capitalpool
JF-Expert Member
- Sep 18, 2017
- 22,369
- 121,267
- Thread starter
-
- #141
Huezi kujibu yanini coment, chief?Inapofikia hatua ya kuona maisha ya watanzania ni ya ajabu hapa unafikia hata kuona kizazi chako (Baba na Mama) ni watu wa ajabu kuliko sisi.
Umewahi kujiuliza hiyo jamii uliyopo unavyokuona wa ajabu?
Watanzania sisi ni wapuuzi na wajinga wa kiwango cha juu huna uwezo wa kuubadilisha kifikra au kimtazamo juu ya maisha yetu, tunaishi tutakavyo ili mradi hatuvunji sheria zetu na maisha yetu haya yanatufanya tuzoee kile tunachofanya.
Kufika tu hapo Goma umeanza kutuona mbwa je ungefika Uturuki au Uarabuni si ungejiua kwa chuki zako dhidi yetu.
haha sawa nimeielewa vizuri hiyo comment ntaiapply vilivyo
haha sawa nimeielewa vizuri hiyo comment ntaiapply vilivyo
You may have mental slavery, be carefulHuezi kujibu yanini coment, chief?
// Mnajionaje
nime refer pia kwenye yale maongezi.so nmeelewa sanNimekuita baada ya kukumbuka kwamba we had a chat like a week back and I told you the same words.
Thanks
I'm Critical thinker....anything?what do you know? Unajionaje?
Tunajiona wa rangi nne.
Tazama ramani utaona nchi nzuri yenye mito na mabonde mengi yaaaa(anayefahamu amalizieee)
Hapo sasa. Huu ni upuuzi uliopitilizaWatu ambao huwa mnaponda watanzania mnakuwaga mmefanikiwa nini kuzidi hao watanzania mnao waponda?
Mtoa mada " nakukumbusha tu"" hii comment " imetoka kwa mtanzania""......Kanuni moja ya maisha ninayotaka kuifuatilia kwa ukaribu sana ni kutojishughulisha sana na maisha ya watu wasionihusu.
Wao wana uhuru kuishi wanavyotaka, na mimi nina uhuru wa kuishi ninavyotaka.
Na hata kama sifurahii wanavyoishi, maadam hawajaniingilia katika maisha yangu, nitatetea uamuzi wao wa kuishi wanavyotaka, na nataka wao pia waheshimu mimi uamuzi wa kuishi ninavyotaka.
Hususan kama ni watu wazima wenye akili zao.
Ukiishi namna hii headaches nyingi zisizo za lazima unaziepuka.
ha hahahaaaWewe mwènyewe ni mzigo. Umeishia kulalamika bila kuonyesha way forward kwamba nini kifanyike.
jambo la maana kwake kupanda ndege "mkuu""....usikute hata mjumbe wa nyumba 10 hamjui""Hahahaha
Sja wahi ona eti mkenya ana waponda wenzie ana wavalue wa Rwanda ila wabongo wachache wana ulimbukeni huo
Halaf kama ulivo sema una kuta hajawahi hata kuachieve jambo la maana at least awe wa mfano basi
umelitendea haki jina lako "" mkuu"Mbna na mim huwa na socializes twitter bt yu can't trace lifestyle ya mtu wa twitter na anacho post,,,pia sis ni tofauti na hao wengine ndo maana we are Tanzanian and they are nigerian and others yu can't force people tu be equal,,, na pia kwa sis watanzia kwa mmoja mmoja pia tunatofautiana likewise na hao unao socialize nao they're not the same in terms of individual character,,,,.tatu umesema tupo tofauti mean umetucrash sana yet ujaelezea kweny misingi ip??
yeye Mungu hamtambui""We babu jamani Mungu azidi kukuweka tu
hahaa huyo ndiye kiranga bwana "" akili nyingi""We jamaa bhana
hahaaaa"" mtoa mada hajawahi hata kuingia JI .na jukwaa La siasa ..nakupata nondo za maana huwa na muona akiishia kwenye haya majukwaa ya kutoana stress"" na ndio maana akasema kuwa " hakuna watu wanaojielewa"" lakini kama angethubutu kufanya hivyo ""sidhani kama angeshangaa kuona Pascal mayalla akiwa ameitwa na kamati ya bunge "" nadhani kama angepitia hoja za hayo majukwaa ipaswavyo angekuja katika huu Uzi wake nakufuta kauli zake dhidi ya watanzania ""Asante sana.
Na mimi ningekuja hapa kutaka kila Mtanzania awe kama mimi ninavyotaka pangetosha?
Mara nyingine inabidi tuweze kuchukuliana na kufurahia tofauti zetu.
Ndiyo maana kuna siku asubuhi naweza kuingia Jamii Intelligence nikajadili Poincare's conjecture and the shape of spacetime as described by Roger Penrose in "The Road To Reality: A Complete Guide To The Laws of The Universe" na jioni nikawa chit chat nasoma habari za Bongo Celebrity wanavyofukuzana. Na hata nikajimix kuchombeza kuchangia watu wakashangaa Kiranga unafika mpaka huku kona kona za "Uwanja wa Fisi"?
Sasa mimi napenda kuwa mtu wa watu. Kujichanganya full blast.
Sasa kama mtu hajui nondo zako za Jamii Intelligence anakukuta chit chat anaweza kuona jamaa liko shallow sana limejichanganya huku hili.
ha hahaaKWELI HAKUNA BINADAMU ASIYE PENDA SIFA