Watanzania ina maana ukweli huu hamuuoni?

Habari Wadau!
Nasema hivi!....Hata kama Mbowe akijiondoa kesho Chadema, hata kama Mbatia na Mzee Makaidi wakajiondoa keshokutwa! yani nasema hiviiii! hata kama Lowassa akajiondoa kugombea kupitia Ukawa.

Ni bora nipigie kura Kinyesi kile kuliko kuipigia kura CCM, kama vijana hatuhitaji Serikali ya CCM ituwekee pesa mifukoni tunachotaka ni mazingira mazuri ya kujiajiri, kwa wale wataokosa ajira, mikopo ya elimu ya juu bila upendeleo, fulsa sawa kwa kila raia, mwaka jana vijana wamekosa mikopo, baada ya muda wanasikia kuwa kuna watu hawaafiki 10 wamepiga mabilioni ya pesa peke yao, kwa miaka 50 ya uhuru bado kuna watoto wanasoma wakiwa wamekaa kwenye mawe hakuna madawati kwa nchi ambayo imezungukwa na misitu, kwa miaka 50 imeshindikana kujenga madawati, tuna nini tumekosa Tanzania?

Madini ya kila aina, ardhi, Maziwa, Bahari, Gesi na sasa mafuta, kwa nini mpaka leo tushindwe kutibia bure watu wetu? kwa rasilimari tulizonazo tumeshindwa kutoa elimu bora na bure toka nursery mpaka chuo kikuu?

kila kitu tumeshindwa! kama chama kinachoendesha serikali kimeshindwa kuhakikisha serikali inaboresha maisha ya mtanzania kwa miaka yote 50!!! nitakiadhibu chama hiki!! nasema hivi hata Ukawa wakaweka jiwe...nitalichagua jiwe..kuliko kuwa mnafiki eti niichague CCM! kwa lipi???


kidoñto nakuunga mkono 100%!!

Hata akibakia ibilis vs ccm NITAMPA IBILISI!!!
 
Last edited by a moderator:
Samahani mkuu umesemaa Kujenga madawaatiii au kutengeneza madawati?
Kama wanazuoni wetu ndio nyinyi hakika ccm sio ya kuilaumu maana wakipoteza madalaka yataenda sehemu mbaya zaidi.
Ahsante mtazamo tu.

Madalaka = Madaraka
 
Back
Top Bottom