Watanzania ina maana ukweli huu hamuuoni?

kidonto

JF-Expert Member
Jan 5, 2014
1,929
2,804
Habari Wadau!
Nasema hivi!....Hata kama Mbowe akijiondoa kesho Chadema, hata kama Mbatia na Mzee Makaidi wakajiondoa keshokutwa! yani nasema hiviiii! hata kama Lowassa akajiondoa kugombea kupitia Ukawa.

Ni bora nipigie kura Kinyesi kile kuliko kuipigia kura CCM, kama vijana hatuhitaji Serikali ya CCM ituwekee pesa mifukoni tunachotaka ni mazingira mazuri ya kujiajiri, kwa wale wataokosa ajira, mikopo ya elimu ya juu bila upendeleo, fulsa sawa kwa kila raia, mwaka jana vijana wamekosa mikopo, baada ya muda wanasikia kuwa kuna watu hawaafiki 10 wamepiga mabilioni ya pesa peke yao, kwa miaka 50 ya uhuru bado kuna watoto wanasoma wakiwa wamekaa kwenye mawe hakuna madawati kwa nchi ambayo imezungukwa na misitu, kwa miaka 50 imeshindikana kujenga madawati, tuna nini tumekosa Tanzania?

Madini ya kila aina, ardhi, Maziwa, Bahari, Gesi na sasa mafuta, kwa nini mpaka leo tushindwe kutibia bure watu wetu? kwa rasilimari tulizonazo tumeshindwa kutoa elimu bora na bure toka nursery mpaka chuo kikuu?

kila kitu tumeshindwa! kama chama kinachoendesha serikali kimeshindwa kuhakikisha serikali inaboresha maisha ya mtanzania kwa miaka yote 50!!! nitakiadhibu chama hiki!! nasema hivi hata Ukawa wakaweka jiwe...nitalichagua jiwe..kuliko kuwa mnafiki eti niichague CCM! kwa lipi???
 
Habari Wadau!
Nasema hivi!....Hata kama Mbowe akijiondoa kesho Chadema, hata kama Mbatia na Mzee Makaidi wakajiondoa keshokutwa! yani nasema hiviiii! hata kama Lowassa akajiondoa kugombea kupitia Ukawa na Ukawa wakaamua kuweka picha ya M.a.v.i kwenye karatasi ya kupigia kura, ni bora nipigie kura Kinyesi kile kuliko kuipigia kura CCM, kama vijana hatuhitaji Serikali ya CCM ituwekee pesa mifukoni tunachotaka ni mazingira mazuri ya kujiajiri, kwa wale wataokosa ajira, mikopo ya elimu ya juu bila upendeleo, fulsa sawa kwa kila raia, mwaka jana vijana wamekosa mikopo, baada ya muda wanasikia kuwa kuna watu hawaafiki 10 wamepiga mabilioni ya pesa peke yao, kwa miaka 50 ya uhuru bado kuna watoto wanasoma wakiwa wamekaa kwenye mawe hakuna madawati kwa nchi ambayo imezungukwa na misitu, kwa miaka 50 imeshindikana kujenga madawati, tuna nini tumekosa Tanzania? Madini ya kila aina, ardhi, Maziwa, Bahari, Gesi na sasa mafuta, kwa nini mpaka leo tushindwe kutibia bure watu wetu? kwa rasilimari tulizonazo tumeshindwa kutoa elimu bora na bure toka nursery mpaka chuo kikuu? kila kitu tumeshindwa! kama chama kinachoendesha serikali kimeshindwa kuhakikisha serikali inaboresha maisha ya mtanzania kwa miaka yote 50!!! nitakiadhibu chama hiki!! nasema hivi hata Ukawa wakaweka jiwe...nitalichagua jiwe..kuliko kuwa mnafiki eti niichague CCM! kwa lipi???
Nyie ndio wale tunaowaita watu wenye msimamo mkali!
 
Samahani mkuu umesemaa Kujenga madawaatiii au kutengeneza madawati?
Kama wanazuoni wetu ndio nyinyi hakika ccm sio ya kuilaumu maana wakipoteza madalaka yataenda sehemu mbaya zaidi.
Ahsante mtazamo tu.
 
Habari Wadau!
Nasema hivi!....Hata kama Mbowe akijiondoa kesho Chadema, hata kama Mbatia na Mzee Makaidi wakajiondoa keshokutwa! yani nasema hiviiii! hata kama Lowassa akajiondoa kugombea kupitia Ukawa.

Ni bora nipigie kura Kinyesi kile kuliko kuipigia kura CCM, kama vijana hatuhitaji Serikali ya CCM ituwekee pesa mifukoni tunachotaka ni mazingira mazuri ya kujiajiri, kwa wale wataokosa ajira, mikopo ya elimu ya juu bila upendeleo, fulsa sawa kwa kila raia, mwaka jana vijana wamekosa mikopo, baada ya muda wanasikia kuwa kuna watu hawaafiki 10 wamepiga mabilioni ya pesa peke yao, kwa miaka 50 ya uhuru bado kuna watoto wanasoma wakiwa wamekaa kwenye mawe hakuna madawati kwa nchi ambayo imezungukwa na misitu, kwa miaka 50 imeshindikana kujenga madawati, tuna nini tumekosa Tanzania?

Madini ya kila aina, ardhi, Maziwa, Bahari, Gesi na sasa mafuta, kwa nini mpaka leo tushindwe kutibia bure watu wetu? kwa rasilimari tulizonazo tumeshindwa kutoa elimu bora na bure toka nursery mpaka chuo kikuu?

kila kitu tumeshindwa! kama chama kinachoendesha serikali kimeshindwa kuhakikisha serikali inaboresha maisha ya mtanzania kwa miaka yote 50!!! nitakiadhibu chama hiki!! nasema hivi hata Ukawa wakaweka jiwe...nitalichagua jiwe..kuliko kuwa mnafiki eti niichague CCM! kwa lipi???

Yaan hata mm wakiweka hata chupa ukawa nawapa kura yangu hawa viroboto siwataki kabisaa
 
habari wadau!
Nasema hivi!....hata kama mbowe akijiondoa kesho chadema, hata kama mbatia na mzee makaidi wakajiondoa keshokutwa! Yani nasema hiviiii! Hata kama lowassa akajiondoa kugombea kupitia ukawa.

Ni bora nipigie kura kinyesi kile kuliko kuipigia kura ccm, kama vijana hatuhitaji serikali ya ccm ituwekee pesa mifukoni tunachotaka ni mazingira mazuri ya kujiajiri, kwa wale wataokosa ajira, mikopo ya elimu ya juu bila upendeleo, fulsa sawa kwa kila raia, mwaka jana vijana wamekosa mikopo, baada ya muda wanasikia kuwa kuna watu hawaafiki 10 wamepiga mabilioni ya pesa peke yao, kwa miaka 50 ya uhuru bado kuna watoto wanasoma wakiwa wamekaa kwenye mawe hakuna madawati kwa nchi ambayo imezungukwa na misitu, kwa miaka 50 imeshindikana kujenga madawati, tuna nini tumekosa tanzania?

Madini ya kila aina, ardhi, maziwa, bahari, gesi na sasa mafuta, kwa nini mpaka leo tushindwe kutibia bure watu wetu? Kwa rasilimari tulizonazo tumeshindwa kutoa elimu bora na bure toka nursery mpaka chuo kikuu?

Kila kitu tumeshindwa! Kama chama kinachoendesha serikali kimeshindwa kuhakikisha serikali inaboresha maisha ya mtanzania kwa miaka yote 50!!! Nitakiadhibu chama hiki!! Nasema hivi hata ukawa wakaweka jiwe...nitalichagua jiwe..kuliko kuwa mnafiki eti niichague ccm! Kwa lipi???

mkuu umenichekesha sana,,,,,haya majitu yanafikiri hati adui yao ni lowassa na ukawa kumbe adui ni ugumu wa maisha walio wasababishia wananchi.
 
kama kuchoka kweli nimechoka,ni kheri nikutane na kinyesi tena kilicholowana kuliko kukutana na mwanachama wa ccm
nasema hapana kheri kufa kuliko kuendelea kutawaliwa na ccm
 
Habari Wadau!
Nasema hivi!....Hata kama Mbowe akijiondoa kesho Chadema, hata kama Mbatia na Mzee Makaidi wakajiondoa keshokutwa! yani nasema hiviiii! hata kama Lowassa akajiondoa kugombea kupitia Ukawa.

Ni bora nipigie kura Kinyesi kile kuliko kuipigia kura CCM, kama vijana hatuhitaji Serikali ya CCM ituwekee pesa mifukoni tunachotaka ni mazingira mazuri ya kujiajiri, kwa wale wataokosa ajira, mikopo ya elimu ya juu bila upendeleo, fulsa sawa kwa kila raia, mwaka jana vijana wamekosa mikopo, baada ya muda wanasikia kuwa kuna watu hawaafiki 10 wamepiga mabilioni ya pesa peke yao, kwa miaka 50 ya uhuru bado kuna watoto wanasoma wakiwa wamekaa kwenye mawe hakuna madawati kwa nchi ambayo imezungukwa na misitu, kwa miaka 50 imeshindikana kujenga madawati, tuna nini tumekosa Tanzania?

Madini ya kila aina, ardhi, Maziwa, Bahari, Gesi na sasa mafuta, kwa nini mpaka leo tushindwe kutibia bure watu wetu? kwa rasilimari tulizonazo tumeshindwa kutoa elimu bora na bure toka nursery mpaka chuo kikuu?

kila kitu tumeshindwa! kama chama kinachoendesha serikali kimeshindwa kuhakikisha serikali inaboresha maisha ya mtanzania kwa miaka yote 50!!! nitakiadhibu chama hiki!! nasema hivi hata Ukawa wakaweka jiwe...nitalichagua jiwe..kuliko kuwa mnafiki eti niichague CCM! kwa lipi???

hata waweke nyoka mwenye sumu kali nimpigia nyoka kuliko CCM,hawa ni mashetani kabisa yamegawana rasilimali za taifa na familia zao,jk,malechela,mwinyi,msekwa wote hawa ni mijizi tu halafu wanataka watuteulie rais,bora nyoka toka cdm kuliko binadamu toka ccmajambazi
 
Habari Wadau!
Nasema hivi!....Hata kama Mbowe akijiondoa kesho Chadema, hata kama Mbatia na Mzee Makaidi wakajiondoa keshokutwa! yani nasema hiviiii! hata kama Lowassa akajiondoa kugombea kupitia Ukawa.

Ni bora nipigie kura Kinyesi kile kuliko kuipigia kura CCM, kama vijana hatuhitaji Serikali ya CCM ituwekee pesa mifukoni tunachotaka ni mazingira mazuri ya kujiajiri, kwa wale wataokosa ajira, mikopo ya elimu ya juu bila upendeleo, fulsa sawa kwa kila raia, mwaka jana vijana wamekosa mikopo, baada ya muda wanasikia kuwa kuna watu hawaafiki 10 wamepiga mabilioni ya pesa peke yao, kwa miaka 50 ya uhuru bado kuna watoto wanasoma wakiwa wamekaa kwenye mawe hakuna madawati kwa nchi ambayo imezungukwa na misitu, kwa miaka 50 imeshindikana kujenga madawati, tuna nini tumekosa Tanzania?

Madini ya kila aina, ardhi, Maziwa, Bahari, Gesi na sasa mafuta, kwa nini mpaka leo tushindwe kutibia bure watu wetu? kwa rasilimari tulizonazo tumeshindwa kutoa elimu bora na bure toka nursery mpaka chuo kikuu?

kila kitu tumeshindwa! kama chama kinachoendesha serikali kimeshindwa kuhakikisha serikali inaboresha maisha ya mtanzania kwa miaka yote 50!!! nitakiadhibu chama hiki!! nasema hivi hata Ukawa wakaweka jiwe...nitalichagua jiwe..kuliko kuwa mnafiki eti niichague CCM! kwa lipi???
Kumbe nawe umeliona?? Bora ufe kuliko humpigie kura makomeo /CCM, watanzania wajinga wamebaki wachache! Elimu yao ya kimagumash waliotupa angalau imetuondolea ujinga. Ila Ni uzuzu uliotukuka kuendelea kushabikia Ccm ile ile na vibaka wale wale,ili wao waendelee Kula vizuri na familia zao na kuficha mabilion uswisi, huku wewe mwanafunzi ukiambulia elimu duni mkopo hamna, matibabu duni Wao watoto wao wanasoma Australia, familia zao zinatibiwa hospital nzuri tena nje ya nchi pamoja na wao wenyewe!!! wewe unalazwa hospital tena chini na dawa hamna!! Huku wao wamepiga ESCROW, Meremeta, Rada, EPA!! Bado pembe za ndovu na wanyama wetu! Leo uniambie kuhusu komeo nitakuelewa!! Kura 8za familia yangu Ni kwa UKAWA. Ni uzuzu na upumbavu kuendelea kuwa mtumwa wa chama cha majizi (CCM)
 
Wamebaki mamluki wachache mitandaoni wanaoishangilia ccm ila mtaani watu wanazijua tabu za ccm hiki siyo tuu kukitoa madarakani bali kukifuta kabisa
 
Mnaomshabikia fisadi Lowassa lazima mtakuwa mmelamba mlungula wake siyo bure, mimi nasimama na Slaa pamoja na Prof. Lipumba.
 
Back
Top Bottom