nanga mstafu
JF-Expert Member
- Aug 12, 2016
- 381
- 649
Hivi kuna umuhimu gani wa kutaja mwinbaji wa nyimbo kama huna uhakika au kwanini usiache tu zikapiga au anayejua akataja?
Kipindi cha ubaoni wamepiga wimbo unaoitwa dont leave me wa BLACKSREET , sasa kuna mmoja karopoka wimbo unaitwa dont leave me wa backstreet boys sasa kuna mwingine akawa anauliza ni backstreet au blackstreet?
Hiyo sio poa kabisa