Watanzania, hatumjui Paul Makonda?!

Watanzania, hatumjui Paul Makonda?!

ukweli toka hii issue ianze kutokea na mazingira ya Kada Makonda kutoka huko,CCM kindaki NDAKI Mara mkuu wa Wilaya Mara mkuu wa mkoa na Tamko LA Mkuu pale ubungo Naanza kuogopa Makonda hana IQ ndogo kama tunavyomfikiria nadhani Makonda ni zaidi ya tunayemjua Kwenye Swala LA Elimu yake ndo kuna wasi wasi sana coz kila nikijiuliza sababu za msingi zilizokuwa zinamfanya Asome chuo na kufika mahali anaacha na kurudi tena anasoma kwa muda tena anapotea na kurudi tena chuo, Huenda siyo kufeli ni mpango maalumu napenda sana kujipa muda na kuwa na subra muda utaamua
 
Nitakuwa Wa Mwisho kumsariti Makonda kwa njia yoyote.....nafahamu ni nini anafanya na nini lengo lake,inahitaji upeo mkubwa na uwezo mkubwa Wa kufikiri.....kama sivyo utamhukumu Makonda.....
 
Wewe ni Mbuzi wa Supu Bandani! Walioanza kumfanya Albert Mangwea "Punda" ni kina nani?
Useless kabisa, theory zako hazina mashiko wala hujui lolote na hufuatilii lolote, unaunganisha tu vimaneno vya mtaani, point yenu kubwa mnataka kuhalilisha kuwa uvamizi wa Makonda pale ulikuwa wa kikazi na alienda kukagua madawa ya kulevya, hakuna wa kudanganywa hapa, Makonda alienda kulazimisha clip yake irushwe, clouds kuhusika na kifo cha Albert Mangwea ilisemwa yes but sio katika muktadha wa wao kufanya biashara ya drugs ila ni katika kuhusika kuwapa stress wanamusic wanawatumia with low pymnt at the end vijana majina makubwa lakini hata kwa kuish hakuna wanaamua kubwia unga
 
Mwanduitinje bila shaka ni wilaya ya Meath mkoa was shinyanga. Sehemu ambayo naifahamu vizuri kuwa ccm imedominate pale sana na ikihusishwa na asili ya mbunge wa jumbo la kisesa. Pamoja na kwamba unasema unayaandika Hata bila ya kuwa na mihemuko nadhani umeahindwa kujielewa kwamba unamihemuko tena ya kijinga na kipumbavu. Pamoja na vitabu hivyo ulivyovisoma na kufanya kama reference inaonyesha wazi lengo lako ni utetezi juu ya makonda na kubeza wale ambao labda unaona wanamrengo tofauti wa kisiasa. Juu ya nape ni kwakuwa amechukua hatua dhidi ya sakata la makonda kuvamia TV ya clouds na anayeguswa ni mwanaccm tens asiye na adabu Hata kwa wakubwa wake. Nasisitiza tumia kichwa na sio matako kufikiriaa
 
Maneno kibao lakini yote sifuri.. Hakuna TISS ambaye alipata sifuri form four.. Naomba uheshimu kazi za watu.. Hakuna kilaza TISS. Ile imejaa intelligent guys who does intelligence work for the government.
Naona waTZ mmefikia kubaya hadi kuhusisha watu waliopata sifuri na Taasisi imara kama TISS.. Utatueleza kwanini umehusisha TISS na sifuri.
Wewe ni sawa na yule mnyama niliyemzungumzia humu! Nenda kwenye Oxford Dictionary uone tofauti kati ya "Clever" na "Intelligent"! TISS hawachukui mtu sababu ya "A" zake! Wanaochukua "A" ni Vyuo vikuu kama UDSM na mwisho wengi wao wanafuga Kuku na Nguruwe kule CHANGANYIKENI!
 
Mwanduitinje bila shaka ni wilaya ya Meath mkoa was shinyanga. Sehemu ambayo naifahamu vizuri kuwa ccm imedominate pale sana na ikihusishwa na asili ya mbunge wa jumbo la kisesa. Pamoja na kwamba unasema unayaandika Hata bila ya kuwa na mihemuko nadhani umeahindwa kujielewa kwamba unamihemuko tena ya kijinga na kipumbavu. Pamoja na vitabu hivyo ulivyovisoma na kufanya kama reference inaonyesha wazi lengo lako ni utetezi juu ya makonda na kubeza wale ambao labda unaona wanamrengo tofauti wa kisiasa. Juu ya nape ni kwakuwa amechukua hatua dhidi ya sakata la makonda kuvamia TV ya clouds na anayeguswa ni mwanaccm tens asiye na adabu Hata kwa wakubwa wake. Nasisitiza tumia kichwa na sio matako kufikiriaa
Wewe ndo unatumia MATAKO badala kichwa kufikiri! Nape alipaswa kutoa tamko baada ya Ripoti ya Tume yake na kujua nini kilitokea pale ! RC PAUL MAKONDA ni Mwenyekiti wa Kamati ya Ulinzi na Usalama wa Mkoa wa DAR! Hata Rais Dr.Magufuli akipata tatizo akiwa MAGOGONI ni lazima MAKONDA a account ! NYIE NDO DALILI ZA UDUNI WA ELIMU YA NCH YETU!
 
Mkuu umechanganua vyema sana. Ila kwa watanzania Hawa wa mitandaoni subiri majibu ya kashfa tu. Ila ipo siku labda tutabadilika hasa kwa mwendo Huu magufuli. Magufuli songa mbele!
 
Kuanzia Sakata la kutaja Watuhumiwa wa biashara ya dawa za kulevya mpaka kinachodaiwa "Uvamizi wa kituo cha Clouds Media Gruoup"! RC Paul Makonda amekuwa gumzo kuu hapa Nchini kwa sasa ,kuanzia kwenye vyombo vya habari,mitaani na kwingineko!

Nikiwa hapa Kijijini kwangu Mwanduhitinje nimekuwa nikilifuatilia suala hili kwa taratibu sana bila mihemuko ili nijifunze kitu kipya na kwa kweli nimejifunza sana!

Kabla sijasema mafunzo niliyopata kutokana na "Sakata" hili niwaeleze kuwa nimesikiliza Clips zote za "Askofu" Gwajima kuhusu RC Paul Makonda,Nimesoma magezeti yote yaliyo na yanayoandika habari kuhusu RC Paul Makonda,Nimefuatilia post zote za Mange Kimambi kuhusu RC Paul Makonda,nimefuatilia comments za Watu mbalimbali kuanzia RC Paul Makonda akichipukia UVCCM akitokea TAHLISO kama Rais wake na hata alipom-blast Lowassa kuwa hana sifa za kuwa Rais na Mwenyekiti wa CCM, na sasa naeleza mafunzo niliyopata na hasa baada ya kusoma Gazeti la JAMUHURI kwa kile walichokiita Uchunguzi uliofanywa na WAANDISHI WETU!

FUNZO LA KWANZA: Tanzania ni miongoni mwa Nchi Duniani zenye uhaba wa Waandishi wa habari na Wasomi (Ninaposema wasomi simaanishi wale wenye "A" zote na Makofia mengi lakini wameishia kufuga kuku na Nguruwe kule CHANGANYIKENI).

FUNZO LA PILI: Watanzania wengi ni watu wasio na agenda yoyote ya maana ya ku-accomplish katika maisha yao bali ni watu waliokata tamaa na wanaotumia MATUKIO kama "pain killers" ya kuwapunguzia maumivu kutokana na KUSHINDWA kwao.Ndio maana Watanzania wengi hushabikia sana habari zinazomdhalilisha mtu au kumshusha chini mtu aliyeko juu kama RC Paul Makonda.

FUNZO LA TATU: Watanzania hatuna wanasiasa wenye maono,wanasiasa wetu wengi ni waganga njaa tu ambao wamefanya siasa kama kichaka tu kujifichia na kutafuta riziki kwa ajili ya maisha yao na siyo maendeleo ya wapiga kura na Taifa kwa ujumla!

FUNZO LA NNE: Tanzania hakuna UPINZANI,na itachukua miongo mingi sana Nchi hii kuweza kuongozwa na Chama cha Upinzani.Hawana Ajenda na ni watu wa MIHEMUKO! Ajenda zao ni kama hizi WEMA SEPETU KUPOKELEWA CHADEMA,TUNDU LISSU KUWA RAIS WA TLS, RC PAUL MAKONDA KAVAMIA KITUO CHA CLOUDS MEDIA GROUP.

FUNZO LA TANO: Wapinzani wa Tanzania HAWAJITAMBUI na WALA HAWAJUI WANAMTUMIKIA NANI! Hawana Rafiki wa kudumu wala Adui wa Kudumu! LOWASSA FISADI,LEO LOWASSA JEMBE! NAPE VUVUZELA leo NAPE JEMBE kwa kuwa "amekurupuka" kutoa tamko la kulaani Kabla ya Taarifa ya uchunguzi wa kamati yake aliyounda kumfikia mezani!

Baada ya kusoma hayo MAFUNZO niliyopata kuhusu "SAKATA" la RC PAUL MAKONDA embu njoo sasa nikupitishe kwenye hizi "hypothesis" zangu kabla hamja-conclude jambo lolote.

Observation moja muhimu kwanza ni hii hapa: Watanzania wengi, Wanasiasa,Wasomi na Wananchi wa kawaida wanafananishwa na mnyama mmoja mwenye umbo kubwa sana sawa na Uwanja wa mpira wa miguu lakini ni mnyama mwenye kichwa kidogo mithili ya bakuli ndogo ya kulia supu! Uwezo wa mnyama huyu kufikiri ni mdogo sana na kuhisi chochote ni mpaka umguse kichwani.( Their brains are very small to entertain two big events at once ! they must drop one event to entertain the other !) ! Ndio maana Nchi hii ni ya MATUKIO hili likija litafunika hili na hakuna impact yoyote na hata hili la RC Paul Makonda litapita muda si mrefu kama unabisha subiri Bunge lianze April! RC Paul Makonda wewe vumilia tu bado KITAMBO KIDOGO WATASAHAU TU!

HYPOTHESIS YA KWANZA:
Nimesoma kwa utulivu sana Uchunguzi wa Gazeti la JAMHURI kuhusu Paul Makonda,Mtu aliyesemwa na akina "Askofu" Gwajima kuwa Paul Christian Makonda anatumia vyeti vyake Ndugu Paul Pierre Christian amekanusha vizuri sana na pia hana dada aitwaye Christina aliyetajwa na akina "Askofu" Gwajima. Hakuna dhambi yoyote jina lako kufanana na la mwingine, Juma Ali wako wangapi Zanzibar? Mohamedi Ali wako wangapi Duniani?!
Sheria inaruhusu kubadili jina na RC Paul Christian Makonda na kama ni kweli alikula kiapo mahakamani kubadili jina basi alijua jina alilokuwa akitaka kutumia la PAUL CHRISTIAN MAKONDA si lake la awali! Kwa nini basi aliende mahakamani?

HYPOTHESIS YA PILI;
Je PAUL CHRISTIAN MAKONDA hawezi kuwa ni mtu makini mwenye "SPECIAL MISSION" kutoka "KITENGO" fulani anayo-accomplish ?!
"Qualities "anazoonyesha RC PAUL MAKONDA zinazoweza ku-support hii hypothesis ni hii ya kupoteza "initial identity yake",pili angalia comments za Mzee Khamesse na familia yake ni watu ambao wamekuwa "disappointed" na tabia za RC PAUL MAKONDA, Nawanukuu kwa mujibu wa JAMHURI, " alikuja hapa kama mara mbili saa saba usiku na saa tano usiku,hakuingia ndani! Hapokei simu na namba anazowapa ni feki muda wote hazipatikani!
Kwa utamuduni wa kiafrika kwa watu waliokulea na tena kwa MUSUKUMA kama PAUL MAKONDA na pia kwa umaarufu na hesima aliyonayo Mzee Suleiman Khamesse lazima kuna KITU HAPA si Bure!!!!!

HYPOTHESIS YA TATU;
Katika vita hii ya Madawa ya kulevya tunajua RC PAUL MAKONDA amefanya jambo ambalo hata Marehemu Amina Chifupa alitaka kujaribu lakini hakulifikia.Kilichompata Amina Chifupa sote tunajua.Hivyo hawa WAUZA UNGA NA WATEGEMEZI WAO HAWAWEZI KUMFURAHIA RC PAUL MAKONDA LAZIMA WAJARIBU KUMWANGAMIZA TU! Na hapa Mheshimiwa Rais DR. JMP kama unaujua ukweli kuhusu kijana huyu basi please MLINDE KWA GHARAMA YOYOTE!
Ndio maana unapoona NAPE NNAUYE anatukuzwa kuwa ni jembe japo ukweli ni kuwa "AMEKURUPUKA" sana na kutozingatia ile dhana ya "collective responsibilty". WENGI WANAPIGANA VITA YA WAUZA UNGA DHIDI YA RC PAUL MAKONDA BILA WAO KUJUA au KWA KUJUA na Nape Nnauye AKIWEMO!

HYPOTHESIS YA NNE;
Kuhusu RC PAUL MAKONDA kuvamia kituo cha CLOUDS pamoja na kupewa Magari na Watuhumiwa wa biashara ya Madawa ya kulevya yaani kampuni za TANGA PETROLEUM LIMITED NA NAS HAULAGE LIMITED. Hapa nikiri wazi kuwa najenga hoja yangu kufuatia maarifa niliyopata kutokana na kusoma vitabu vifuatavyo: Kitabu cha The Book of Five Rings cha Mjapani Miyamoto Musashi, Kitabu cha 48 Rules of Power na Kitabu cha Lucifer Principles cha Howard Bloom.

Ukiangalia kwa hao marafiki zake kwa pamoja RC PAUL CHRISTIAN MAKONDA amejaribu sana kujenga nao urafiki wa karibu mno! Je hii HAIWEZI kuwa ni strategy ya "kum-nail" adui ?! Je CLOUDS media Group hawatajwitajwi katika hii biashara HARAMU ya Madawa ya Kulevya?! Chunguza na fuatilia kifo cha Msanii Albert Mangwea kama MKONO wa CLOUDS MEDIA GROUP hautajwitajwi.

RC PAUL CHRISTIAN MAKONDA anaweza kuwa ni mtu "HATARI" kuliko anavyochukuliwa ,kubezwa na kudhalilishwa na WATU WENYE UPEO MDOGO kama yule Mnyama niliyemwelezea hapo juu!

Yawezekana RC PAUL CHRISTIAN MAKONDA akawa sawa na mtu anayetupia kuku wake mahindi pale tu anapotaka kumkamata ili amchinje! ZITTO KABWE anasema ameambiwa kuwa kile kikosi alichotumia RC PAUL CHRISTIAN MAKONDA "kuvamia" CLOUDS kilikuwa maalum ambacho idhini yake hutolewa na Rais au Boss TISS. Je,tunajuaje kama RC PAUL CHRISTIAN MAKONDA alitumia style ile ya YUDA ISKARIOTE aliyotumia kumtambulisha YESU Christo kwa wale maadui waliofika bustanini kumkamata? Labda RC PAUL MAKONDA "alinusa" kuwa CLOUDS MEDIA GROUP depot yao ya "UNGA" wameihamishia Studio na hivyo akaona aende na kikosi maalum incase ameukuta huo "UNGA" upo awakombe na incase ameukosa awapotezee tu kuwa yeye ni mtu wao na anafuatilia "Kipindi chake".

Kwanini isiwezekane hivyo kama ni huyu PAUL CHRISTIAN MAKONDA ambaye alituhumiwa kumfunga Ridhiwani Kikwete kamba za viatu na bado akaja kumuorodhesha katika orodha ya watu 97 anaowatuhumu kufanya Biashara ya dawa za kulevya!

Amemtaja Ridhiwani Kikwete na Yusufu Manji kuhusika na biashara ya Madawa ya kulevya kitu ambacho MWIGULU NCHEMBA hawezi kufanya hata kama angekuwa na ushahidi mkononi!

Tungekuwa na Waandishi makini wangechunguza RC Paul Makonda anapokuwa nje ya Nchi anaongea na akina nani MISSIONS zake ni zipi lakini kwa hawa wetu ambao wakiamka wanakimbia kuangalia leo Mange Kimambi ame -post nini au Jumapili hii "Askofu" Gwajima atamchanaje Paul Makonda!

Hivi ukiwa hujapewa Vyeti uangalie na ukaambiwa uwasikilize wakijenga hoja SAED KUBENEA, BONIPHACE JACOB (MAYOR WA UBUNGO) na RC PAUL MAKONDA nani utasema ana ZIRO! obviousily ni KUBENEA na BONIPHACE JACOB! Je,ZIRO ya Paul Makonda haiwezi kuwa ni ya kutengeneza kwa "SPECIAL MISSION".?!

Albert Einstein alipata kusema kuwa akili iliyotumika kutengeneza tatizo haiwezi kutumika kutatua tatizo hilo.NDUGU WATANZANIA TUTAMBUE KUWA VITA DHIDI YA MADAWA YA KULEVYA NI NGUMU KULIKO TUNAVYOFIKIRIA na kama unabisha kamuulize JAKAYA MRISHO KIKWETE au WILLIAM LUKUVI.

Unayepiga kelele bila kuruhusu kichwa chako kufanya kazi piga tu kelele LAKINI TAMBUA KUWA yawezekana unapiga kelele bila kujua kuwa wewe ni sawa tu na MBUZI aliyeko kwenye banda la mpika supu!
Nashukuru kwa kuvitaja hv vitabu ngoja nivitafute haya mengine it's just bla bla kama zingine coz huwezi thubuti kufanya anachofanya Mange na uwanaume wako
 
Unajigusa na kukipiga bao!Hv Kweli kama watu wa medani ndo kina Makonda basi tuna tatizo kubwa sana.Watu wa medani hawana IQ ndogo kama Bashite!
Ndipo nilipojua mleta mada ni kada ,mtu wa system akaangalie kama kuna ngada clouds then ashindwe Kugundua kama kuna CCTV na si mgeni na jengo hilo hahahaha kama usalama wetu ndo wa hv kheri nihamie Mogadishu
 
Wewe ndo unatumia MATAKO badala kichwa kufikiri! Nape alipaswa kutoa tamko baada ya Ripoti ya Tume yake na kujua nini kilitokea pale ! RC PAUL MAKONDA ni Mwenyekiti wa Kamati ya Ulinzi na Usalama wa Mkoa wa DAR! Hata Rais Dr.Magufuli akipata tatizo akiwa MAGOGONI ni lazima MAKONDA a account ! NYIE NDO DALILI ZA UDUNI WA ELIMU YA NCH YETU!
Ila sizonje hakupaswa kusubiri ripoti ya tume yeye alimwambia mr zero achape kazi tu, pathetic
 
Daaah, ni wachache sana wenye uwezo wa kukuelewa bro. Jf tunamiss watu wa aina yako ili kuzipatia bongo zetu chakula. Waandishi wa bongo ndo mabomu kuliko hata yale yanayojiripua wenyewe. Ni zero kabisa
 
Unajaza server tu ya jf!

OvA
Wewe huwezi kumuelewa kabisa kwanza hata vitabu alivyovitaja mwenzio kwako ni "usumbufu". Unayoyasoma wewe ni " karatasi za kuchambia"
 
Kuna watu hawamjui mwenyekiti wa mtaa, mtendaji wa kijiji & kata, mwenyekiti wa kijiji, Mkuu wa Wilaya, Mbunge na Mkuu wa Mkoa kwenye eneo analotoka lakini wanamfuatilia Bashite Daudi na Dsm yake. Huku ni kuwa kiherehere.

Kila siku Makonda, kila siku vyeti...tunaacha kazi zinazotuhusu,tunaamka, tinashinda na kulala na mijadala ya Makonda. Akionesha cheti wewe utapata nini? Utaingiza pesa?Utapata ajira?

Ni nn kiuchumi utakipata kwa kumjadili Makonda?

Mtu yupo Urambo, Ngudu, Naliendeli, Chato, Songea,kumasi, Mbwewe, Mkinga, Mboro nk anakomaa na Makonda.Tuiache Dsm na wenyewe.
 
Nimeisoma vzr bado pia kama unavyowasema hao waandishi hata ww unatatizo la ubias na kulala upande unaoamini wasomaji watalala huko
 
Back
Top Bottom