kipara kipya
JF-Expert Member
- May 2, 2016
- 17,336
- 21,434
Habari ya jumapili
Nashukuru kuwa na jukwaa hili adhimu la jf
Wengi wetu tumekuwa waoga wa kusema ukweli hata kama ubaya unauona na unashindwa kukemea .
Nirudi kwenye hoja ni kuwa tanzania tumekuwa ni watu wa kuchezeana akili kufurahisha mabwana zetu na kutafuta kiki
Zaidi kivyama na kufurahisha wakubwa watu huogopa kusema ukweli hapa jf kisa mada itakosa wachangiaji
Ni ujinga au nitaonekana ni chadema au ccm,nirudi sasa miaka hii kumekuwa na matukio ya kijinga watu kujipoteza kwa makusudi kwa masilahi yao na watu wao
Nikiri kuna wengine ni kweli kama ulimboka lakini waliobaki huwa ni drama tunaanza 2016 zitto alipotea taarifa zikatolewa nyingi tu mara akarudi na hakusema alikuwa wapi,sosopi,ben,roma na kituko chengine ni kile cha juzi wenye ufahamu mdogo wameshindwa kuelewa kuwa azam walituchezea akili kutuonyesha kuwa mabaharia wao wapo makini katika uokoaji
Mtu ajitupe baharini alafu aelee bila kunywa maji kwa taarifa yenu yule msichana ile aina ya ulalaji kwenye maji si watu wote wenye kuweza ukijaribu wewe utazama kama jiwe
Hivi sasa naomba serikali kukutokea jambo la kipuuzi wasi site kuwachukulia hatua wahusika,kuna mwaandishi wa habar wa dw nae pia alijiteka
Tusiwe wapofu,msichezee kutekwa ,mtu unarudi ukiwa na hali nzuri haya tupeni mrejesho mpo kimya!
poleni kwa mliojipoteza na kutuchezea akili.
Msema kweli daima!