Ragnar Fluke
JF-Expert Member
- May 22, 2012
- 374
- 115
Hali zenu wana jf! Mda mwingi mimi nkipumzika napenda kusikiliza radio hivyo mda huo nmebahatika kusikia sauti za watangazaji kadhaa ambao nliona ni wakali nao ni hawa Millard Ayo, B dozen, Mchomvu, Dina Marios wote hawa wa clouds fm, Sam Missago, Sebastian, Michael Baruti kutoka Ea radio, Maulid Kitenge na Issack Gamba wa radio one, Halima Kassim (HK) wa kill fm na Gadner aliyekuwa clouds sasa Times fm bila kusahau mh mbunge Juma Nkamia aliyekuwa Tbc. Mdau mwenzang wanaojitahidi kwa upande wako ni akina nani? Kumbuka kila mtu na chaguo lake na mapenzi yake binafsi................!!! Asante..!