Watanzania ni tofauti na Wakenya wasio ogopa kukosoa au kukosolewa mitandaoni

We jamaa ni muoga, tena sana. Unacomment kuhusu lugha aliyotumia mleta mada ili usitoe maoni yako kuhusu maji kukosekana kwenye chuo kikuu cha UDOM. Huna hamu kabisa ya kula maharage ya bure, Mr UDOM is the biggest univ. in EA?

That doesn’t change the fact that UDOM is the Largest Univ in East Africa,
Unashangaa UDOM wakati the whole of Nairobi next to uhuruto state house kenyans lost hope of bathing clean water till 2026? Kipindupindu na Wakenya wa Nairobi haviachani kama chupi na tako
IMG_3234.JPG
 
Back
Top Bottom