Hawana tofauti na hao wanaowalalamikia humu kina abduli au angela kiziga.....Kabisa. Tena sana tu.
Anaetaka mamilioni ya watoto wa kitanzania wakose maji na chakula na huduma za LAZIMA huyo ni adui mbaya kuliko hao mafisadi wanao tuharibia nchi.
Wale wachoma mwendokasi kuna kama walikuwepo kikosi maalumu kinachojua nini cha kuharibu, hasa mitambo ya malipo na mtandao wa kuongoza mabasi, maana hivyo ndio mbinde kuvirudisha kuliko mabati na vioo...