Watanzania nani katuroga?

Watanzania nani katuroga?

Hawa vijana wenyewe wanakesha kwenye mabanda umiza kubishana simba+yanga? Sijui Barcelona kafanya nin, na wengine siku kucha kufatilia umbea, mabirthday parts, kushinda makanisani kuomba miujiza na mambo ya kipuuzi, sasa huo mda wa kudiscuss mambo ya msingi watanzania watoe wapi?.
Asilimia kubwa ya watanzania ni wavivu na waoga wa kujifunza mambo mapya yanayotumia akili ndiomaana wanaamua kupoteza muda ktk mambo ya kipuuzi,

ili akili za watanzania ziamke ni either ipite mijeredi mikali ya kuamsha akili zao kupitia anguko la uchumi au, kutokea mfumo fulani mgumu ktk maisha au aje kiongozi atakayejenga fikra mpya kwa vijana, tofauti na hapa tutaendelea hivi hivi kuonewa na hawa viongozi wetu majizi na mitaani raia hawahoji zaidi ya kushabikia mambo ya hovyo.

Hili taifa kwa sasa tunaenenda kama mazombi tu kila kiongozi anajifanyia atakalo na hakuna wa kumtisha.
Umenena vyema sana, na changamoto kubwa nafikir ni ujinga , hatuwezi kuona wenzetu mataifa mengine yanaendelea kiteknolojia sisi tupo tu , hatuoni wivu, hatujifunzi , kadri siku zinavyoenda wenzetu wanapiga hatua moja muhimu mbele , sisi tuko palepale, na hatushtuki kabisa.
 
Back
Top Bottom