Watanzania ni watu wa ajabu sana!, Wanamwaminije Gwajima kuliko Rais wao?

Watu wanaamini wanaosema ukweli.
HAHAHA ASANTE STUDIOOO UMENINYOOSHEA HII NJAA RAISI LIUAMINISHA ANAHAKIKI VYETI HUYU DAUDI KUNA WALAKINI JUU YAKE NA KWAKUWA YEYE NA DAUDI NI TABIA NA KAWAIDA YAO KUTOA MATAMKO KWA CLAUDS TV WANGETUTANGAZIA TU ILI TUENDELEE KUWA NA IMANI NAO
 
Najikuta nimekupenda kuliko UPENDO wenyewe. Hii JF siku hizi inantoa ushamba. Nimetafuta kitufe cha PM sijakiona. Maxence Melo nipe muongozo
mweeh jf ya siku hizi ni mzigo wa kuni kwa wengi wetu
mie kila nikitaka kutuma bandiko halitumiki ila thread najibu
sijui ni ushamba wangu na uzee huu
 
Makonda/Bashite ananyimwa kujiteta binafsi tukamsikia?? Asinena kitu analo tu si mwosha daima naye huoshwa? Adhihirishe usafi wake Na ukwasi wa mwendo kasi wake alio nao-basi, nini tena!!
 
HATA HUYU PASKALI NI KABILA LAO SEMA SASA ANAMPINGA GWAJIMA AKIWA ANATAFUTA KITU KWA RAISI NA MAKONDA ........... NAHISI ASHAPEWWA BAHASHA YA KAKI WASUKUMA HAWAAAMINIKI KABISA HATA MMOJA
Wewe hii tasnia ya uandishi ni pana sana na hasa ukikuta aliyeandika ni mbobezi yumkini hukumuelewa tangu awali Pascal Mayalla ukimuelewa utajua ameegemea wapi au rudia usome msatari kwa mstari ukiwa na umakini you will see what is in the between of the line.
 
Mkuu, Gwajima kaja na ushahidi yakinifu usio na shaka yoyote ndani yake tena wa wazi usio wa mafichoni; sijui vetting, ooh sijui taarabu. Kwanini wasimwamini?
Gwajima anakuaminisha anacheti cha Bashite che Division Zero, inawezekana hujaenda shule, Serikali haitoi cheti cha Division Zero ukipata Zero huna chetiiiii
 
Paskali, Mimi nitamwamini Gwajima akisema una miguu miwili. Sitamwini rais awe ye yote atakayesema Paskali ana miguu sita. Hata hivyo post yako inatafakarisha.
Nasikia gosha mwenzako Daudi Bashite yupo bondeni kwa Zuma. Mshauri tu aweke vyeti hadharani kama wengine waliotuhumiwa walivyofanya. Mshauri hata kwa Kisukuma, huenda akaelewa zaidi.
 
mweeh jf ya siku hizi ni mzigo wa kuni kwa wengi wetu
mie kila nikitaka kutuma bandiko halitumiki ila thread najibu
sijui ni ushamba wangu na uzee huu
JF imekuwa mwendokasi. Vijana wa sasa wanaifurahia tu. Inatubidi tuendelee kujifunza aisee.
 
Nawewe pia boya, Gwajima anakuaminisha anacheti cha Bashite che Division Zero, inawezekana hujaenda shule, Serikali haitoi cheti cha Division Zero ukipata Zero huna chetiiiii acha uboya
Zamani waliosoma secondary before 2000's walikuwa wanapewa vyeti hata waliopata zero.
 
Paskali, kuwa na msimamo usioyumba ili uheshimike. Usitetee kitu kwa sababu ya kutetea tu. Hakuna anayemwandama Makonda for nothing. Yeye atoe vyeti vyake halisi na vihakikiwe na team isiyotiliwa shaka na mambo yataisha. Mengine yote unayosema ooh hatumwamini rais n.k. ni porojo na kupoteza muda.
 
Kwann usianze na gwajima kuonyesha Hivyo vyeti?
This is why nilisema, kwa leo sitaki kua na upande; Saga lilianza hivi; Fulani na Fulani wana issues za madawa, waje tuonane POLICE (though yeye mwenyewe police hakwenda). Police ilicho kifanya ni kupekua nyumbani kwa hao watuhumiwa na baadhi walipelekwa kwa mkemia mkuu wa serikali akiwepo na Gwajima (sina shida ya kueleza kilichotokea huko cause hata wewe unakijua). Now kama kwa mfano wako huo kwamba Gwajima atoe vyeti vya sijui Makonda au Bashite (one of them); ungeuliza the same thing kwa mtoa tuhuma kwamba Fulani na Fulani (in this case Gwajima) kwamba wana issues za madawa then mtoa tuhuma alipaswa kutoa ushihidi pale pale ili kuwarahisishia kazi police ili na police nao wawapeleke tu mahakamani moja kwa moja kuliko kutafuta ushihidi kwanza ndio waende mahakamani. Ukijua kufanya hivi kwa wenzio jua na wao wanaweza kufanya vinginevyo kwako.
 
heeeeeh weee waajabu vetting ni machine gani iyoo ya kukoboa mpunga ama.......alaaaah

tunamwamin yeye ambae ameleta ushahidi wa vielelezo saa uyo raisi mwenyew kanyamaz kimya kama kafa

shoga maana kifo cha shoga ndo kimya kimya hakuna kulia.........

Basi ata mh, angetoa tamko lakin ndo kwanza yuko kimya alaf unaniambia nisimuamin gwajima uwezz kuwa ujalewa....tena yule mtumishi wa mungu unaweza kuta kaoteshwa kwamba jamaa kala buyu


ha ha ha kifo cha shoga kimya kimya
 
Ukanda, ukabila na njaa vimeanza kukuandama!
Kwa nini kama RC Makonda anasingiziwa asijitokeze hadharani kupinga zaidi ya kulialia?
Kwa nini asiende mahakamani kufungua kesi ya kusingiziwa kuwa yeye ni DAUDI ALBERT BASHITE?
Kati ya watu ambao nilikuwa nawaamini sana ni wewe ila tangu Rais Magufuli aingie madarakani umebadilika sana!
 
Mayala tangu lini umekuwa msemaji wa bashite?, sirikali imekuwa kimya, kuanzia kwa mkuu wa kaya npaka mama ndalichake
 
Baada ya Magufuli kuingia madarakani, Pascal akabadili yuza nem humu kulifanya kamili. Alijitambulisha wazi kwa Magufuli siku ile na kuuliza swali lililomhenyesha Magu, nadhani lengo lilikuwa ni kuvuta attention ya mkulu. Sasa ni fagio tuu kwa kwenda mbele. Kaki nadhani imelainisha mashine. Kama siyo khakee basi ni ukanda ndo umempofusha macho. Sukumaland
 
Mayalla vp Gwajima mna ugomvi gani?kila topic Gwajima dah!! Unalazimisha tumpende magufuli kwa lipi!!
 
Wanaotuhumu ati wana ushahidi, sijui kama wamekuelewa!

BASHITE NI NANI HASA?Bashite ni UKOO wa mwanajeshi (Gazeti la Mwanahalisi) au mganga wa kienyeji (ulivyodokeza)!
Mi kuna mzee ambaye ni mjomba wake tunapiga nae kazi... Daudi Bashite Alipokuwa anapiga ukonda ndio alikuwa anakaaa kwa huyu mzee tunapiga nae kazi.... So anamjua ni mpwa wake
 
Back
Top Bottom