Watanzania ni tofauti na Wakenya wasio ogopa kukosoa au kukosolewa mitandaoni

NairobiWalker

JF-Expert Member
Oct 31, 2012
11,714
11,810
Tofauti na Wakenya wasioogopa kuongelea ukosefu wao mitandaoni na popote pale, Wabongo wana tabia ya kuficha ukosefu wao na hata kutia mbaroni wanaouweka wazi. Ndiyo maana watu kama joto la jiwe wamo humu wanadhani Tanzania ni mahali pazuri sana pasipo na shida. Haya, ona haya, mwanafunzi atiwa mbaroni kwa kusema ukweli.

Mwanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dodoma Tungu Mgaya, anashikiliwa na Jeshi la Polisi Mkoani Dodoma tangu jana kwa kutuhuma za kupiga na kusambaza picha inayoonesha shida ya maji chuoni hapo.

FB_IMG_1579694021998.jpg

MWANAFUNZI MUYAGA TUNGU ANAYEDHANIWA KUPIGA PICHA ZA KUONYESHA TATIZO LA MAJI UDOM MIKONONI MWA POLISI DODOMA

Mwanafunzi wa mwaka wa pili anayesoma Sayansi ya Asili (Natural Science ) chuo kikuu cha UDOM , Mugaya Tungu alikamatwa Jan 21 mwaka 2020 akiwa chumbani kwake ndani ya bweni la wanafunzi UDOM.

Mwanafunzi huyo alikamatwa na polisi bila kuambiwa kosa lake ni lipi na kwanini alikamatwa. Baada ya kukamatwa alipelekwa kituo cha polisi chimwaga Dodoma.

Lakini pia rafiki yake wa karibu (jina lake limehifadhiwa) naye alifuatwa kukamatwa usiku lakini alishtukia mapema na hakuweza kulala chumbani kwake hivyo polisi walimtafuta na hawakumpata.

THRDC tumefuatilia kwa ukaribu kukamatwa kwa mwanafunzi huyo na kupata taarifa kwamba mwanafunzi huyo anadhaniwa kupiga picha zinazoonyesha uhaba wa maji katika chuo kikuu cha Dodoma. Wanafunzi wanapata changamoto sana kuhusu maji hali inayowasababishia kupanga foleni muda mrefu na pengine kuchelewa masomo darasani, hivyo mwanafunzi Tungu anadaiwa kupiga picha za wanafunzi wenzake wakiwa wamepanga foleni muda mrefu na kwa wingi na hatimae kukamatwa kwake.

Wanafunzi wenzake walienda leo jan 22, 2020 mnamo sa saba mchana kwenye kituo cha polisi alipowekwa mwanafunzi Tungu lakini hawakufanikiwa kumuona. Wanafunzi wenzake baada ya kufika kituo cha polisi waliambiwa kuwa Tungu amepewa dhamana ya polisi lakini walipohoji endapo kuna mtu amemdhamini waliambiwa hayo hayawahusu.
Hata hivyo wanafunzi wenzake wamejaribu kupiga simu zake hazipatikani na mwanafunzi huyo hajaonekana bwenini mpaka sasa hivyo bado haijulikani alipo.

Mtandao wa Watetezi wa Haki za Binadamu Tanzania (THRDC) tunaendelea kufuatilia kwa ukaribu kukamatwa kwa mwanafunzi Mugaya Tungu, na tutawapa taarifa kadri tutakavyobaini.

Imetolewa na
Mtandao wa Watetezi wa Haki za Binadamu Tanzania ( THRDC)
Jan 22, 2020
 
Aisee ndio maana wanaenda kupigwa bonge la ban na sanctions juu yake! hizi ni tabia za kina kim jong un mazeee dah, wazee wa kubaka demokrasia mko vizurii😂😂 jiwe binya kabisa hao!!
 
Tofauti na Wakenya wasioogopa kuongelea ukosefu wao mitandaoni na popote pale, wabongo Wana tabia ya kuficha ukosefu wao na hata kutia mbaroni wanaouweka wazi. Ndio maana pimbi zingine Kama joto la jiwe wamo humu wanadhani Tanzania ni pahali pazuri sana pasipo na shida. Haya, ona haya, Mwanafunzi atiwa mbaroni kwa kusema ukwel.

Mwanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dodoma Tungu Mgaya, anashikiliwa na Jeshi la Polisi Mkoani Dodoma tangu jana kwa kutuhuma za kupiga na kusambaza picha inayoonesha shida ya maji chuoni hapo.

FB_IMG_1579694021998.jpg

--+
MWANAFUNZI MUYAGA TUNGU ANAYEDHANIWA KUPIGA PICHA ZA KUONYESHA TATIZO LA MAJI UDOM MIKONONI MWA POLISI DODOMA

Mwanafunzi wa mwaka wa pili anayesoma Sayansi ya Asili (Natural Science ) chuo kikuu cha UDOM , Mugaya Tungu alikamatwa Jan 21 mwaka 2020 akiwa chumbani kwake ndani ya bweni la Wanafunzi UDOM.

Mwanafunzi huyo alikamatwa na polisi bila kuambiwa kosa lake ni lipi na kwanini alikamatwa. Baada ya kukamatwa alipelekwa kituo cha polisi chimwaga Dodoma.

Lakini pia rafiki yake wa karibu (jina lake limehifadhiwa) naye alifuatwa kukamatwa usiku lakini alishtukia mapema na hakuweza kulala chumbani kwake hivyo polisi walimtafuta na hawakumpata.

THRDC tumefuatilia kwa ukaribu kukamatwa kwa mwanafunzi huyo na kupata taarifa kwamba mwanafunzi huyo anadhaniwa kupiga picha zinazoonyesha uhaba wa maji katika chuo kikuu cha Dodoma. Wanafunzi wanapata changamoto sana kuhusu maji hali inayowasababishia kupanga foleni muda mrefu na pengine kuchelewa masomo darasani, hivyo mwanafunzi Tungu anadaiwa kupiga picha za wanafunzi wenzake wakiwa wamepanga foleni muda mrefu na kwa wingi na hatimae kukamatwa kwake.

Wanafunzi wenzake walienda leo jan 22, 2020 mnamo sa saba mchana kwenye kituo cha polisi alipowekwa mwanafunzi Tungu lakini hawakufanikiwa kumuona. Wanafunzi wenzake baada ya kufika kituo cha polisi waliambiwa kuwa Tungu amepewa dhamana ya polisi lakini walipohoji endapo kuna mtu amemdhamini waliambiwa hayo hayawahusu.
Hata hivyo wanafunzi wenzake wamejaribu kupiga simu zake hazipatikani na mwanafunzi huyo hajaonekana bwenini mpaka sasa hivyo bado haijulikani alipo.

Mtandao wa Watetezi wa Haki za Binadamu Tanzania (THRDC) tunaendelea kufuatilia kwa ukaribu kukamatwa kwa mwanafunzi Mugaya Tungu, na tutawapa taarifa kadri tutakavyobaini.

Imetolewa na
Mtandao wa Watetezi wa Haki za Binadamu Tanzania ( THRDC)
Jan 22, 2020
Ni upuuzi tu.
Ukisema hostel za wanafunzi zina nyufa inabidi zikarabatiwe basi na wewe ushakua mgomvi kwa serikali yako.
Kwa hali ya sasa ilivyo soon utaona anapewa kesi ya uhujumu uchumi (ML).

Sent using Jamii Forums mobile app
 
NairobiWalker,

Pamoja na Kudumu kwenye hili jukwaa kwa miaka kadhaa inasikitisha kuona bado unaandika Kiswahili kibovu namna hii.
We jamaa ni muoga, tena sana. Unacomment kuhusu lugha aliyotumia mleta mada ili usitoe maoni yako kuhusu maji kukosekana kwenye chuo kikuu cha UDOM. Huna hamu kabisa ya kula maharage ya bure, Mr UDOM is the biggest univ. in EA?
 
Tofauti na Wakenya wasioogopa kuongelea ukosefu wao mitandaoni na popote pale, Wabongo wana tabia ya kuficha ukosefu wao na hata kutia mbaroni wanaouweka wazi. Ndiyo maana watu kama joto la jiwe wamo humu wanadhani Tanzania ni mahali pazuri sana pasipo na shida. Haya, ona haya, mwanafunzi atiwa mbaroni kwa kusema ukweli.

Mwanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dodoma Tungu Mgaya, anashikiliwa na Jeshi la Polisi Mkoani Dodoma tangu jana kwa kutuhuma za kupiga na kusambaza picha inayoonesha shida ya maji chuoni hapo.

FB_IMG_1579694021998.jpg

MWANAFUNZI MUYAGA TUNGU ANAYEDHANIWA KUPIGA PICHA ZA KUONYESHA TATIZO LA MAJI UDOM MIKONONI MWA POLISI DODOMA

Mwanafunzi wa mwaka wa pili anayesoma Sayansi ya Asili (Natural Science ) chuo kikuu cha UDOM , Mugaya Tungu alikamatwa Jan 21 mwaka 2020 akiwa chumbani kwake ndani ya bweni la wanafunzi UDOM.

Mwanafunzi huyo alikamatwa na polisi bila kuambiwa kosa lake ni lipi na kwanini alikamatwa. Baada ya kukamatwa alipelekwa kituo cha polisi chimwaga Dodoma.

Lakini pia rafiki yake wa karibu (jina lake limehifadhiwa) naye alifuatwa kukamatwa usiku lakini alishtukia mapema na hakuweza kulala chumbani kwake hivyo polisi walimtafuta na hawakumpata.

THRDC tumefuatilia kwa ukaribu kukamatwa kwa mwanafunzi huyo na kupata taarifa kwamba mwanafunzi huyo anadhaniwa kupiga picha zinazoonyesha uhaba wa maji katika chuo kikuu cha Dodoma. Wanafunzi wanapata changamoto sana kuhusu maji hali inayowasababishia kupanga foleni muda mrefu na pengine kuchelewa masomo darasani, hivyo mwanafunzi Tungu anadaiwa kupiga picha za wanafunzi wenzake wakiwa wamepanga foleni muda mrefu na kwa wingi na hatimae kukamatwa kwake.

Wanafunzi wenzake walienda leo jan 22, 2020 mnamo sa saba mchana kwenye kituo cha polisi alipowekwa mwanafunzi Tungu lakini hawakufanikiwa kumuona. Wanafunzi wenzake baada ya kufika kituo cha polisi waliambiwa kuwa Tungu amepewa dhamana ya polisi lakini walipohoji endapo kuna mtu amemdhamini waliambiwa hayo hayawahusu.
Hata hivyo wanafunzi wenzake wamejaribu kupiga simu zake hazipatikani na mwanafunzi huyo hajaonekana bwenini mpaka sasa hivyo bado haijulikani alipo.

Mtandao wa Watetezi wa Haki za Binadamu Tanzania (THRDC) tunaendelea kufuatilia kwa ukaribu kukamatwa kwa mwanafunzi Mugaya Tungu, na tutawapa taarifa kadri tutakavyobaini.

Imetolewa na
Mtandao wa Watetezi wa Haki za Binadamu Tanzania ( THRDC)
Jan 22, 2020
Huyo mwanafunzi ni Mtanzania au si Mtanzania?

Tanzanians are not monolithic.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jamaa wanaishi kama North Korea vile, wacha wakandamizwe hivyo hadi watie akili....hehehe
Tanzania huwa kuna matatizo mengi sana lakini nguvu nyingi hutumika kuyaficha.
Napenda sana tulivyo sisi, huku kwetu unaambiwa kama ilivyo, yanaanikwa uyaone mwenyewe.....unapata hasira lakini hatimaye unalifanyia kazi.
 
Kwanza Trump anataka kuwatia Wabongo kidole hivi karibuni
 
😂😂😂 chuo kikuu Cha UDOM hakina maji? Wanafunzi huko lazima wananuka ka beberu...wachafu sana.
 
Back
Top Bottom