Traxtion
JF-Expert Member
- Dec 10, 2021
- 5,895
- 11,788
Leo katika pitapita zangu mitandaoni nikaingia page ya Millard Ayo kuangalia post za hizi siku mbili tatu. Aisee watu mnamchukia Samia sio poa, yani watu wanakasirika kabisa kuona habari za Samia. Dah
.
.
.
.
.
.
Huku nako naona habari Shilole amepata ajali, gari alilopanda limegonga ng'ombe, Watanzania wanauliza kama ng'ombe yupo salama 🙌
.
.
Hii sio nzuri hata kidogo, huyu mama angeangalia hata namna basi ajiuzulu tu kistaarabu maana watu wengi inaonekana hawampendi na sio vizuri Watanzania wengi wanaishi na chuki na manung'uniko kwenye nchi yao. Ona matusi yote haya na chuki, mivutano ya kidini, kutukanana, vinyongo yani tunazidi kusambaratika kama taifa. Sasa tutaishi hivi hadi lini