Watanzania Mnaokodi Ardhi na kuwapa Wakenya walime mwisho mwaka huu.

Arovera

JF-Expert Member
Nov 19, 2013
10,978
28,499
Wakuu.
Haraka sana hili liwe fundisho kubwa kwa hawa jamaa hii dunia ni jino kwa jino.
Wakenya wanaomiliki ardhi kwa mgongo wa Watanzania uchunguzi ufanyike haraka sana na hawa wakenya waondoshwe nchini kwetu nao watafute kwenye ardhi yao haukuna kubembelezana hapa.
Hawa ni majirani wanafiki hatustahili kuwachekea mawazo ya mbunge wao ndio mawazo yao wakenya wote lazima twende sahani kwa sahani.
 
Kenyans hawawezi kufanya upuuzi wa aina hiyo hata siku moja. Sanasana kinachofuata ni wakenya kumuadhibu huyo mtoa kauli kwa kumoiga chini kupitia uchaguzi. Kenya wanafahamu thamani ya kuchangamana na watu wa mataifa mengune.
Vipi kuhusu Bashe aliyewahi kutoa kauli kama hizo za kiwataka watanzania waliopo CCM wawapige na kuwapasua watanzania waliopo upinzani?
 
Wakuu.
Haraka sana hili liwe fundisho kubwa kwa hawa jamaa hii dunia ni jino kwa jino.
Wakenya wanaomiliki ardhi kwa mgongo wa Watanzania uchunguzi ufanyike haraka sana na hawa wakenya waondoshwe nchini kwetu nao watafute kwenye ardhi yao haukuna kubembelezana hapa.
Hawa ni majirani wanafiki hatustahili kuwachekea mawazo ya mbunge wao ndio mawazo yao wakenya wote lazima twende sahani kwa sahani.
Sawa mkuu linalo sababisha hayo yote ni sisi wznia wengine kua wavivu wakutumia aridhi,.... na soko la mazoa lawakika serikali yetu inabidi iruhusu uuzaji wa mazao ya wakulima nje ya nchi bila vikwanzo ndokilimo kipate thamani na aridhi itatumika ipasavyo nawazawa .....Ila mkenya sio rafiki yako hata siku moja
 
Mjinga mmoja asitufarakanishe, wakenya na watanzania ni wamoja tunategemeana.
 
Back
Top Bottom