Watanzania mwisho wetu ndio sasa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Watanzania mwisho wetu ndio sasa

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Kitty Galore, Mar 7, 2012.

 1. Kitty Galore

  Kitty Galore JF-Expert Member

  #1
  Mar 7, 2012
  Joined: May 24, 2011
  Messages: 347
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  Kila kukicha bora ya jana. Makali ya maisha yanaongezeka siku hadi siku.Umeme juu, mkaa haukamatiki, leo gesi ndio balaa. Nimeshangazwa sana na mfumuko wa bei kwenye nishati hii ya gesi, leo bei ni kg40 155000, kg15 58000 na kg 6 24000, tunaelekea wapi watz wenzangu? kwa mtindo huu tutamudu maisha?
   
 2. S

  Shansila Senior Member

  #2
  Mar 7, 2012
  Joined: Jan 28, 2012
  Messages: 189
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wewe ukilalama watu wanaishi tu,watza wana hela na kama huna ni wewe tu.Vitu vingapi vimepanda bei ljn watu wanapeta?
   
 3. s

  sugi JF-Expert Member

  #3
  Mar 7, 2012
  Joined: Feb 12, 2011
  Messages: 1,367
  Likes Received: 113
  Trophy Points: 160
  dumisha tu amani ndugu,mambo yatanyooka tu cku moja!
   
 4. SIMBA WA TARANGA

  SIMBA WA TARANGA JF-Expert Member

  #4
  Mar 7, 2012
  Joined: Feb 14, 2012
  Messages: 992
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Tuhamie Rwanda, Tz ni hatarishi kwa afya ya binadamu.:A S embarassed:
   
 5. harakat

  harakat JF-Expert Member

  #5
  Mar 7, 2012
  Joined: Jul 4, 2011
  Messages: 2,908
  Likes Received: 761
  Trophy Points: 280
  Ukiona minyoya jua kaliwa kamanda yaani huwezi amini kwamba
  nchi yenye madini kama tz watu ndo tunaishi hivi
   
Loading...