Watangazaji wafupi wana sauti zenye mvuto zaidi

Dec 4, 2011
54
6
Kwa wale wanaomkumbuka marehemu David Wakati, watakubaliana nami. Pia walikuwepo wengine maarufu kama Blandina Mongezi, Eda Sanga, Ahmed Kipozi, Jacob Tesha, Taji Liundi, Pili Mtambalike na wanaotamba kwa sasa ni pamoja na Abdallah Mwaipaya, Ephraim Kibonde, Godwin Gondwe, Charles Hilary wa BBC, Michael Baruti, na wengine kadha wa kadha. Listi ni ndefu unaweza kuongezea....

Hata hivyo warefu wanahesabika kwa uchache wao kama vile Uncle J (Julius Nyaisanga)....
 
Charls Hilary sio mfupi mkuu kibongobongo ni giant huyo....hes 6 feet na ushee...ukizingatia wabongo ni wafupi Charls ni giant yaani mrefu sana tuuuu.
 
Kwahiyo na watu ambao sio watangazaji ila wafupi nao wana sauti nzuri?
 
umemsahau reinfred masako. Ila si hoja hii na utafiti hauwezi kukupa majibu unayodhania. Imetokea tu
 
Back
Top Bottom