Unique Flower
JF-Expert Member
- Apr 19, 2019
- 12,841
- 25,359
Kazini na sehemu nyingi ukitaka nitakupa ushaidiHebu funguka,wapi umeomba msaada ukaombwa mbunye?.
Unakuta kuna kazi mtu wakaribu anavunga .Umeongea kigeneral ,please be specific kwa uliyo experience au uliyoona.
Msaidie mtu because naye atakusaidia one dayNa huo ndio mtego wakuwala nyinyi pisi kali mana mkiwa kwenye raha mnaonaga kama dunia yenu kila kitu mmekimaliza
Wapimi mbona mtz nina roho nzur nina macho ya mahaba
te te te huyo mkaka vip mara hii amekuwa na roh mby
Ukikwama ukahitaji kushikwa mkono .Hivi hebu tuwekane sawa, msaada ni nini?
Je, msaada huanza kwa mtu mwenye uhitaji kuomba au chanzo cha msaada ni pale mtu mwenye nia ya kutoa kutafuta mtu wa kumpa?
Maana kuna watu ni mabingwa wa kuomba omba, ilihali wao sio watoaji wa vipe vilivyo ndani ya uwezo wao...
Kwako ni baadhi kwa wao woteungesema baadhi ya watanzania.
Kua acha utotoWe mwenyewe usikute hapo umekopa nipige tafu au songesha ila unavyowazungusha Sasa hao voda mpk wanaamua kukuandikia meseji kwa kisukuma "ndoho tabu"..🤣
Katoto Kazuri wewe ni Mrundi eeeh tuache na utanzania wetuYaani watanzania wanaroho mbaya nyie .
Mtu eti anamwomba mtu msaada basi hawezi kumpa mpaka amzungushe au adai penzi
Acheni hii tabia itawacost nyie.
Nipo sure hizi roho za kwanini zitawacost .
Nimesema ukweli nasio uongoo.
Mwanaume mzuri wakila kitu na bado anaroho mbaya kutoa usaidizi .
ngumu.
Unamkuta mtu anaroho mbaya kama nini
Mwingine utakuta ni mwanadada mtanashati kiukweli ila hana la maana
Roho mbaya ile ile mpaka akuvutie utoe msaada .
Jamani hii ni kali sana naniambaya maana sio kila siku utakuwa juu.
Hata wewe utahitaji msaada na hiyo siku nawao uliowatarajia akupii.
Watu mnaroho mbaya kuweni wepesi wakutoa misadaa.
Kwamaana hata nyie mkikwama hamtosaidia .
Nikuze mamaKua acha utoto