Watanzania msiwe wepesi wa kusahau, Magufuli wa mwaka 2020 siye huyu wa miaka ya nyuma

Wafanyakazi wa serikali wasisahau kutopanda kwa mishahara kwa miaka 5 mfululizo hii ni ukiukwaji wa haki zao za msingi sasa sijui wamesahau au wamekubaliana na hali. Hakuna wa kusema sio mtu mmoja mmoja au vyama vyao vya wafanyakazi.
 
Vile vyama Sijui CWT wanakula hela za wanachama tu, kazi gani wanayoifanya zaidi ya kufyeka pesa monthly za wanyonge.?
 
Sasa we ni mende au Tundu? Type mbadala Basi wa jembe Magu! Sisi kwetu Magufuli ndio habari ya mjjni! Wengine tulishawafungia vioo! Au hujasiki kibwagizo...mkimchafuA tutamsafishaaaaa!?
 
Wafanyakazi wa serikali wasisahau kutopanda kwa mishahara kwa miaka 5 mfululizo hii ni ukiukwaji wa haki zao za msingi sasa sijui wamesahau au wamekubaliana na hali. Hakuna wa kusema sio mtu mmoja mmoja au vyama vyao vya wafanyakazi.
Tunajisikia fahari wafanyakazi kuchangia zaidi awamu hii kuleta maendelea na hata kuingia uchumi wa Kati hakika wafanyakazi tunapaswa tujipongeze! Miaka mwingine 5 tutaweza ipaisha Tz mpaka uchumi wa juu kabisa, tuendelee na jemedari wetu! Vita ni Vita tu mura!
 
Tatizo la Jf mada kama hii inaonekana imeletwa na m-chadema. Jambo amabalo sio la kweli hata kidogo. Kuna watu wengi sana humu hajawahi kuwa upinzani ila akitoa maoni yake juu ya nchi inavyoendeshwa anaonekana ni mpinzani tena anapewa na chama kabisa kuwa ni chadema.
 
Sawa
 
Huenda haitabaki Taifa tena basi, tuibadilishe kuwa Ufalme...
 
Wafanyakazi wa serikali wasisahau kutopanda kwa mishahara kwa miaka 5 mfululizo hii ni ukiukwaji wa haki zao za msingi sasa sijui wamesahau au wamekubaliana na hali. Hakuna wa kusema sio mtu mmoja mmoja au vyama vyao vya wafanyakazi.
Haki zipi tena?
 
I would not be surprised if you have never been employed in your life..
 
Hakuna cha ajabu hapa! Wanayemtaka, wewe humtaki na unayemtaka wewe, wao hawamtaki. You’ll never get people to agree unanimously on who should be their leader, because they have divergent and fluid ranking criteria. Kwa sababu hiyo, kiongozi anapatikana kwa kuangalia idadi ya wanaomuunga mkono vs wasiomuunga mkono. Wasiomuunga mkono wanaweza wakawa na idadi inayokaribia kulingana na idadi ya wanaomuunga mkono, lakini kwa sababu ya kanuni za kumpata kiongozi, mwenye support kubwa ndiye anakuwa kiongozi wa wote (wakiwemo wasiomuunga mkono).

Ndiyo democracy yenyewe hiyo.
 
Watu walijitolea na mpaka misaada ilitoka nchi rafiki na walioguswa na yale madhara mwisho wa siku tukasikia "KWANI MAFURIKO YAMELETWA NA SERIKALI?"
As a normal citizen niliumia sana
Subirini lipumba atamng'oa kwenye uchaguzi mkuu
 
Wengine wanalalamika moyoni tu... hata kama walinyooka kama kiberiti... just to be declared lower middle income country is not enough, we must see it's effects in our daily life..
Hakuna nchi isiyokuwa na maskini duniani. Infrastructure ndiyo maendeleo ya kweli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…