Infropreneur
JF-Expert Member
- Aug 15, 2022
- 12,862
- 27,307
Waafrika hasa watanzania wana upumbavu wa milele.
Je kuwa mpumbavu ni dhambiWaafrika hasa watanzania wana upumbavu wa milele.
😀😀😀Hata ukijaribu kuhoji unazimwa si bora ujilie mbususu utulie, wanaohoji ndio hao wapo gerezani
Ukiona sasa maisha yalivyowapiga mpaka unajiuliza hii Species ni ya kutoka ukoo gani?Waafrika hasa watanzania wana upumbavu wa milele.
Dhambi is an illusion concept.Je kuwa mpumbavu ni dhambi
😁😁😁Dhambi is an illusion concept.
Upumbavu ni kukataa kujifunza na kukataa mabadiliko.
Hakika jambo hili linasikitisha na kufikirisha sana. Jana nilikuwa na mtu akasema, hivi kwanini Lisu anahangaika, si atulie yeye na familia yake? Nilimtazama kwa hasira, kisha nikamwambia, nchi yetu inaangamia kwa sababu ya ukimya wa watu kama yeye. Nikaondoka. Tunahitaji kubadilika kifikra.watanzania sijui ni kutokujitambua au kutojali, asilimia kubwa ya watanzania hawazingatiii sana na hukuti wakijisumbua kuhangaikia au kuhoji mambo ya msingi yanayobeba mstakhabari wa maisha yao na taifa lao.
Mambo wanayoyapa kipaumbele ni umbea, sijui jux kafanya ni kwenye harusi, mara Mo anamiliki Mali za urithi, mara mwijaku anagombaniwa na madent wa wapi siju na unakuta watu wako busy kubishana mambo kama hayo!
Mara nyingi mada zote zinazohusu mageuzi ya kimaendeleo katika taifa huwezi kuona watu wakihangaika nayo, mathalani viwanda, Mwl. Nyerere aliacha karibia kila mkoa una kiwanda but now days vimekufa vyote , na huwezi kuta watanzania wanakaa na kuhoji kama taifa mustakhabali wa viwanda hivyo, kwa nini vilikufa? Kwa nini visifufuliwe nk, badala yake , umbea kila mahali
Billions to tillions of money zinapotea, ufisadi kila mahali, lakini tunajikuta tunapuuza tu , puuuza mpaka dunia inatupuuza na yenyewe huku kipaumbele chetu ni simba na yanga , huku bifu la diamond na alikiba ndiyo vitu vinavyoongoza kujadilika, upuuzi mtupu kila mahali
Hili Taifa tusipobadilika tutafika mwisho wa safari tukiwa tumechoka sana bila wenyewe kujua kuwa tumechoka
ndo maisha tuliyoyachagua haya.utaumiza akili bureMzee kazi zinafanyika tu, ishu ni mifumo yetu ya maisha iliowekwa na hao policy makers haimfavour mtu bali wao tu.
Yaani ww unaeamka saa11 asbuhi kwenda kujenga taifa/hustle mpaka jioni humshindi chawa (asie na kazi ya maana) anaesifia kiongozi kwa dk kadhaa tu kwa mafanikio.
Ni kweli hata hao chadema wakipata madaraka, kama mfumo wetu wa maisha utakua huuhuu basi hamna jipya tutakua tumefanya hapo.
Billions to tillions of money zinapotea
Me ninawaza tu mkuu, watu zaidi ya 60 millions, kwenye nchi iliyojaaa kila aina ya utajiri, tunakosa hata kiwanda cha chuma, magari, pikipiki, battery, tires? Mwl. Nyerere aliwezaje? Sisi kama taifa tunashindwaje? basi tufanye sisi hamnazo, hata kuweka mazingira mazuri ya wawekezaji tunashindwa?Mabadiliko yananza na sisi sio Kwa kubandika bila matendo
😂😂😂😂😂Hata ukijaribu kuhoji unazimwa si bora ujilie mbususu utulie, wanaohoji ndio hao wapo gerezani