan'ga. Hata darasani mwalimu anakua 1, somo 1 na kuna wanaopata 0 kwani wao hawapo darasani mpaka wapate sufuri? Na ajabu kuna wanaomaliza la 7 hawajui hata kusoma.
 
Ni ujinga wetu lakini, wale waliotandika kanga chini Wasira apite, utashangaa jobless wako humo humo ndo wanampigia saluti, halafu kesho wanatoka wanaanza kuimba hatuna ajiraaa hatuna ajiraaa, njaa zinauma, wanawake wanatukimbia ujinga ujinga tu
Huzuni tupu👿
 
Hii nchi tunavyoishi ni kama vile hakuna mabadiriko!, hata kama yapo basi yanaenda kama kobe kitu ambacho si halali!.

Pesa serikalini zinapigwa lakini bado kuna watu mnaishangilia serikali, badilikeni acheni mazoea hizo ni nguvu zenu zinatumika na wachache!.

Miaka 60 ya uhuru lkn bado wanafunzi wanakaa chini na bado mnaichekea serikali tena mnapiga mapambio na wimbo wenu wa mitano tena!.

Mpaka leo bado watu tunalia umeme na maji haya ni mazoea mabovu sana!, tunavyozidi kuchekea ndio matatizo yanaongezeka!. yani nchi ya kwetu wote lakini tunavyoishi kana kwamba kila mtu atajujua kivyake!.. kuna vitu vya mtu kivyake na kuna vitu vya kijamii sasa vitu vya kijamii havitakiwi kuchekewa hovyo!.

we need to be serious guys!
Mataifa ya wengine wanajiangalia wao kwanza ndo wanaangalia mataifa mengine!. Haiwezekani kila siku tukae tunaishi kwa kutegemea mpaka aje kiongozi mmoja mkali ndo ayakemee haya madudu!, huyo kiongozi mkali hata akija ni ngumu kupambana na majizi yaliyomzunguka yatafanya chochote yampoteze!.

Muhimu ni sisi wenyewe kutokukubali upuuzi,ulaghai, kutochekea mambo ya hovyo, kuhoji nakufatilia kodi zetu hii ni haki yetu maana hatukai bure sisi sio wakimbizi kwenye nchi yetu tuna kila haki, uhuru.. shida tunawaachia wachache.

Kama viongozi na serikali hawataki kubadirika ili kutuletea tija ktk nchi basi kwa pamoja tuwabadirishe wao!, hatuwezi tukakaa tu tunavumilia madudu yanayotuuma kila mahali!..

nchi hii gharama za kila kitu huwa zinapanda hazijawahi kushuka haijalishi uzalishaji umeongezeka ama lah!, huu ni ukiritimba!.

Uhuru tulioupata mwaka 1961, Ulikuwa ni kutukwamua dhidi ya wakoloni ili tujiletee maendeleo yetu binafsi!, sasa uhuru huo kama upo halafu maendeleo hakuna hiyo ni sawa na kuunajisi uhuru huo!.

acheni kubabaika na visukari na chumvi na hizo hamsini, ukipambana vyema ngazi ya uongozi ikakaa katika haki unaweza kuingiza pesa nzuri tu ukaachana na hivyo vikanga vyakupewa kila baada ya miaka mitano!.

Tusiwe mazwazwa yakuchekea vitu vya hovyo, semi za hovyo iwe ni chama chochote cha siasa kikishafikia dola kinatakiwa kiwe serious na matakwa ya nchi na wananchi ni sisi ndo tunaamua kudekeza ama kutodekeza tubadilike!.
haya ni ya kweli kabisa na yanaumiza sana. kuna baadhi ya watanzania humu ukiwambia mambo haya, kama ambavyo anafanya LISU na HECHE watakwambia unaropoka
kwao wao kuwa kondoo ni muhimu kuliko kusema ukweli na kudai haki
NO REFORMS NO ELECTION
VIVA LISU VIVA
 
Imefikia hatua ajira watu wanatafuta kwa connection na pesa!, si vigezo watu na vigezo vyao wanatupwa huko wanapewa wenye chochote kitu!.
huko ni Kutengeneza taifa la hovyo lisilokuwa na heshima ya kitaaluma sasa watu wa hivi watakuchagulia kiongozi mzuri kweli..?
 
Kenzy leo hujanywa veve unatema madini 😹

Kwa tanzagiza yetu hii wengi tuna UNAFKI mnakubaliana kufanya kitu lakini utashangaa upo peke yako..!!
Si umeona kilichotokea jana wananchi wamekula njoro, na ndivyo hivyo muendelezo..

Hata hao wabunge wanajua sisi ni wanafki, tukipewa pesa kidogo za muda mfupi tunamshangilia na hakuna maendeleo aliyofanya ndani ya miaka mitano..!!

Tukiacha unafki mapema tuwawajibisha viongozi wote haijalishi wanatokea chama gani..!!
 
Veve bila vitu vya msingi huwezi kukaa juu ya viti virefu!..
ku uchangamsha uchumi kunaanza na familia sasa inapofika ngazi ya nchi halafu mambo yanayofanywa ni ya ajabu hapana kwakweli!.. kuna vitu vya kuvumilia lkn sio vyakizandiki!.
 
Hii nchi tunavyoishi ni kama vile hakuna mabadiriko!, hata kama yapo basi yanaenda kama kobe kitu ambacho si halali!.

Pesa serikalini zinapigwa lakini bado kuna watu mnaishangilia serikali, badilikeni acheni mazoea hizo ni nguvu zenu zinatumika na wachache!.

Miaka 60 ya uhuru lkn bado wanafunzi wanakaa chini na bado mnaichekea serikali tena mnapiga mapambio na wimbo wenu wa mitano tena!.

Mpaka leo bado watu tunalia umeme na maji haya ni mazoea mabovu sana!, tunavyozidi kuchekea ndio matatizo yanaongezeka!. yani nchi ya kwetu wote lakini tunavyoishi kana kwamba kila mtu atajujua kivyake!.. kuna vitu vya mtu kivyake na kuna vitu vya kijamii sasa vitu vya kijamii havitakiwi kuchekewa hovyo!.

we need to be serious guys!
Mataifa ya wengine wanajiangalia wao kwanza ndo wanaangalia mataifa mengine!. Haiwezekani kila siku tukae tunaishi kwa kutegemea mpaka aje kiongozi mmoja mkali ndo ayakemee haya madudu!, huyo kiongozi mkali hata akija ni ngumu kupambana na majizi yaliyomzunguka yatafanya chochote yampoteze!.

Muhimu ni sisi wenyewe kutokukubali upuuzi,ulaghai, kutochekea mambo ya hovyo, kuhoji nakufatilia kodi zetu hii ni haki yetu maana hatukai bure sisi sio wakimbizi kwenye nchi yetu tuna kila haki, uhuru.. shida tunawaachia wachache.

Kama viongozi na serikali hawataki kubadirika ili kutuletea tija ktk nchi basi kwa pamoja tuwabadirishe wao!, hatuwezi tukakaa tu tunavumilia madudu yanayotuuma kila mahali!..

nchi hii gharama za kila kitu huwa zinapanda hazijawahi kushuka haijalishi uzalishaji umeongezeka ama lah!, huu ni ukiritimba!.

Uhuru tulioupata mwaka 1961, Ulikuwa ni kutukwamua dhidi ya wakoloni ili tujiletee maendeleo yetu binafsi!, sasa uhuru huo kama upo halafu maendeleo hakuna hiyo ni sawa na kuunajisi uhuru huo!.

acheni kubabaika na visukari na chumvi na hizo hamsini, ukipambana vyema ngazi ya uongozi ikakaa katika haki unaweza kuingiza pesa nzuri tu ukaachana na hivyo vikanga vyakupewa kila baada ya miaka mitano!.

Tusiwe mazwazwa yakuchekea vitu vya hovyo, semi za hovyo iwe ni chama chochote cha siasa kikishafikia dola kinatakiwa kiwe serious na matakwa ya nchi na wananchi ni sisi ndo tunaamua kudekeza ama kutodekeza tubadilike!.
Hayo yanafanyika Kila Nchi ,hakuna iliyowahi yamaliza
Screenshot_20250327-124235.jpg
 
Hapana haichagui ila wengi wanaathirika, wanakua nyan'ganyan'ga. Hata darasani mwalimu anakua 1, somo 1 na kuna wanaopata 0 kwani wao hawapo darasani mpaka wapate sufuri? Na ajabu kuna wanaomaliza la 7 hawajui hata kusoma.
Simba na Yanga ni zaidi ya huo moshi wa Mwenge!.
 
utawala bado haujitoshelezi kuna mambo ya hovyo mengi yanaendelea, Halafu lazima tuwe na viwango vyetu na ubora wetu si lazima kuangalia nchi nyengine sisi ndo tunatakiwa tuwe wa mfano!.
Kila Nchi mambo ya hovyo yapo
 
Unakuta baada ya miaka mitano likiongozi ndo linarudi jimboni kwake kuchekeachekea na halijafanya chochote nanyinyi mnalichekeachekea!.
limeshashiba vitita vya fedha!, maendeleo hakuna hata aliyoahidi nusu yake hajatekeleza!, hajui hata kwenye jimbo lake anakabiliwa na nini likizo yenyewe anaenda kuilia dubai!.
Majukumu ya kiongozi unayafahamu? Huyo mbunge au diwani?
 
Unakuta baada ya miaka mitano likiongozi ndo linarudi jimboni kwake kuchekeachekea na halijafanya chochote nanyinyi mnalichekeachekea!.
limeshashiba!.
Huwa nikiona hii kitu najisemea hawa wananchi sio wa kuonea huruma kabisa
 
Back
Top Bottom