Liability ni nini na assets ni nini mkuu! Nahitaji ufafanuzi!<b><font size="4"><font color="#0000cd">Kama ilivyo kawaida, Watanzania tunapenda sana kumiliki LIABILITY kuliko ASSETS. Labda kwa sababu liability zinaoneka na watu wengi kwa urahisi.....hivyo ni sifa...</font></font></b>
Teh teh teh teh!!
Kama ilivyo kawaida, Watanzania tunapenda sana kumiliki LIABILITY kuliko ASSETS. Labda kwa sababu liability zinaoneka na watu wengi kwa urahisi.....hivyo ni sifa...
Labda kwa sababu liability zinaoneka na watu wengi kwa urahisi.....hivyo ni sifa...
Liability ni nini na assets ni nini mkuu! Nahitaji ufafanuzi!
Hakuna kitu kinachonikera kama kumwona mtanzania mwenzangu anamiliki simu ya laki hata tatu, lakini ni kwa matumizi ya kupiga, kupokea na kutuma msg tu.
Mi nilisikitika kuna siku nilitoka mwanza - Dar kwa basi,,ni mimi peke yangu ndo nilikua nakula JF japo kisimu changu hakizidi 45000/=, (nokia 2330) wengine wamelala na wengine wakipiga simu au kutuma mesiji au kucheza gemu,,bila kujali wanamiliki simu za malaki ya fedha.
Mimi ndo nikawa nawataarifu kuwa bajeti ya wizara ya madini imekataliwa nk.
-Wengine hawajui kuwa kwenye simu kuna saa ( mfano simu inaonyesha mwaka 2010)
-wengine hawajui kuwa kuna calcutator, alam etc.
-wengine hata huduma za pesa hawatumii kabisa, mfano mambo ya simbanking (kuchek bank statement) etc
Hivi ni ushamba au ni nini?
Make kama ishu ni hela naweza kukukatalia sababu huduma za internet kwenye simu ni takriban bure kabisa.
-Wengine hawajui kuwa kwenye simu kuna saa ( mfano simu inaonyesha mwaka 2010)
-wengine hawajui kuwa kuna calcutator, alam etc.
-wengine hata huduma za pesa hawatumii kabisa, mfano mambo ya simbanking (kuchek bank statement) etc
Hivi ni ushamba au ni nini?
Make kama ishu ni hela naweza kukukatalia sababu huduma za internet kwenye simu ni takriban bure kabisa.
<br />Sijakuelewa sana ila tambua kuwa bado uelewa wa wa tz ni mdogo kwenye teknolojia! Wengne wanajua kupokea na kukata tuu
Asilimia kubwa ya vijana mjini wana magari ya hatari, lakini wamepanga vinyumba vya ajabu, wengine wamebebwa kwa washkaji!
Gari la ukweli ndio kila kitu, ukiwa na mkoko wa ukweli unaheshimika na kila mtu!
Nina Mitsubish Pajero ndogo 1,Asilimia kubwa ya vijana mjini wana magari ya hatari, lakini wamepanga vinyumba vya ajabu, wengine wamebebwa kwa washkaji!<br />
Gari la ukweli ndio kila kitu, ukiwa na mkoko wa ukweli unaheshimika na kila mtu!
Ni kweli....lakini inategemea kipi kinazidi kingine.......lakini kwa uzoefu wangu, bongo watu wana liability nyingi kuliko assets......Huwezi kuwa na liability bila ya kuwa na asset
Hapa sina la kusema!!
Rembenii barabara nzuri labda uwe unataka kupanda milimani.4wheel kwetuu lembeni ndo mwake mwake!
mtu anasuka rasta ili apate mademu wa kizungu