Watanzania, hatumjui Paul Makonda?!

Watanzania, hatumjui Paul Makonda?!

[USER=403090]Fumadilu Kalimanzila[/USER] umeongea vyema nawe kwa uelewa wako na mawazo yako.. Ila sijui kama unaelewa maana ya special mission na sheria zake na how it comes to be special mission.. Sizani kama la kama ili la Paul Makonda ni special mission.

Nimesoma funzo zako naomba nikubaliane nawe..

Ila udhaifu wako nawe umelichukulia jambo juu juu bila kuangali pande zote kuhusu ili jambo.

Kuhusiana na nape sizani kama kakurupuka labda uniambie aje kutoa maamuzi yaliyo upande Mmoja kwa shinikizo flani... Ila kama kiongozi AME act kama kiongozi anaye respond jambo la dharura linapotokea..kama Paul Makonda mwenyewe alivyokuwa akifanya katika kazi sake.
Umesoma wapi? Sizani ndo nini?!
 
Huu uzi mtindo uliotumia kuandka utawapoteza wajinga werevu sio rahsi
Unaweka point ukweli mtupu, then hio point unaipamba na uongo kukamilisha adhima yako ya kumsafsha makonda
Unaongea fact then unapamba uongo mtupu, utawakamata wajinga.
Mfano uvamz wa clouds point yako kama mbinu ya kukamata unga, unapamba na issues ya mangwea, huu si wehu kabsa
 
Nashukuru kwa kuvitaja hv vitabu ngoja nivitafute haya mengine it's just bla bla kama zingine coz huwezi thubuti kufanya anachofanya Mange na uwanaume wako
Utasoma?! Au unataka kuona cover zake! Kitabu cha Lucifer Principles kina pages zaidi ya 334!
 
Nakubaliana na wewe mkuu,

Hongera kwa kuchambua hoja kwa maarifa.

Mimi niko upande wa Makonda, no matter what.

Kama kweli Makonda angekuwa na madhaifu hayo wanayosema akina "team Gwajima", sidhani kama Makonda angekuwa mjinga kiasi cha kuanzisha vita ambayo anatambua wazi kabisa kuwa lazima "ita-backfire".

Siku zote mtu mwenye madhaifu huwa mpole sana, huwa hawezi "kuji-expose" mbele za watu ili kuficha madhaifu yake, Makonda siyo mpole na anaonekana hana cha kuficha, ndiyo maana anapigana hii vita bila woga.

Makonda ni mtu anayeonekana amejipanga sana.
 
Kuanzia Sakata la kutaja Watuhumiwa wa biashara ya dawa za kulevya mpaka kinachodaiwa "Uvamizi wa kituo cha Clouds Media Gruoup"! RC Paul Makonda amekuwa gumzo kuu hapa Nchini kwa sasa ,kuanzia kwenye vyombo vya habari,mitaani na kwingineko!

Nikiwa hapa Kijijini kwangu Mwanduhitinje nimekuwa nikilifuatilia suala hili kwa taratibu sana bila mihemuko ili nijifunze kitu kipya na kwa kweli nimejifunza sana!

Kabla sijasema mafunzo niliyopata kutokana na "Sakata" hili niwaeleze kuwa nimesikiliza Clips zote za "Askofu" Gwajima kuhusu RC Paul Makonda,Nimesoma magezeti yote yaliyo na yanayoandika habari kuhusu RC Paul Makonda,Nimefuatilia post zote za Mange Kimambi kuhusu RC Paul Makonda,nimefuatilia comments za Watu mbalimbali kuanzia RC Paul Makonda akichipukia UVCCM akitokea TAHLISO kama Rais wake na hata alipom-blast Lowassa kuwa hana sifa za kuwa Rais na Mwenyekiti wa CCM, na sasa naeleza mafunzo niliyopata na hasa baada ya kusoma Gazeti la JAMUHURI kwa kile walichokiita Uchunguzi uliofanywa na WAANDISHI WETU!

FUNZO LA KWANZA: Tanzania ni miongoni mwa Nchi Duniani zenye uhaba wa Waandishi wa habari na Wasomi (Ninaposema wasomi simaanishi wale wenye "A" zote na Makofia mengi lakini wameishia kufuga kuku na Nguruwe kule CHANGANYIKENI).

FUNZO LA PILI: Watanzania wengi ni watu wasio na agenda yoyote ya maana ya ku-accomplish katika maisha yao bali ni watu waliokata tamaa na wanaotumia MATUKIO kama "pain killers" ya kuwapunguzia maumivu kutokana na KUSHINDWA kwao.Ndio maana Watanzania wengi hushabikia sana habari zinazomdhalilisha mtu au kumshusha chini mtu aliyeko juu kama RC Paul Makonda.

FUNZO LA TATU: Watanzania hatuna wanasiasa wenye maono,wanasiasa wetu wengi ni waganga njaa tu ambao wamefanya siasa kama kichaka tu kujifichia na kutafuta riziki kwa ajili ya maisha yao na siyo maendeleo ya wapiga kura na Taifa kwa ujumla!

FUNZO LA NNE: Tanzania hakuna UPINZANI,na itachukua miongo mingi sana Nchi hii kuweza kuongozwa na Chama cha Upinzani.Hawana Ajenda na ni watu wa MIHEMUKO! Ajenda zao ni kama hizi WEMA SEPETU KUPOKELEWA CHADEMA,TUNDU LISSU KUWA RAIS WA TLS, RC PAUL MAKONDA KAVAMIA KITUO CHA CLOUDS MEDIA GROUP.

FUNZO LA TANO: Wapinzani wa Tanzania HAWAJITAMBUI na WALA HAWAJUI WANAMTUMIKIA NANI! Hawana Rafiki wa kudumu wala Adui wa Kudumu! LOWASSA FISADI,LEO LOWASSA JEMBE! NAPE VUVUZELA leo NAPE JEMBE kwa kuwa "amekurupuka" kutoa tamko la kulaani Kabla ya Taarifa ya uchunguzi wa kamati yake aliyounda kumfikia mezani!

Baada ya kusoma hayo MAFUNZO niliyopata kuhusu "SAKATA" la RC PAUL MAKONDA embu njoo sasa nikupitishe kwenye hizi "hypothesis" zangu kabla hamja-conclude jambo lolote.

Observation moja muhimu kwanza ni hii hapa: Watanzania wengi, Wanasiasa,Wasomi na Wananchi wa kawaida wanafananishwa na mnyama mmoja mwenye umbo kubwa sana sawa na Uwanja wa mpira wa miguu lakini ni mnyama mwenye kichwa kidogo mithili ya bakuli ndogo ya kulia supu! Uwezo wa mnyama huyu kufikiri ni mdogo sana na kuhisi chochote ni mpaka umguse kichwani.( Their brains are very small to entertain two big events at once ! they must drop one event to entertain the other !) ! Ndio maana Nchi hii ni ya MATUKIO hili likija litafunika hili na hakuna impact yoyote na hata hili la RC Paul Makonda litapita muda si mrefu kama unabisha subiri Bunge lianze April! RC Paul Makonda wewe vumilia tu bado KITAMBO KIDOGO WATASAHAU TU!

HYPOTHESIS YA KWANZA:
Nimesoma kwa utulivu sana Uchunguzi wa Gazeti la JAMHURI kuhusu Paul Makonda,Mtu aliyesemwa na akina "Askofu" Gwajima kuwa Paul Christian Makonda anatumia vyeti vyake Ndugu Paul Pierre Christian amekanusha vizuri sana na pia hana dada aitwaye Christina aliyetajwa na akina "Askofu" Gwajima. Hakuna dhambi yoyote jina lako kufanana na la mwingine, Juma Ali wako wangapi Zanzibar? Mohamedi Ali wako wangapi Duniani?!
Sheria inaruhusu kubadili jina na RC Paul Christian Makonda na kama ni kweli alikula kiapo mahakamani kubadili jina basi alijua jina alilokuwa akitaka kutumia la PAUL CHRISTIAN MAKONDA si lake la awali! Kwa nini basi aliende mahakamani?

HYPOTHESIS YA PILI;
Je PAUL CHRISTIAN MAKONDA hawezi kuwa ni mtu makini mwenye "SPECIAL MISSION" kutoka "KITENGO" fulani anayo-accomplish ?!
"Qualities "anazoonyesha RC PAUL MAKONDA zinazoweza ku-support hii hypothesis ni hii ya kupoteza "initial identity yake",pili angalia comments za Mzee Khamesse na familia yake ni watu ambao wamekuwa "disappointed" na tabia za RC PAUL MAKONDA, Nawanukuu kwa mujibu wa JAMHURI, " alikuja hapa kama mara mbili saa saba usiku na saa tano usiku,hakuingia ndani! Hapokei simu na namba anazowapa ni feki muda wote hazipatikani!
Kwa utamuduni wa kiafrika kwa watu waliokulea na tena kwa MUSUKUMA kama PAUL MAKONDA na pia kwa umaarufu na hesima aliyonayo Mzee Suleiman Khamesse lazima kuna KITU HAPA si Bure!!!!!

HYPOTHESIS YA TATU;
Katika vita hii ya Madawa ya kulevya tunajua RC PAUL MAKONDA amefanya jambo ambalo hata Marehemu Amina Chifupa alitaka kujaribu lakini hakulifikia.Kilichompata Amina Chifupa sote tunajua.Hivyo hawa WAUZA UNGA NA WATEGEMEZI WAO HAWAWEZI KUMFURAHIA RC PAUL MAKONDA LAZIMA WAJARIBU KUMWANGAMIZA TU! Na hapa Mheshimiwa Rais DR. JMP kama unaujua ukweli kuhusu kijana huyu basi please MLINDE KWA GHARAMA YOYOTE!
Ndio maana unapoona NAPE NNAUYE anatukuzwa kuwa ni jembe japo ukweli ni kuwa "AMEKURUPUKA" sana na kutozingatia ile dhana ya "collective responsibilty". WENGI WANAPIGANA VITA YA WAUZA UNGA DHIDI YA RC PAUL MAKONDA BILA WAO KUJUA au KWA KUJUA na Nape Nnauye AKIWEMO!

HYPOTHESIS YA NNE;
Kuhusu RC PAUL MAKONDA kuvamia kituo cha CLOUDS pamoja na kupewa Magari na Watuhumiwa wa biashara ya Madawa ya kulevya yaani kampuni za TANGA PETROLEUM LIMITED NA NAS HAULAGE LIMITED. Hapa nikiri wazi kuwa najenga hoja yangu kufuatia maarifa niliyopata kutokana na kusoma vitabu vifuatavyo: Kitabu cha The Book of Five Rings cha Mjapani Miyamoto Musashi, Kitabu cha 48 Rules of Power ,Kitabu cha Lucifer Principles cha Howard Bloom na Kitabu cha Mwanamapinduzi wa Kichina Sun Tzu cha "The Art of War".

Ukiangalia kwa hao marafiki zake kwa pamoja RC PAUL CHRISTIAN MAKONDA amejaribu sana kujenga nao urafiki wa karibu mno! Je hii HAIWEZI kuwa ni strategy ya "kum-nail" adui ?! Je CLOUDS media Group hawatajwitajwi katika hii biashara HARAMU ya Madawa ya Kulevya?! Chunguza na fuatilia kifo cha Msanii Albert Mangwea kama MKONO wa CLOUDS MEDIA GROUP hautajwitajwi.

RC PAUL CHRISTIAN MAKONDA anaweza kuwa ni mtu "HATARI" kuliko anavyochukuliwa ,kubezwa na kudhalilishwa na WATU WENYE UPEO MDOGO kama yule Mnyama niliyemwelezea hapo juu!

Yawezekana RC PAUL CHRISTIAN MAKONDA akawa sawa na mtu anayetupia kuku wake mahindi pale tu anapotaka kumkamata ili amchinje! ZITTO KABWE anasema ameambiwa kuwa kile kikosi alichotumia RC PAUL CHRISTIAN MAKONDA "kuvamia" CLOUDS kilikuwa maalum ambacho idhini yake hutolewa na Rais au Boss TISS. Je,tunajuaje kama RC PAUL CHRISTIAN MAKONDA alitumia style ile ya YUDA ISKARIOTE aliyotumia kumtambulisha YESU Christo kwa wale maadui waliofika bustanini kumkamata? Labda RC PAUL MAKONDA "alinusa" kuwa CLOUDS MEDIA GROUP depot yao ya "UNGA" wameihamishia Studio na hivyo akaona aende na kikosi maalum incase ameukuta huo "UNGA" upo awakombe na incase ameukosa awapotezee tu kuwa yeye ni mtu wao na anafuatilia "Kipindi chake".

Kwanini isiwezekane hivyo kama ni huyu PAUL CHRISTIAN MAKONDA ambaye alituhumiwa kumfunga Ridhiwani Kikwete kamba za viatu na bado akaja kumuorodhesha katika orodha ya watu 97 anaowatuhumu kufanya Biashara ya dawa za kulevya!

Amemtaja Ridhiwani Kikwete na Yusufu Manji kuhusika na biashara ya Madawa ya kulevya kitu ambacho MWIGULU NCHEMBA hawezi kufanya hata kama angekuwa na ushahidi mkononi!

Tungekuwa na Waandishi makini wangechunguza RC Paul Makonda anapokuwa nje ya Nchi anaongea na akina nani MISSIONS zake ni zipi lakini kwa hawa wetu ambao wakiamka wanakimbia kuangalia leo Mange Kimambi ame -post nini au Jumapili hii "Askofu" Gwajima atamchanaje Paul Makonda!

Hivi ukiwa hujapewa Vyeti uangalie na ukaambiwa uwasikilize wakijenga hoja SAED KUBENEA, BONIPHACE JACOB (MAYOR WA UBUNGO) na RC PAUL MAKONDA nani utasema ana ZIRO! obviousily ni KUBENEA na BONIPHACE JACOB! Je,ZIRO ya Paul Makonda haiwezi kuwa ni ya kutengeneza kwa "SPECIAL MISSION".?!

Albert Einstein alipata kusema kuwa akili iliyotumika kutengeneza tatizo haiwezi kutumika kutatua tatizo hilo.NDUGU WATANZANIA TUTAMBUE KUWA VITA DHIDI YA MADAWA YA KULEVYA NI NGUMU KULIKO TUNAVYOFIKIRIA na kama unabisha kamuulize JAKAYA MRISHO KIKWETE au WILLIAM LUKUVI.

Unayepiga kelele bila kuruhusu kichwa chako kufanya kazi piga tu kelele LAKINI TAMBUA KUWA yawezekana unapiga kelele bila kujua kuwa wewe ni sawa tu na MBUZI aliyeko kwenye banda la mpika supu!
Uko mbali sana Ngosha
 
Umejaribu kupaka rangi kwa nje ili nyumba kumbe ndani ni pachafu hivyo,pole sana mkuu
 
Kweli kabisa..Hata wauza chips huku newala wanamzungumzia Rc dar sijui anawasaidiaje..Tufanye yetu tumechoka na hizi story
Inakuwaje basi kidole kimoja kikiuma mwilini mwako kidole kingine kikiri kutohusika?...

Inakuwaje basi sikio lako la kulia liume na jicho lako lakulia likiri kutojar wa kutojua chochote?...

Ni upumbafu ulioje kutojua uhusiano wa kukata miti na upatikanaji wa miti,kama tu ilivyo uhusiano kati ya harufu chafu na utemaji mate....

Ole wake tumbo lisumalo kuumwa kwa jino hakunihusu....
 
Lumumbaaaa, kweli mnalikumbatia furushi la mavi?! Hakika mtanuka zaidi
 
Umepoteza muda kumaliza kifurushi kwa hoja dhaifu kiutetezi
 
Mada imejaa dharau dhidi ya waandishi wa habari na vyama vya upinzani.
Unaposema alienda na kikosi maalum labda alisikia stoo ya madawa clouds imehamishiwa studio unashangaza, kwa akili yako kama clouds wanajihusisha na ngada inaweza kuwa ni biashara ya watangazaj wote kujua kiasi kwamba yapelekwe studio?
Tayar tume ya madawa imeundwa , kwa nini aende yeye?
Kwa nini hakuwaorodhesha Clouds?
Je unaamini Daud Albert Bashite na Paul Makonda ni watu wawili tofauti?
Umeniacha hoi uliposema pengine hata zero aliyopata Makonda ilikuwa ni kwa mission maalum.
 
Mkuu huhitaji kuandika gazeti kuaminisha watu kwa conspiracies. Huhitaji kufanya kama Makonda kukamata wahalifu.
 
Hakujawahi kuwa na mission ya kuwaua GSM

Hio ya kuongea na Sallah na GSM Sasa ndio mission yenyewe. Nadhani unatumia nguvu kubisha ila huna hoja, hivi iwapo USA walimpanda/ plant Gorbachev ili aiue USSR na ikawezekana, why hii hoja kwenye hii thread isiwe valid?

Inawezekana umezoea kuona uji wa ulezi na mahidi lakini ukasahau pia kuna uji wa viazi au ndizi.

Bakia na hasira zako
 
Back
Top Bottom