MK254
JF-Expert Member
- May 11, 2013
- 32,233
- 50,386
Mara nyingi Watanzania wana mazoea ya kuwatuhumu Wakenya kwa mambo ya utapeli, lakini ni wachache sana hutafakari na kujielekeza vidole vya lawama. Tuliona taarifa za utapeli uliotendeka kwenye hela za wahanga wa tetemeko la ardhi. Juzi hapa tumeona sakata la vyeti feki la kutisha.
Leo hii taarifa zimeanza kuibuka kuhusu utafunwaji wa hela zilizochangwa juzi kwa ajili ya familia za watoto waliopoteza maisha kwenye ajali ya kutisha. Hadi Wakenya walikuja Tanzania kuchanga hela akiwemo waziri wetu wa elimu.
Hivyo mnapoelekeza vidole vya lawama kwa Wakenya, muwe mnajiangalia pia maana mna uozo wa kiajabu nyie...