Watanzania na Ulimbukeni Matumizi ya Simu

mbona mi nipo form kadhaa lakini namiliki nokia 5800xpressmusic touch screen,ila naitumia effectively na mimi nilaumiwe kwa umiliki huo,halafu kumiliki sm ya gharama inategemea na status ya m2 mwenyewe.but kwa utafiti wangu watu walio na kipato cha chini ndo wanaomiliki simu za gharama au na danganya?
 
Bravo mkuu,

Mimi nikisikia mtu anajenga nyumba 100mil miaka nne napata maumivu ya kichwa..

Nunua magari ya biashara @ day yanakupa mchongo Dar

Weka maduka ya biashara ya chakula, chips etc kwenye misongomano ya watu mazenze, posta, sinza @ day unakusanya kama huna akili nzuri

Nunua gari la kukimbizana na wezi wa mjini (i mean wafanyakazi wako) maana Dar wafanyakazi wanajiona wajanja kuibia tajiri wao;

Period..kuna watu utafikiri kama huna nyumba utakufa..

Mchagga nyumba heshima. Unajenga huko katika mji uishipo unapotafuta kipato. Na pia nyumbani kijijini unajenga.
Unadhani ukifa utapitishiwa maiti yako katika boma/nyumba ya baba yako wakati na wewe una boma?
Kujenga muhimu!
Kuna watu wanadharau mambo ya kujenga, na hii huletwa na sababu za mazingira aloishi.
Kama wazazi wako hawakujenga, na ulizaliwa ukaishi katika pango(nyumba ya kupanga), ukakulia katika pango. Ukajiweza ukatafuta maisha, marafikizo na kampani yako yote, haiwazi kujenga. Mindset ya kujenga utaitoa wapi?
Ivi vitu vya kujenga vinatokana na mazingira mtu alokulia!
 
naona wivu unahusika kwenye comment yako!kama gari nzuri nnayo,nna nyumba 3 kwanin nisiwe na touch screen?are you honest kwamba hata kama ukiwa na idle money,cm nzuri huwez kununua? For me, simu ni priority na hapa nna cm ya lak 6 na sion hasara maana ndo matumiz ya fedha!

hakuna kitu kama hicho hapa duniani.
 
Ha ha ha haaaaaaaaaaaaaaa.....aah! omg...umepata wapi wazo hili????????? aiseeeee....anyway mimi simu yangu ni sumsung wave 2, nilinunua laki 450,000 lakini naifaidi sana...internet,weather forecast, mms, music, video, games, wifi hotspot, gps, google earth, radio, torch, kioo(mirror), recorder, camera, huduma zote za kibenki, nime-download vitabu kibao, dictionary, n.k nafaidi JF sana.
 
assets ni kitu kinacho ongezeka thamani kila siku

mfano nyumba,hisa za makampuni...dhahabu na vito hivi...
majengo ya kupangisha.....

liability ni kitu kinacho pungua thamani kadri siku zinavyo kwenda
mfano magari,nguo,fanicha n.k
The Boss,
hapa watoto wa mjini wanasema umetuingiza choo cha kike
 
Back
Top Bottom