Washawasha
JF-Expert Member
- Aug 7, 2006
- 16,974
- 13,434
Ili uwasikilize vizuri punguza sauti mpaka mwisho (0)
Nalog off
Nalog off
Watangazaji wenye akili ni wa Radio one,na ITV tu,vituo vingine ni upuuzi mtupu.makelele Mengi,story za kijinga,Wana upeo mdogo wa mambo ya kidunia,Geopolitics,wanaweza kuongea kuhusu mpila,na umbea wa kike basiHili suala linanikera sana hasa hasa Kipindi cha Asubuhi cha Magazeti kinachoongozwa na Maulid Kitenge na Zungu huwa nasikiliza hadi nakereka.
Mimi napendekeza wabadilike kwani sio wasikilizaji wote wanapenda kelele .