Watanzania ina maana ukweli huu hamuuoni?

Watanzania ina maana ukweli huu hamuuoni?

Kumbe nawe umeliona?? Bora ufe kuliko humpigie kura makomeo /CCM, watanzania wajinga wamebaki wachache! Elimu yao ya kimagumash waliotupa angalau imetuondolea ujinga. Ila Ni uzuzu uliotukuka kuendelea kushabikia Ccm ile ile na vibaka wale wale,ili wao waendelee Kula vizuri na familia zao na kuficha mabilion uswisi, huku wewe mwanafunzi ukiambulia elimu duni mkopo hamna, matibabu duni Wao watoto wao wanasoma Australia, familia zao zinatibiwa hospital nzuri tena nje ya nchi pamoja na wao wenyewe!!! wewe unalazwa hospital tena chini na dawa hamna!! Huku wao wamepiga ESCROW, Meremeta, Rada, EPA!! Bado pembe za ndovu na wanyama wetu! Leo uniambie kuhusu komeo nitakuelewa!! Kura 8za familia yangu Ni kwa UKAWA. Ni uzuzu na upumbavu kuendelea kuwa mtumwa wa chama cha majizi (CCM)
UKAWA mmebaki mitandaoni, huko field upepo umebadilika, kuna uwezekano LOWASSA akazomewa fisadiii , fisadii, fisadiii
 
Mnaomshabikia fisadi Lowassa lazima mtakuwa mmelamba mlungula wake siyo bure, mimi nasimama na Slaa pamoja na Prof. Lipumba.

Dk slaa bado yupo chadema pia lipumba bado cuf na kaahidi kuendeleza na harakati za chama naimani kwakuwa nawe unawafata hao basi kura yako ni kwa ukawa
 
Dk slaa bado yupo chadema pia lipumba bado cuf na kaahidi kuendeleza na harakati za chama naimani kwakuwa nawe unawafata hao basi kura yako ni kwa ukawa
CCM ile ile, mtaisoma namba, MBELE KWA MBELE
 
UKAWA mmebaki mitandaoni, huko field upepo umebadilika, kuna uwezekano LOWASSA akazomewa fisadiii , fisadii, fisadiii
huna aibu?? Ni nani atakayepita hata kariakoo kavaa sare za majizi (ccm) anazomewa?? Wananchi wamehamka umebaki wewe goigoi mmoja unaependa dezo na kuhongwa kama mwanamke Malaya!
 
Hatuvuruge nani?? Ukiondoka mmoja wakaingia 10 na wapiga kura 1000 Kuna hasara gani??
Lipumba ameondoka na safu yake yote na kwa taarifa yako, CUF bara haiko UKAWA tena imebaki zanzibar inayotaka kuvunja Muungano, Muungano utalindwa kwa gharama yoyote.
 
huna aibu?? Ni nani atakayepita hata kariakoo kavaa sare za majizi (ccm) anazomewa?? Wananchi wamehamka umebaki wewe goigoi mmoja unaependa dezo na kuhongwa kama mwanamke Malaya!
Maneno ya mfa maji , unasahau hata ndizi zinazouzwa Kariakoo zina rangi ya CCM. UKAWA chaliiii
 
huna aibu?? Ni nani atakayepita hata kariakoo kavaa sare za majizi (ccm) anazomewa?? Wananchi wamehamka umebaki wewe goigoi mmoja unaependa dezo na kuhongwa kama mwanamke Malaya!

Katiza mitaa yenye msongamano wa watu na jezi yako ya ccm uone kitakachokukuta
 
Haya maneno ya MBOWE, CCM wamebaki wasafi.
Shame on ur hopeless face guy....
CCM imeoza inanuka rushwa, ufisadi, uuaji, unafki na ujambazi. Nadhani mmeudhirishia umma wenyewe ktk chaguzi zenu kwa kuhonga wajumbe na kupigana wenyewe kwa wenyewe nusu ya kuuana!!
 
Hahaaaa umeamua kujitaja ulipo afu unasema upo na dk slaa na lipumba hao mbona hawapo ccm acha ukilaza ccm mwisho wenu umefika
Niko na SLAA na LIPUMBA kupinga mlungula waliokula MBOWE na SEIF kutoka kwa Lowassa na kuuhujumu UKAWA, siyo jambo baya kwa maslahi ya Taifa.
 
Katiza mitaa yenye msongamano wa watu na jezi yako ya ccm uone kitakachokukuta

Mimi Ni UKAWA damu, kibaka (CCM) akha kanishinda kwa ujambazi na kuonea wanyonge. Nikikumbuka ya babu sera na mashekhe wangu nazidi kukuchukia wewe ccm na vibaraka wezi waliotukuka
 
Shame on ur hopeless face guy....
CCM imeoza inanuka rushwa, ufisadi, uuaji, unafki na ujambazi. Nadhani mmeudhirishia umma wenyewe ktk chaguzi zenu kwa kuhonga wajumbe na kupigana wenyewe kwa wenyewe nusu ya kuuana!!
Mkuu kwani uongo? MBOWE hakusema nani msafi kati yao na aanze kumpiga mawe LOWASSA? Unaongelea rushwa za CCM unasahau bil.10 alizovuta mchagga Mbowe kutoka kwa LOWASSA? Bil. 1 aliyovuta SEIF na mil. 550 alizovuta JUMA DUNIA HAIJI?
 
Niko na SLAA na LIPUMBA kupinga mlungula waliokula MBOWE na SEIF kutoka kwa Lowassa na kuuhujumu UKAWA, siyo jambo baya kwa maslahi ya Taifa.

Vipi upo pia na ccm waliokula hela za escrow, epa, rada na aliyeuza nyumba za serikali?????
 
Ata waondoke wote waungane na ccm sitaacha kuiadhibu ccm kwa kura yangu ccm ndio adui yangu
 
Samahani mkuu umesemaa Kujenga madawaatiii au kutengeneza madawati?
Kama wanazuoni wetu ndio nyinyi hakika ccm sio ya kuilaumu maana wakipoteza madalaka yataenda sehemu mbaya zaidi.
Ahsante mtazamo tu.
Yeye kasema kujenga madawati labda ya saruji. Nawe waandika madalaka au madaraka?! Bilabila tutafika tu.
 
Back
Top Bottom