TheChoji JF-Expert Member Joined Apr 14, 2009 Posts 6,747 Reaction score 20,802 Jan 7, 2012 #21 ..ila watu wafupi nao hua wanachonga.. labda ndio maana wanauweza utangazaji.
Katavi Platinum Member Joined Aug 31, 2009 Posts 42,099 Reaction score 12,928 Jan 7, 2012 #22 Grace Kingalame..
LEGE JF-Expert Member Joined Oct 14, 2011 Posts 5,122 Reaction score 9,223 Jan 7, 2012 #23 KIBONDE, KIBONDE,KIBONDE no no no no no yule anatafuna ulimi tuu bana sauti yake imekaa kigegereka zaidi
KIBONDE, KIBONDE,KIBONDE no no no no no yule anatafuna ulimi tuu bana sauti yake imekaa kigegereka zaidi
Mwakalinga Bujo JF-Expert Member Joined Oct 22, 2008 Posts 2,718 Reaction score 1,443 Jan 13, 2012 #24 Kweli Jf ni zaidi ya social netiweki...
only83 JF-Expert Member Joined Oct 15, 2010 Posts 5,342 Reaction score 2,528 Jan 13, 2012 #25 C.T.U said: zembwela Click to expand... Huyu ni mwandishi au muhuni......kama huyu nae ni mwandishi basi hakuna aja ya kuwa na chuo cha uandishi wa habari na walimu kama Ayub Rioba!!
C.T.U said: zembwela Click to expand... Huyu ni mwandishi au muhuni......kama huyu nae ni mwandishi basi hakuna aja ya kuwa na chuo cha uandishi wa habari na walimu kama Ayub Rioba!!