Watanzania 77 wafikishwa mahakamani nchini Kenya

RUCCI

JF-Expert Member
Joined
Oct 6, 2011
Posts
1,702
Reaction score
1,716
Zaidi ya raia 77 wa Tanzania jana wamefikishwa Mahakamani nchini Kenya na kushtakiwa kwa kosa la kuingia mipaka ya Taifa la Kenya kinyume cha Sheria.

Washtakiwa hao waliokamatwa mwishoni mwa Wiki, mapema ilidaiwa kwamba walikuwa ni majasusi kutoka nchini Tanzania.

===================
The Kenyan police yesterday arrested 105 men out at sea off the Kenyan coast suspected of spying on key security operations sections in the Indian Ocean.

Francis Wanjohi, the Kenyan Coast region police commander said the suspects, who included 77 Tanzanians and 28 Kenyans, were arrested within Kenya Navy operational waters without valid papers.

According to military sources, the area is gazetted as an operational area for military activity and coordination of both Navy and police activity.

"It's a no-go-zone area for members of the public, we are investigating how they were able to access the area. It's a major security breach," said a senior Navy officer.

Police yesterday identified the captain of the boat as Gavin Musyoka, a Kenyan.

Addressing the media at police headquarters, Wanjohi said a special team has completed profiling the 105 and they will be charged for being in the country illegally and unlawfully engaging in fishing.

Kenyan security agents have detained four boats at Mtwapa Creek that the 105 were allegedly using for fishing.

Wanjohi said Kenya Navy officers were on routine patrol when they spotted the stateless boats and ambushed their crews on Saturday night.

Wanjohi said anti-terrorism police officers and other security agents drawn from a multiagency team appointed to probe the suspects are yet to connect them to terrorism activity.

"We have already contacted the Tanzanian ambassador to assist in verifying their documents. We seek to have the suspects in our custody to enable us to investigate their real identities and their intentions," said Wanjohi.

He said the suspects are likely to stand trial for contravening the Immigration and Fisheries acts.

The arrests came a day after security officers said they have enhanced vigilance after intelligence reports indicated an impending terror attack by al Shabaab affiliate group Jeysh Ayman in the coastal region.

Wanjohi said patrols along the Kenya-Somalia border have been enhanced to deal with al Shabaab threats in the region.

The militant group was flushed out of the vast Boni Forest in Lamu in a Kenya Defence Force-led operation that has greatly minimized the al Shabaab threat in the Coast.

Source:
PesaTimes
 
ingawa ni kinyume na sheria lakini kitendo cha kuwaita majasusi toka tz wakenya wamekosea
 
Zaidi ya raia 77 wa Tanzania jana wamefikishwa Mahakamani nchini Kenya na kushtakiwa kwa kosa la kuingia mipaka ya Taifa la Kenya kinyume cha Sheria.

Washtakiwa hao waliokamatwa mwishoni mwa Wiki, mapema ilidaiwa kwamba walikuwa ni majasusi kutoka nchini Tanzania.

Chanzo: DW (Kiswahili)
Majasusi?
Wachumia tumbo tu hao, kwanini Tz itume majasusi wengi kiasi hicho wakati hatuna uadui na Kenya.
 
Hapo na sisi inabidi tukamate mawasiliano wao waliojazana hapa kwetu kila kona
 
Tatizo Tanzania sijui tukoje tu hawa wakenya wamejazana huku tz wanakula goodtime huku sisi tuko kimya ila sasa ingia kwao uone dakika mbili ushadakwa na unapewa mchakamchaka wa hatari.Sijui kwa nini hatuliangalii hili kwa jicho la tatu?
 
Ikiwa kuna wakenya wanaoingia Tz bila vibali.....nawakamatwe pia.
Afrika mashariki yote ni wakenya tu wanaotozwa ada za juu na kuhangaishwa na maofisa wa uhamiaji Tz kila wanapoingia Tz.
...mnatia aibu tupu!
 
Majasusi 77? Tanzania itume majasusi 77 kenya kwenda kutafuta habari gani? Hao watakuwa wazamiaji wa kawaida tu.
 
Uhuru ameanza kuleta siasa za maji taka mwanzo alionekana Ana busara kumbe hamna kitu ndio maana Donald trump amemshambulia kwa kuzurura ulaya na binti yake na ujumbe lukuki WA wasindikizaji huku wakenya wapo katika umaskini
 
Majasusi 77!!? Tukiamua kufanya sweep operation ndani ya masaa mawili tu, magereza yote yatajaa wakenya wasio na vibali. Uhuru anataka kucheza game asiyoiweza, wamesahau sakata la magari ya watalii!
 
Tanzania haiwezi kuifanyia ujasusi Kenya na kama ikihitaji kufanya hivo basi si rahisi kukamatwa kizembe vivo.
 
Ningeomba serikali ya kny iwaachilie kwa sababu hao ni warombo wanauza mitumba kikombaa
 
Tatizo Tanzania sijui tukoje tu hawa wakenya wamejazana huku tz wanakula goodtime huku sisi tuko kimya ila sasa ingia kwao uone dakika mbili ushadakwa na unapewa mchakamchaka wa hatari.Sijui kwa nini hatuliangalii hili kwa jicho la tatu?

Ufisadi wa viongozi wa Tanzania una uhusiano na kujazana kwa wakenya! Fanya uchunguzi kidogo!
 
Majasusi 77? Tanzania itume majasusi 77 kenya kwenda kutafuta habari gani? Hao watakuwa wazamiaji wa kawaida tu.

Kwani ujasusi ni nini? Idadi na lengo vinahusiana na maana ya ujasusi!
 
Zaidi ya raia 77 wa Tanzania jana wamefikishwa Mahakamani nchini Kenya na kushtakiwa kwa kosa la kuingia mipaka ya Taifa la Kenya kinyume cha Sheria.

Washtakiwa hao waliokamatwa mwishoni mwa Wiki, mapema ilidaiwa kwamba walikuwa ni majasusi kutoka nchini Tanzania.

Chanzo: DW (Kiswahili)

Mleta mada hujatenda haki, maana umekopy eneo ndogo ya taarifa kwa msingi wa kuibua hisia tu. Hujaeleza kuwa walishikwa kwenye maeneo muhimu ya shughuli za jeshi la wanajeshi wa maji na kwamba hakuna raia mwenye ruhusa ya kufika hapo. Awe Mkenya wala nini, awe mchumia tumbo au vipi.

Nikija kwenu Tanzania na iwe nachumia tumbo tu na kupita pita maeneo ya siri ya jeshi, na nikamatwe, lazima nitaeleza zaidi. Kipindi fulani nikiwa pale Dodoma, mwenyeji wangu alinizuia kupiga picha majengo ya bunge, eti kwamba ni hatari na inaweza kunitia kwenye matatizo maana mimi mgeni.

Hawa Watanzania nafikiri imebainika walikua wavuvi tu, kilichowaponza ni wao kuwa kwenye hayo maeneo na kama inavyofahamika wakati huu tupo kwenye vita na Alshabaab, mtu atajifanya mchumia tumbo au zezeta fulani halafu aje ajilipue maeneo muhimu. Binafsi kama Mkenya ningeomba waachie huru, warudi kwenye familia zao.
Taarifa kamili hii hapa

THE police yesterday accused Tanzania of spying on key security operations sections in the Indian Ocean.

The announcement was prompted by the arrest of 105 men out at sea off the Kenyan coast.

Coast region police commander Francis Wanjohi said the suspects, who included 77 Tanzanians and 28 Kenyans, were arrested within Kenya Navy operational waters without valid papers.

According to military sources, the area is gazetted as an operational area for military activity and coordination of both Navy and police activity.

?It?s a no-go-zone area for members of the public, we are investigating how they were able to access the area. It?s a major security breach,? said a senior Navy officer.

Police yesterday identified the captain of the boat as Gavin Musyoka, a Kenyan.

Addressing the media at police headquarters, Wanjohi said a special team has completed profiling the 105 and they will be charged for being in the country illegally and unlawfully engaging in fishing.

Kenyan security agents have detained four boats at Mtwapa Creek that the 105 were allegedly using for fishing.

Wanjohi said Kenya Navy officers were on routine patrol when they spotted the stateless boats and ambushed their crews on Saturday night.

Wanjohi said anti-terrorism police officers and other security agents drawn from a multiagency team appointed to probe the suspects are yet to connect them to terrorism activity.

?We have already contacted the Tanzanian ambassador to assist in verifying their documents. We seek to have the suspects in our custody to enable us to investigate their real identities and their intentions,? said Wanjohi.

He said the suspects are likely to stand trial for contravening the Immigration and Fisheries acts.

The arrests came a day after security officers said they have enhanced vigilance after intelligence reports indicated an impending terror attack by al Shabaab affiliate group Jeysh Ayman in the coastal region.

Wanjohi said patrols along the Kenya-Somalia border have been enhanced to deal with al Shabaab threats in the region.

The militant group was flushed out of the vast Boni Forest in Lamu in a Kenya Defence Force-led operation that has greatly minimized the al Shabaab threat in the Coast.

70 Tanzanians arrested in Mombasa, accused of spying | The Star, Kenya
 
Wapigeni tu hao. Samaki kwao wanawaachia wachina halafu wanakuja kuvua kwenu!
 
mlisema kile kiwanda cha maziwa cha brookside cha Bwana uhuru kimefungwa?
 
Mleta mada hujatenda haki, maana umekopy eneo ndogo ya taarifa kwa msingi wa kuibua hisia tu. Hujaeleza kuwa walishikwa kwenye maeneo muhimu ya shughuli za jeshi la wanajeshi wa maji na kwamba hakuna raia mwenye ruhusa ya kufika hapo. Awe Mkenya wala nini, awe mchumia tumbo au vipi.

Nikija kwenu Tanzania na iwe nachumia tumbo tu na kupita pita maeneo ya siri ya jeshi, na nikamatwe, lazima nitaeleza zaidi. Kipindi fulani nikiwa pale Dodoma, mwenyeji wangu alinizuia kupiga picha majengo ya bunge, eti kwamba ni hatari na inaweza kunitia kwenye matatizo maana mimi mgeni.

Hawa Watanzania nafikiri imebainika walikua wavuvi tu, kilichowaponza ni wao kuwa kwenye hayo maeneo na kama inavyofahamika wakati huu tupo kwenye vita na Alshabaab, mtu atajifanya mchumia tumbo au zezeta fulani halafu aje ajilipue maeneo muhimu. Binafsi kama Mkenya ningeomba waachie huru, warudi kwenye familia zao.
Taarifa kamili hii hapa

Asante kwa kuinyoosha hii habari. Mleta habari hafai kuingia humu He is not a great thinker! Please hamia majukwaa ya Udaku mara moja ukachanganyike.
 
mk254 nimekupata vyema, na asante kwa unyenyekevu, nilikuwa nimefura kwa hasira nikipanga namna ya kumshauri amiri jeshi mkuu atume kikosi maalumu cha makomandoo chenye uwezo kama Sayaret matikal cha Israel ili kuwaokoa vijana wetu.
 
Back
Top Bottom