Watanzania ina maana ukweli huu hamuuoni?

Punguza jazba mletamada...2015 ccm imezaliwa mara ya pili..karibu

yaliyonikuta ya kuaminishwa mmachinga (mkapa) na mkerewe ni wasafi, maisha bora n.k yamenichosha, bora nimchague ninaeaminishwa ni fisadi nae nione tena, maana wasafi wamegeuka mbwa mwitu
 
Fisadi atawanunua hadi mama zenu
 
Mimi Ni UKAWA damu, kibaka (CCM) akha kanishinda kwa ujambazi na kuonea wanyonge. Nikikumbuka ya babu sera na mashekhe wangu nazidi kukuchukia wewe ccm na vibaraka wezi waliotukuka

Hii nchi bana hatuwapi tena ccm haifai hata kidogo
 
kama kuchoka kweli nimechoka,ni kheri nikutane na kinyesi tena kilicholowana kuliko kukutana na mwanachama wa ccm
nasema hapana kheri kufa kuliko kuendelea kutawaliwa na ccm
eti bora kufa kuliko kutawaliwa na ccm!? mh unahasira....Tusubir mwishon-- ni mapto tu na hii sio last chance
 
Mkuu kwani uongo? MBOWE hakusema nani msafi kati yao na aanze kumpiga mawe LOWASSA? Unaongelea rushwa za CCM unasahau bil.10 alizovuta mchagga Mbowe kutoka kwa LOWASSA? Bil. 1 aliyovuta SEIF na mil. 550 alizovuta JUMA DUNIA HAIJI?
poleni Sana, tena mtulie dawa iwaingie vizuri mnapumulia mashine halafu bado waruka ruka!! CCM kwa kutunga ni wazuri! Ila Wananchi tushawaelewaaaaaa sumu yako kamwage baharini hapa humpati goi goi kama wewe!
 
Nyote mnasema tu ccm imewafikisha hapo mlipo mna aman mmesoma tena kwa mikopo eti mpigie kinyes ndorobo nyie
 
Habari Wadau!
Nasema hivi!....Hata kama Mbowe akijiondoa kesho Chadema, hata kama Mbatia na Mzee Makaidi wakajiondoa keshokutwa! yani nasema hiviiii! hata kama Lowassa akajiondoa kugombea kupitia Ukawa.

Ni bora nipigie kura Kinyesi kile kuliko kuipigia kura CCM, kama vijana hatuhitaji Serikali ya CCM ituwekee pesa mifukoni tunachotaka ni mazingira mazuri ya kujiajiri, kwa wale wataokosa ajira, mikopo ya elimu ya juu bila upendeleo, fulsa sawa kwa kila raia, mwaka jana vijana wamekosa mikopo, baada ya muda wanasikia kuwa kuna watu hawaafiki 10 wamepiga mabilioni ya pesa peke yao, kwa miaka 50 ya uhuru bado kuna watoto wanasoma wakiwa wamekaa kwenye mawe hakuna madawati kwa nchi ambayo imezungukwa na misitu, kwa miaka 50 imeshindikana kujenga madawati, tuna nini tumekosa Tanzania?

Madini ya kila aina, ardhi, Maziwa, Bahari, Gesi na sasa mafuta, kwa nini mpaka leo tushindwe kutibia bure watu wetu? kwa rasilimari tulizonazo tumeshindwa kutoa elimu bora na bure toka nursery mpaka chuo kikuu?

kila kitu tumeshindwa! kama chama kinachoendesha serikali kimeshindwa kuhakikisha serikali inaboresha maisha ya mtanzania kwa miaka yote 50!!! nitakiadhibu chama hiki!! nasema hivi hata Ukawa wakaweka jiwe...nitalichagua jiwe..kuliko kuwa mnafiki eti niichague CCM! kwa lipi???

Fursa.

Hujawahi kusikia kuwa Lowasa ni mchapaji pesa mzuri?

Hujawahi kusikia kuhusu richmonduli?
 
Umeongea ukweli mkuu, hata mm naungana na ww kupigia kura kinyesi kuliko CCM dadeq
 
Kumbe hata lipumba anayo maamuzi magumu
Sio tu lowassa

yaani LIPUMBA alimpokea LOWASA kwa mbwembwe na nderemo nyingi live akiwa kwenye media, najiulza yale maneno aliyoyaongea mbele ya journalists kayatoa wapi?. Elimu ya kitanzania bana! sijui ni ya kinafki. Eeh Mungu turehemu!
 
Fursa.

Hujawahi kusikia kuwa Lowasa ni mchapaji pesa mzuri?

Hujawahi kusikia kuhusu richmonduli?

Hujawahi kusikia kuhusu EPA, MEREMETA, ESCROW, RADA, Pembe za ndovu na wanyama wetu wanaosafirishwa kinyemela, ni wakinani wanahusika?? Wapo wapi?? Nimeshukuru japo umesoma tu. RIP Ccm (chama cha ma-vibaka na wajinga, wauaji, watoa rushwa, wapindisha sheria, wanafki) CCM hana tofauti na shetani
 
Habari Wadau!
Nasema hivi!....Hata kama Mbowe akijiondoa kesho Chadema, hata kama Mbatia na Mzee Makaidi wakajiondoa keshokutwa! yani nasema hiviiii! hata kama Lowassa akajiondoa kugombea kupitia Ukawa.

Ni bora nipigie kura Kinyesi kile kuliko kuipigia kura CCM, kama vijana hatuhitaji Serikali ya CCM ituwekee pesa mifukoni tunachotaka ni mazingira mazuri ya kujiajiri, kwa wale wataokosa ajira, mikopo ya elimu ya juu bila upendeleo, fulsa sawa kwa kila raia, mwaka jana vijana wamekosa mikopo, baada ya muda wanasikia kuwa kuna watu hawaafiki 10 wamepiga mabilioni ya pesa peke yao, kwa miaka 50 ya uhuru bado kuna watoto wanasoma wakiwa wamekaa kwenye mawe hakuna madawati kwa nchi ambayo imezungukwa na misitu, kwa miaka 50 imeshindikana kujenga madawati, tuna nini tumekosa Tanzania?

Madini ya kila aina, ardhi, Maziwa, Bahari, Gesi na sasa mafuta, kwa nini mpaka leo tushindwe kutibia bure watu wetu? kwa rasilimari tulizonazo tumeshindwa kutoa elimu bora na bure toka nursery mpaka chuo kikuu?

kila kitu tumeshindwa! kama chama kinachoendesha serikali kimeshindwa kuhakikisha serikali inaboresha maisha ya mtanzania kwa miaka yote 50!!! nitakiadhibu chama hiki!! nasema hivi hata Ukawa wakaweka jiwe...nitalichagua jiwe..kuliko kuwa mnafiki eti niichague CCM! kwa lipi???

Ikitokea Muumba wa mbingu na ardhi (MUNGU)akaamua ku apdate amri zake kumi za Mungu basi nauwakika asilimia mia ataongeza ya kumi na moja badala ya kumi kama ILIVYOZOELEKA..
Nayo itakukuwa ivi...

1
2
3
4
5
6
7
8
9
10
11 -USIICHAGUE CCM
 
✔✔✔ kweli mkuu
 
Back
Top Bottom