Hahaha...mkuu hii nimeipenda!!Nina Mitsubish Pajero ndogo 1,
Hiace yakuniingizia alfu 40 daily 1,
Mazda Demio ya kubadilishia Pajero 1, zote nalaza msikitini,
lakini nimejibana kwenye kajiupande ka vyumba vi-3 sinza,
Maisha ndo haya, na yanasonga mbele,
Viwanja vyenyewe mjini vishaisha, nani akajenge huko madongo kuinama?
Biashara ya kuamka saa 10 za usiku kila siku kuwahi foleni siziwezi
assets ni kitu kinacho ongezeka thamani kila siku
mfano nyumba,hisa za makampuni...dhahabu na vito hivi...
majengo ya kupangisha.....
liability ni kitu kinacho pungua thamani kadri siku zinavyo kwenda
mfano magari,nguo,fanicha n.k
hapa mods walidelete posts kibao,,,,,nilimuelimisha sana huyu mtu tofauti ya Assets na Liabilities!!!uhasibu gani huo?
Hii mada imenifurahisha sana na imebeba ujumbe mzito na ukweli mtupu.
Waafrika tunapenda sana mambo ya kujionyesha. Mfano sasa wengi wanapenda kujionyesha na simu za bei mbaya za touch screen. Hizo nyingi zake zinamchukua mtu zaidi ya laki mbili. Wakati matumizi yake ya kawaida ni kupiga na kupokea mawasiliano tu, na mara chache matumizi ya internet. Na hizi simu za touch screen ni very delicate, bora za kawaida zina uimara. Makampuni yanayotengeneza simu ni biashara zaidi badala tunavyofikiria kuwa ni huduma.
Mtu yuko tayari kudunduliza na kujazia kwa kukopa ili awe na mutukaa ya kutesa barabarani wakati anaishi kwenye chumba kimoja cha kupanga, gari naliweka pale wanapopaki daladala mgambo wanilindie. Gharama za kununua gari nzuri ya kawaida zinatosheleza kujenga kibanda cha vyumba vitatu mtu ukajisikia unametulia na hapo ndio uhangaikie kutafuta kababaji. Nahitaji gari lenye navigator wakati barabara za bongo hazina hata mpangilio wa kusomeka map direction na hata net work yenyewe ni mizengwe.
Tuliwacheka Wazambia kupaki gari kwenye banda la nyasi na kutundika network dish kwenye mti, sasa hayo yametupata. Jamani tuwe na mipangilio ya priority na kisha yanafuata ya kurahisisha maisha. Hii ya mambo ya liability ipo siku tutajutia maana mambo ya kuandaa maisha si kesho bali ni leo, na usipofanya ya muhimu kwa ajili ya asserts ujue kesho haiji hadi utakapojuta kuzaliwa muda tuliochezea pesa kama kesho inakuja na kushuhudia ilishapita bila kujua.
Kweli kabisa Baba Enock! Watanzania wengi wanapenda sana kujionesha kwamba wao ni matawi ya juu kumbe hata kwenye mizizi hawajafika. Ndo maana ufisadi umekithiri sana.Anamiliki VX V8 anaishi kwenye chumba kimoja Sinza Madukani!
hapa mods walidelete posts kibao,,,,,nilimuelimisha sana huyu mtu tofauti ya Assets na Liabilities!!!
Imagine gari, fanicha zote anaziita liabilities...lol!!
na ku bip.
Halafu simu ikipigwa mpaka wimbo nusu ndio anapokea
mambo ya show show tu.
rembenii barabara nzuri labda uwe unataka kupanda milimani.
assets ni kitu kinacho ongezeka thamani kila siku
mfano nyumba,hisa za makampuni...dhahabu na vito hivi...
majengo ya kupangisha.....
liability ni kitu kinacho pungua thamani kadri siku zinavyo kwenda
mfano magari,nguo,fanicha n.k
Nina Mitsubish Pajero ndogo 1,
Hiace yakuniingizia alfu 40 daily 1,
Mazda Demio ya kubadilishia Pajero 1, zote nalaza msikitini,
lakini nimejibana kwenye kajiupande ka vyumba vi-3 sinza,
Maisha ndo haya, na yanasonga mbele,
Viwanja vyenyewe mjini vishaisha, nani akajenge huko madongo kuinama?
Biashara ya kuamka saa 10 za usiku kila siku kuwahi foleni siziwezi
Nadhani kwa safari yako hiyo Basi halikupungua abiria 65, Sidhani kama kweli kwa kila mmoja ulikagua simu yake (kwa mujibu wa maelezo yako)
Sidhani kama kama utakuwa uliwasaidia, katika kusoma post yako nilidhani ulifika sehemu na kuwaelekeza hata namna ya kutumia Calculator au hata kuwarekebishia Majira simu hata ya mmoja kama mfano.
Hata hivyo Primarly simu ni kwa ajili ya kupiga na kupokea vingine ni extra kwa muhitaji so hakuna walichopoteza kwa sababu tangu wananunua hilo ndilo lilikuwa lengo
My Take:
Hukuwa msaada kwao zaidi ni hayo masimango na zaidi kwa sababu waliogushwa ni abiria wa nyumbani kanda ya ziwa!