kwan ww unajuwa vyuo vyote vya Malaysia ? au makongamano yote ya mwaka 2000 ya Malaysia unayajua? sijaelewa hoja yako ? kwan Malaysia ni ndogo kiasi gan mtu kujua matukio yote ya mwaka ktk nchi fulani?Wewe hata kama umeandika mara elfu, waliokusoma hawajakustukia kuwa u muongo.
Mimi nilikustukia miaka mingi nyumq, nikawa nakuumbua uongo wako, ukaacha, sasq unaqnza kurudia uongo tena.
akumbuka, ukianza jsjisifu sijuwi nilikuwa wapi au wapi, naanza ku double check. Nakubamba uongo wako.
Wacha kudanganya vijana humu.
We hapo unaona umejibu hoja ya Dpw?? We ni miongoni mwa watu aliowataja Mshana.Siku nyingi sana niliwahi kukwambia hapahapa JF, usiwe muongo.
Hakuna kongamano wala mkutano wowote wa ma-bhuddhist uliofanyika "Malaysia mwaka 2000".
Tena hakuna chuo chenye jina "Malaysia" pekee, vyuo vingi huko vina jina Malaysia linafatia. Mifano:
University Putra Malaysia (UPM)
University Kebangsaan Malaysia (UKM)
Usiseme uongo, sema ni chuo kipi cha Malaysia?
Chuo chenye jina pekee bila kibwagizo ni "University Malaya (UM)".
hiz akili mnaonesha ndo hufanya waarab kuwaita watumwa , hamjielewNakwambiaje. Andikeni nyaraka 10 na msizome kila siku miaka 5 mfululizo ila mkataba unaendelea na utekelezaji na hakuna kitu unaweza fanya.
Huu ni ukweli mchungu ambao nakwambia ubebe tu
waislam weng ni washamba sana , wanaamin waarab ni kama mabwana zaoKusema ukweli waislam dini zinawatoa akili kabisa! Vichwa vyao vimekuwa kama vyombo vya kubebea ulimi na meno tu.
Wapo tayari kuuza utu wao kwa mtu yeyote anayetokea Uarabuni
thibitisha kama kwel watakuwa wanawaua watu hadharan , maana ujinga wenu ndo mtaji wa ccmuHii ndio picha yao halisi ni bora ccm anayewapa watu kesi za uhaini na ugaidi ukiwapinga kuliko cdm wakishachukua nchi ni dhahiri watakua wanawaua hadharani watakaowapinga
Masikini wewe huna hela yakwenda malyasiaMwaka 2000 nikiwa Malaysia kwenye kongamano la dini ya Buddha pale Malaysia university nilikutana na mhindi mmoja tajiri aliyewahi kuishi na kutajirikia bongo.
Kwa utani unaouma na kuakisi ukweli akasema usipotajirika Tanzania ni ngumu kutajirika pengine Niliumia sana naye aliyaona maumivu yangu lakini huo ndio ulikuwa ukweli
Mkataba mbovu wa bandari zetu zote na kampuni kubwa ya DPW umeshapigiwa kelele na kila kaliba ndani ya taifa hili lakini bado kuna mazuzu wajinga wachache wanaona unafaa
Kati ya hao kuna wale walioko mamlakani ambao wamepata chochote ili kuutetea.. Hawa kwangu ni wahaini na wasaliti wakubwa na hukumu yao kuna siku itafika
Ninaowahurumia ni hawa wafuata mkumbo kwasababu za kiimani, itikati za kisiasa jinsia na wote wenye fikra finyu kwamba nwafrika hawezi kitu bila msaada wa ngozi nyeupe ama manjano..
Kinachopiganiwa ni kwa maslahi ya watoto, vijukuu, vitukuu na vining'ina vya taifa hili la Tanganyika.. Bila kujali
Imani zao
Rangi zao
Itikadi zao nk
Haya yote hawayaoni.. Inafika mahali unajiuliza je wana matatizo ya akili?
Ukiona dume linaweka vi-emoj,ujue ni sshogaAisee mimi nilijiweka kando kitambo tu katika hili tangia yule Sheikh Mkuu wa Mwanza aagize waumini wote wa mkoa wa Mwanza wafunge na kuwasomea alubadiri ya majini wale woote wanaopinga huu mkataba.
Hivyo ukiona hujielewielewi ujue ushapigwa jini maimuna........
😁😅😂🤣
Nani ka kwambia mm mwenyewe nimeowa chotara wa kiarabu hayo mambo hakunaga nna rafiki zangu kibao tu wameowa waarabu mzeendio maana waarabu hao hao hawatak hata muoe madem wa ngoz zao , washaona akili zenu ni majanga
Mkuu, unamaanisha kabisa au unataka tu kumchokoza Mshana Jr?Masikini wewe huna hela yakwenda malyasia
Mkuu nimesikitika sana kukubali kubishana na yule bibi ajuza asiejielewa. Wew ni rol mod wa wengi uku jf nikiwemo na mm. Mkuu brand ya jina lako ni kubwa usikubali ajuza aiporomoshe .huyu bibi anavimbwanga sanaHalafu kweli ujue [emoji23]
CCM inabidi idhibiti huu waraka.