Valencia_UPV
JF-Expert Member
- Mar 31, 2016
- 7,682
- 9,529
Tena ni wavivu hata wa kufikiri. Mtu anakuambia mungu yupo. Bila ya kuhoji na kuuliza sababu, unaanza kutangaza uwepo wakeKuna wakati mpaka unajuta kuwa mtanzania, fikiria kila sehemu ukienda ni uvivu mwanzo mwisho, vijisababu haviishi kila siku mtu anakuja na sabab wa uvivu wake. Daah si hotelini, ofisi za umma, kwenye daldala, dukani.
*** Wachina wakija kuuza karanga nako tunalia lia tu.
Siri za ndani ya nyumba yako unapoziweka hadharani dunia nzima izisome wewe unafaidika nini ? Unapokojoa kitandani kisha ukahadithia mtaa mzima wewe itakusaidia nini ? jaribu kuwa msaarabu, na pia kumbuka suala la uvivu ni hulka ya mtu ambayo huenda imechangiwa na malezi lakini usijumuishe watanzania wote.Kuna wakati mpaka unajuta kuwa mtanzania, fikiria kila sehemu ukienda ni uvivu mwanzo mwisho, vijisababu haviishi kila siku mtu anakuja na sabab wa uvivu wake. Daah si hotelini, ofisi za umma, kwenye daldala, dukani.
*** Wachina wakija kuuza karanga nako tunalia lia tu.
Kuna wakati mpaka unajuta kuwa mtanzania, fikiria kila sehemu ukienda ni uvivu mwanzo mwisho, vijisababu haviishi kila siku mtu anakuja na sabab wa uvivu wake. Daah si hotelini, ofisi za umma, kwenye daldala, dukani.
*** Wachina wakija kuuza karanga nako tunalia lia tu.
Ni kweli kabisa aiseee, umenena ukweli mtupuTena mbali na uvivu kuna UJUAJI (hata kama mtu hajui jambo husika) = wanaohojiwa kipima joto ITV,
Wengi wanaokaa nje hawana mentality kama ya wanaokaa huku ndani.Watanzania sio wavivu sema fursa nyingi zina password watu wengi hawapendi wenzao wawe na mafanikio..ndio maana ni rahisi kwa mgeni kupiga pesa huku ninyi wenyewe mkipigana vikumbo...mbona huko nje Watz ndio wanapiga sana kazi mkuu
hata mm nimemshangaa na nimewashangaa sana mamods kuachia thread hii bila hata kuifuta sasa nchi zingine wakiona hapa watasema kuhusu sisi watanzania huyu nadhani hana tatizo inaelekea yeye mtoa mada ni mvivu anatuchanganya wote wavivu wakati wengine saa 9 alfajiri tupo tunatafuta ugali wa siku hiyo yeye anadhani tunavyochat hapa wengi hawana kazi au hawajishughulishiSiri za ndani ya nyumba yako unapoziweka hadharani dunia nzima izisome wewe unafaidika nini ? Unapokojoa kitandani kisha ukahadithia mtaa mzima wewe itakusaidia nini ? jaribu kuwa msaarabu, na pia kumbuka suala la uvivu ni hulka ya mtu ambayo huenda imechangiwa na malezi lakini usijumuishe watanzania wote.