Kijana anamiliki I phone basi anaona kila kitu ameshamaliza katika Dunia hii.Mtanzania ndie kaja na wazo la kuanzisha jukwaa hili ambalo wewe umepata nafasi ya kulitumia kuandika ' uharo' wako huu hapa, twambie labda ni lipi sasa la maana ambalo wewe umelifanya ktk jamii. Huwezi kukejeli wana Jf na watanzania kwa ujumla pasi na ssb ya msingi. Acha ulimbukeni kijana!
GreatHah ah
Pole Chief, And i blv mine is more far better.
what do you know? Unajionaje?Jifunze kuandika kwanza
Jifunze kuandika kwanza
Kijana anamiliki I phone basi anaona kila kitu ameshamaliza katika Dunia hii.
Mtazamo hasi huu, hizo tuhuma sihusiki nazo.Mtanzania ndie kaja na wazo la kuanzisha jukwaa hili ambalo wewe umepata nafasi ya kulitumia kuandika ' uharo' wako huu hapa, twambie labda ni lipi sasa la maana ambalo wewe umelifanya ktk jamii. Huwezi kukejeli wana Jf na watanzania kwa ujumla pasi na ssb ya msingi. Acha ulimbukeni kijana!
Mkuu, kule kwetu unakuja lini? Au ni mpaka ile mida yako?
Mkuu nyumbani nakuja muda sio mrefu ila kutoa upendo kwanza alafu kambi nitaweka mida yetu...Mkuu, kule kwetu unakuja lini? Au ni mpaka ile mida yako?
Tena leo nimekabidhiwa rasmi kazi ya kukuangalia angalia na kukukanya unapopotoka potoka huku na huko katika uzi wetu. Just know that you are being watchedMkuu nyumbani nakuja muda sio mrefu ila kutoa upendo kwanza alafu kambi nitaweka mida yetu...
Tena leo nimekabidhiwa rasmi kazi ya kukuangalia angalia na kukukanya unapopotoka potoka huku na huko katika uzi wetu. Just know that you are being watched
Hata mgonjwa wa akili huwa anawashangaa watu wote wazima, anaona yeye ndo yuko sahihi.
Una maanisha nini hapo unaposema Mtanzania ashikiwe bango kupata visa??? Fafanua vizuri jamii ikuelewe. Yaani una passport ya Tanzania unanyimwa visa kivip??Kitu kimoja tu. Siingilii uhuru wa mtu, ninataka kujua Watz mnajiskiaje mnajionaje ktk hili. Kama mko sawa ... jst you not me. Binafsi nataka kila mtu Duniani amtazame mtazania kichanya kama ilivyo kwa waafrica wengine wa mataifa mengine. Kwanini mtanzania kupata VISa ashikiliwe bango isiwe kwa mkenya ama mrwanda?
Nyinyi huwa mnajiskiaje?
Hahah!! Sawa bro sasa nitakua makiniKwenye uwanja wangu wa zamani kule Makapuku
Kanuni moja ya maisha ninayotaka kuifuatilia kwa ukaribu sana ni kutojishughulisha sana na maisha ya watu wasionihusu.
Wao wana uhuru kuishi wanavyotaka, na mimi nina uhuru wa kuishi ninavyotaka.
Na hata kama sifurahii wanavyoishi, maadam hawajaniingilia katika maisha yangu, nitatetea uamuzi wao wa kuishi wanavyotaka, na nataka wao pia waheshimu mimi uamuzi wa kuishi ninavyotaka.
Hususan kama ni watu wazima wenye akili zao.
Ukiishi namna hii headaches nyingi zisizo za lazima unaziepuka.