Watanzania mbona mnaichukia Kenya?

Watanzania mbona mnaichukia Kenya?

Binafsi naichukia Kenya kutokana na wivu wao na chuki zao kwetu. Hakuna zuri tutafanya likawapendeza wakenya. Muda mwingi wanatubeza sana watz ktk blog zao mbalimbali. Iwe ni wasanii wetu, maendeleo yetu kiuchumi,siasa zetu,rasilimali zetu hadi vivutio vyetu. Sawa wanatubeza hatujui kiingereza kwa kupima wasanii wetu wa muziki na filamu kitu ambacho sio kipimo halisi kwa maana ukiangalia wasanii wengi hapa nchini sio wasomi, na wengi wao wametoa historia zao kisanaa kuanza baada ya kuacha shule,kufeli kidato au mazingira magumu yaloyopelekea kuacha elimu na kugeukia sanaa. Sawa tumekubali hatujui kiingereza lakn tukikazana na kiswahili chetu na ikitokea filamu au wimbo unaotumia maneno ya Kiswahili ukatamba kimataifa na kuimbwa na mtu mashuhuri wa kimataifa basi haohao wakenya ndio wa kwanza ku claim lugha kuwa ni yao hivyo credit ziende kwao. Not to mention namna wanaovyoutangaza mlima Klm kama wa kwao na kuvutia wageni kutua kwao na kuarrange wageni hao kutembelea mlima kupitia makampuni ya tours ya Kenya. Everything nice and perfect about Tanzania is theirs na wana claim publicly kabisa, ni vingi wanafanya ila kwa hayo machache yanatosha,mengine nitaongeza badae.
 
Tangu nilipojiunga hapa JF, kama kuna jambo moja ambalo nimegundua ni kuwa Watanzania wengi hapa JF wanaichukia Kenya. Sasa sijui chanzo cha chuki ni nini. Pengine nyinyi wenyewe Watanzania mtufafanulie.

Nadhani shida inaanzia kichwani kwa wakenya wengi
Na nadhani asilimia kubwa hawana exposure kujua mahitajiano ya hizi nchi mbili

Sent from my SM-G925F using JamiiForums mobile app
 
Kwanza hamchukiwi na Watanzania. Hatutaki ku deal na watu wenye sifa na dharau basi. Mkijirekebisha Watanzania watawakaribisha bila tatizo. Pia ukiangalia vizuri Wakenya wanawafuatilia Watanzania zaidi na sijawahi kujua kwanini.
Bora umesema we mkenya mwenzao labda watakuelewa
Ila nadhani mpo so insecure
 
Look the way you expose the stupidity of the highest order. How a person of sound mind can talk about things like PayPal which are of foreign origin. Afrika will never liberate itself if it is always tend to embrace the foreign innovation.
Dude you smile and feel proud to use other people's creativity, and mock the one who is not using it.
Very wise person I admire ur brains
 
Hatuchukii kenya bali tunachukia tabia zao, wao kila kitu kizuri cha Tanzania ni cha kwao kama mlima Kilimanjaro, Olduvai gorge, Samatta na pia kuvusha maliasili zetu kama Tanzanite.
Pia kujiona wao ni bora kuliko sisi mfano wakati wa janga la Corona.
Wakijirekebisha tutaishi nao kama majirani wazuri.
 
sad sad kid nenda ukanye ulale...unajiona upo juu wakati unakaa kwe slums hiyo uchumi inashikwa na black capitalist...hamna tofauti na waafrika kusini uchumi wenu upo kwa watu wachache ila bdao unataka ona kama we ndo upo juu shame
naona umeanza kuelewa level za kenya, safiiii, Sasa Rudi shule ukaelew maana capitalist,& abt slums nenda katfte southsaharn countries isokuwa na slums then uje tena,
 
naona umeanza kuelewa level za kenya, safiiii, Sasa Rudi shule ukaelew maana capitalist,& abt slums nenda katfte southsaharn countries isokuwa na slums then uje tena,
kwamba level za kenya ni SA.

kwamba wote mna slums,wote ni capitalist,wote mmetawaliwa na mzungu na mkamfuga,wote mna kiwango cha juu cha uhalifu,wote mna viwango vya hovyo sana vya umasikini.

sikia,sehemu ya juu alipo SA(economy) kunya hawezi kaa.
na sehemu ya chini alipo SA(slums) kunya kapitiliza chini zaidi.sasa mnakaaje level moja!!!!
 
Heri ungenyamaza kama huna point ya maana
 
kwamba level za kenya ni SA.

kwamba wote mna slums,wote ni capitalist,wote mmetawaliwa na mzungu na mkamfuga,wote mna kiwango cha juu cha uhalifu,wote mna viwango vya hovyo sana vya umasikini.

sikia,sehemu ya juu alipo SA(economy) kunya hawezi kaa.
na sehemu ya chini alipo SA(slums) kunya kapitiliza chini zaidi.sasa mnakaaje level moja!!!!
Wewe una wivu na Kenya maana unajua fika kwamba Kenya inaicharaza TZ kwenye uchumi bila huruma.
 
Attachments

  • Screenshot_20201211-184037_1.jpg
    Screenshot_20201211-184037_1.jpg
    28.4 KB · Views: 9
Back
Top Bottom