Watanzania 77 wafikishwa mahakamani nchini Kenya

Watanzania 77 wafikishwa mahakamani nchini Kenya

Serikali ya Kenya inayo haki ya kulinda mipaka yake. Ilikuwa usiku na waliona chomba kipo kwenye eneo linalozuiliwa. Bahati mbaya kati ya hao waliokuwa kwenye chombo wamekutwa ni Watanzania. Hivyo wafanyiwe mahonjiano na kama wako vizuri waachiwe.
 
Back
Top Bottom