Watanzania mnajionaje?

 
Kiranga Michango yako huwa naiheshimu sana bro....

Heshima kwako....
Asante sana.

Na mimi ningekuja hapa kutaka kila Mtanzania awe kama mimi ninavyotaka pangetosha?

Mara nyingine inabidi tuweze kuchukuliana na kufurahia tofauti zetu.

Ndiyo maana kuna siku asubuhi naweza kuingia Jamii Intelligence nikajadili Poincare's conjecture and the shape of spacetime as described by Roger Penrose in "The Road To Reality: A Complete Guide To The Laws of The Universe" na jioni nikawa chit chat nasoma habari za Bongo Celebrity wanavyofukuzana. Na hata nikajimix kuchombeza kuchangia watu wakashangaa Kiranga unafika mpaka huku kona kona za "Uwanja wa Fisi"?

Sasa mimi napenda kuwa mtu wa watu. Kujichanganya full blast.

Sasa kama mtu hajui nondo zako za Jamii Intelligence anakukuta chit chat anaweza kuona jamaa liko shallow sana limejichanganya huku hili.
 
huyu jamaa ni ontorio aina ya uandish wake unafanana
 
Najiona tofauti kidogo na Watanzania wengi.. Kama yupo Mtz makini kama me ataungana na mimi kuuliza, mnajionaje??
Mkuu acha dharau kwa sisi watz,huku ndiko kwenye asili yako.
Unamdharau hata baba na mama yako kisa tu unaishi nje? Andika wosia mapema ukifa uzikwe/uchomwe moto huku huku nje.
Endapo utatambulika pindi utakapo kufa,kwa jeuri na nyodo zako ukiletwa Tz bakora ni halali yako.

Utadhani unaishi peponi!!?)) 😡 😎
 
Vizuri kama umeelewa, nachotaka kusema ukweli hauvishwi nguo otherwise tunachelewa sana kwa kudhan ukweli usipova nguo ni udharilishaji. Ni mtazamo wako juu ya uwasilishaji.
Ukweli una vazi lake mkuu na vazi jenyewe ni busara, endapo ukweli ukiunyima hilo vazi basi ujumbe au huo ukweli hautafika moja kwa moja kwa mlengwa zaidi utampa mtihani wa kuanza kukuchambua wewe zaidi badala ya unachokiwasilisha......
 
Ukweli una vazi lake mkuu na vazi jenyewe ni busara, endapo ukweli ukiunyima hilo vazi basi ujumbe au huo ukweli hautafika moja kwa moja kwa mlengwa zaidi utampa mtihani wa kuanza kukuchambua wewe zaidi badala ya unachokiwasilisha......
You are misusing that term.

I thought it was a simple msg to understand .. beta end this discussion
 
Niliwahi kufanya kazi Wall St. na dada mmoja Mkorea, Korean American.

Yule dada mtu poa sana. Anapiga kazi kama hana akili nzuri, yuko serious vizuri (usinywe naye pombe tu happy hour, anaweza kukuparamia maana akili zote zinamtoka).

Basi yule dada by all accounts nilikuwa namuona mtu well balanced. Isipokuwa kitu kimoja tu.

Anawachukia Wakorea wenzake kichizi.

Yani ukitaka kumchafua aanze kupaka mtajie habari za Wakorea. Si Wakorea wa Marekani si Wakorea wa North Korea, si Wakorea wa South Korea.

Anawapaka vibaya sana. Uzuri wake sijawahi kumsikia akibagua Waafrika au watu wengine wowote.

Yeye ni Wakorea tu.

Granted kuna Wakorea wanastahili maneno yake, lakini obviously alivuka mpaka.

Kuna kitu katika psychiology kinaitwa "self hate". Unaweza kujichukia wewe mwenyewe au ukachukia watu wa taifa lako. Inawezekana kabisa ukajiaminisha unawapenda ndiyo maana unachukia mambo yao fulani.

There is a whole Wiki about Self hating Jews for example.

It is here Self-hating Jew - Wikipedia

Mind you, I don't have any problem with being self critical. In fact I have been self critical of myself and Tanzanians in many occassions. But when the negativity is unchecked, this self critical nature turns into self hate.

Tanzanians are too diverse and numerous to be categorized in an overly monolithic way.
 
Mtanzania ndie kaja na wazo la kuanzisha jukwaa hili ambalo wewe umepata nafasi ya kulitumia kuandika ' uharo' wako huu hapa, twambie labda ni lipi sasa la maana ambalo wewe umelifanya ktk jamii. Huwezi kukejeli wana Jf na watanzania kwa ujumla pasi na ssb ya msingi. Acha ulimbukeni kijana!
 
Jifunze kuandika kwanza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…