Watanzania amkeni

Watanzania amkeni

Wale wanaodai wanataka kukomboa nchi tarehe 9 hatutosubiri askari . Tumejipanga kweli kweli.
Safari hii mtaita babaaa.
Sasa njooni nyie wakenya muone akhera kukoje.
 
Hujui unayemtetea kama ungejua ni nani ... Ungeanza maandamano leo
Natetea taifa langu kusambaratishwa na maadui.
Sina sababu yyt ya kutetea kiongozi yyt.
Wala sipati faida yyt
 
As long as tuna huu utawala tutachoma bandari
Ok.
Njoo uchome bandari inayo tuletea mafuta, Pembejeo, mbolea na madawa kisha uone kitakacho kukuta.

Km wewe kweli hupendi huu utawala kwanini usiende IKULU pamoja na hilo kundi lako la wezi?
Jeuri hio huna. Wala moyo huo huna.
Mnakimbilia kwenye miundo mbinu inayo tufaa sisi maskini sababu ipo karibu na kila raia.
Safari hii SISI WAZALENDO WENYE WE tumejipanga.
Njooni muone sarakasi
 
Wakenya wenye nia ya kutuharibia nchi yetu pamoja na makundi ya wezi wanaotamani kutajirika kutokana na nguvu na jasho la wengine safari hii mtakutana na WAZALENDO WA TANZANIA ambao wako tayari kufa kutetea nchi yao.

Mmetukana sana askari na jeshi na viongozi wote.
Baada ya tarehe 9 wale wataikuwa hai sijui mtatukana nani .
 
Ok.
Njoo uchome bandari inayo tuletea mafuta, Pembejeo, mbolea na madawa kisha uone kitakacho kukuta.

Km wewe kweli hupendi huu utawala kwanini usiende IKULU pamoja na hilo kundi lako la wezi?
Jeuri hio huna. Wala moyo huo huna.
Mnakimbilia kwenye miundo mbinu inayo tufaa sisi maskini sababu ipo karibu na kila raia.
Safari hii SISI WAZALENDO WENYE WE tumejipanga.
Njooni muone sarakasi
Unamtisha nani wewe? Badala uhubiri amani na upatanisho unatishia watu, kisa umejificha na ID feki? Taja hapa real ID yako kama we kweli mwanaume. Acha kuhubiri mauaji maana utashangaa wewe mwenye kiherehere ndio utadunguliwa na hao hao unaowatetea
 
Vipi hao mafisadi ni marafiki au maadui?
Hilo sio swali unaweza kumuuliza mzalendo hata siku moja.
Mafisadi tunawalaani kila siku humu na lazima itafutwe njia ya sio kuwatoa madarakani tu bali wakamatwe na wahukumiwe kwa mujibu wa Sheria.

Kwahio unapotaka kuuliza swali jaribu kuangalia unamuuliza nani.

Ahsanta
 
Unamtisha nani wewe? Badala uhubiri amani na upatanisho unatishia watu, kisa umejificha na ID feki? Taja hapa real ID yako kama we kweli mwanaume. Acha kuhubiri mauaji maana utashangaa wewe mwenye kiherehere ndio utadunguliwa na hao hao unaowatetea
Vitisho ni kauli zinazotumika kutia hofu . Mimi sitishi mtu bali naeleza HALI HALISI.
Wale wote ambao wamepanga kuja kuvunja maduka na kuiba mali za Raia safari hii tumejipanga.
We km unadhani hivyo ni vitisho ungana nao.

Hatuwezi kuletewa upumbavu na watu wachache kuturudisha nyuma miaka 40 kwa sababu ya tamaa zao.
 
Kwa wanaoharibu miundombinu ni sahihi kabisa kufumua ubongo.....
Kabisa. Tena sana tu.
Anaetaka mamilioni ya watoto wa kitanzania wakose maji na chakula na huduma za LAZIMA huyo ni adui mbaya kuliko hao mafisadi wanao tuharibia nchi.
 
Ok.
Njoo uchome bandari inayo tuletea mafuta, Pembejeo, mbolea na madawa kisha uone kitakacho kukuta.

Km wewe kweli hupendi huu utawala kwanini usiende IKULU pamoja na hilo kundi lako la wezi?
Jeuri hio huna. Wala moyo huo huna.
Mnakimbilia kwenye miundo mbinu inayo tufaa sisi maskini sababu ipo karibu na kila raia.
Safari hii SISI WAZALENDO WENYE WE tumejipanga.
Njooni muone sarakasi
20251201_025103.jpg
 
Ustadh mzima unashabikia mauaji? Sheikh Sharif Majini aliuwawa na hao hao unaowatetea humu? Sijaona popote ukidai haki yake Sheikh yule.
Wapi nimeshabikia watu kupoteza uhai wao.? Acha unafiki wa kubandika waungwana sifa wasizo kuwanazo.
Mimi pia nimepoteza ndugu zangu waliokuwa wanakwenda kuswali msikitini. Na pia siwezi kulaumu askari. Manake waliosababisha watu wangu kufa ni hao majambazi wa kenya wakiungana na majambazi wa hapa kwetu.

Askari anaona kundi la watu wanaochoma mali za maskini na kuiba mali za raia na wao kuuawa unategemea atazame tu au?

Acheni mihemko. Semeni ukweli km mnavyofunzwa na BIBILIA. Unafiki sio dili
 
Back
Top Bottom